natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta kioo cha samsung A70

    Husika na kichwa hapo juu mwenye nacho anicheck kwa no 0678288666 hii kiwe used au kipya kwa bei za kitanzania.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Watalamu wa masoko system za Afya (IS health services marketing) na masoko ya systems za uhasibu Tanzania

    Wadau wote, wanahitajika wasomi wenye degree walau za masoko au za afya aina yoyote au ofisa mauzo wenye weledi kwa ajili ya masoko ya huduma za afya, lengo ni kuuza system za IT kwenye hospitals za private na za serikali na kwamba maofisa hawa watafanya kwa mikataba ya muda mfupi mfupi wenye...
  3. JamiiForums Tanzania Abunuwasi na Wagagagigikoko

    mimi mutwa mukulu nawakilisha kizazi cha dot com. nikiwa shule ya msingi ilembula njombe kwa mzee nyimbo, nilibahatika kusoma baadhi ya vitabu vya zamani kwani kijiji kile watu walianza kusoma mwaa 1945. nilipata kusoma kitabu cha abunuwasi, kisiwa chenye hazina na jamaa hodari kisiwani...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi mtu mzima

    Akiwa na mtoto au watoto amezaa ni vizuri. Akiwa aliachika katika ndoa na angalau alipewa taraka itapendeza zaidi. Asiwe chini ya miaka 35 na asifike 55. Dini yake yoyote aendelee nayo. Mi situmii pombe na yeye ajitathimini. Awe ni mnene wa shep au awe na mzigo. Awe anaishi Dar au jirani...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya afisa masoko ama usimamizi wa biashara

    Habari ya leo wakuu, Mimi ni kijana wa kiume, umri wangu miaka 29 . Nna mke na mtoto 1, Naishi Dar Es Salaam Elimu yangu kidato cha nne Nimejitokeza hapa kuomba kazi ya sales and marketing ama usimamizi wa biashara na masoko. UZOEFU WANGU Mwaka 2013 nilianza kazi ya kusajili laini kampuni ya...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta njia nzuri ya kusafirishia abiria

    Ndugu zangu niko na gari aina ya Raumu nataka nitumie walau nijipatie riziki naomba mwenye kujua sehemu ambayo ina njia nzuri alafu kuna changamoto ya usafiri anielekeze humu nikafanye hapo kazi. Gari yangu ina uwezo wa kubeba abiria kuanzia 5 Hadi nane hivi hata kama ni rough road walau pawe...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Canter ya kubebea mizigo yangu kwa wiki Tsh. 200,000 Arusha

    Natafuta canter nibebee mizigo yangu Arusha mjini, dereva wangu, mafuta yangu kwa wiki nalipa laki mbili kwa mmiliki wa gari kazi ni endelevu. Mwenyenalo tuwasiliane 0686457546
  8. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira ya ualimu wa sekondari shule ya private au kituo chochote cha elimu

    Najua kuna watu wananishangaa, na huenda wapo watakaonishauri nisubiri matokeo ya ajira zilizotoka juzi. Lakini mimi hizo nimepishana nazo. Baada ya kumaliza chuo nilirudi nyumbani (kijijini) kabla ya vyeti kitoka. Na nilipokuwa huko nilipishana na deadline ya kutuma hizi ajira za juzi...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanda cha chakula cha kuku Dar es Salaam

    Natafuta kiwanda cha chakula cha kuku DSM, pia nawezaje kuuza damu ya ngo'mbe iliyokaushwa?
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta Mke mwenye miaka zaidi ya 30

    Nawasalimu Kwa Jina La Jamhuri Ya Muungano. Nami nitumie Fursa ya Jukwa Hili Kutafuta Nimpendaye, Wasifu Wangu: Elimu Ya Chuo Single Father, Miaka 41 Naishi DSM Mfanyakazi & Biashara Mkristo, KKKT Mfupi Kiasi, Mweusi &Mnene Kiasi. Wasifu Wa Mtarajiwa: Miaka 30 + Kabila Lolote Dini Yoyote...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali, nina elimu ya kidato cha nne

    Natafuta kazi yoyote halali. Elimu yangu ni kidato cha nne pia nimehitimu mafunzo ya udereva veta ila sina uzoefu sana sababu sijawahi fanya kazi ya udereva popote ila nikipewa kazi nafanya properly.
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba baadaye awe mke

    Habari za majukumu Nimejitokeza hapa kwenu kwa lengo la kutafuta mchumba then baadae awe mke Sifa zangu: Rangi: mweusi Kimo: mrefu Miaka: 28 elimu: degree Location: mbeya Awe atleast na sifa hizi: Rangi: mweupe/ maji ya kunde Kimo: asiwe mfupi miaka: isizidi 30 Elimu: kuanzia sekondari Kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

    Nina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta deep flayer kwaajili ya kuchomea kuchomea chipsi

    Habari. Natafuta deep flayer inayotumia umeme kwaajili ya kuchoea chips, iwe na plate mbili. Njoo na offer yako. Mawasiliano: 0743-451-357 call/sms/WhatsApp/PM
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa form work, nipo Kinyerezi Mwisho

    Salaam Wakuu, Natafuta fundi wa form work, ninakaproject kangu kadogo, inaweza ikawa ni kazi ya siku tatu hadi nne, Ninalipa sh.40,000 kwa Siku, kazi ipo maeneo ya Kinyerezi mwisho. Kama upo interested please call or text me 0783011848
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za huyu Gwiji wa fasihi(Mohammed Said Abdulla, 1918-1991).

    Nafikiri ukiacha Shaaban Robert na Kezilahabi huyu, bwana naye yumo kati ya waandishi magwiji. Baadhi ya kazi alizoandika ni. 1.Mzimu wa watu wa kale 2. Kisima cha Giningi. 3. Duniani kuna watu 4.Siri ya sifuri 5.Mke mmoja waume watatu 6. Mwana wa yungu hulewa 7. Kosa la bwana Msa.
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta hii movie

    Habari waungwana wa JF. Nimekuwa mdau sana wa kucheki movie kwa mda mlefu tangu vidudu naweza sema hichi ndicho kilevi changu pendwa hasaaa. Kuna movie moja yakizungu sikubahatika kuijua jina na niliiona vipande tu na nimekuwa naitafuta kwa mda mrefu bira mafanikio ngoja niielezee labda huenda...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ukutubi (librarian),data entry,record management,customer care, receptionist and personal assistant.

    Habari wana JF. Mimi ni kijana umri miaka 27 ninaishi Ubungo,Dar es salaam Tanzania Nina degree ya library and information studies natafuta kazi ya ukutubi katika shule au vyuoni pia ninauzoefu wa kazi hii. pia ninatafuta kazi ya kutunza kumbukumbu (record management) katika ofisi yeyote au...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta muuzaji wa mwani Arusha

    Habari wakuu. Natafuta muuzaji wa zao la mwani kwa Arusha ambaye ana kibali cha kusafirisha nje ya nchi. Mawasiliano 0776655978
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayeweza kutengeneza cartoon

    Habari! Kuna wazo ninalo ila nataka kuliwasilisha kupitia cartoon ya muda wa dk 15-30 ningependa kujua gharama zake ili niweze kujua gharama zake.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…