Natafuta Mke mwenye miaka zaidi ya 30

FourSix

New Member
Jun 5, 2021
3
45
Nawasalimu Kwa Jina La Jamhuri Ya Muungano. Nami nitumie Fursa ya Jukwa Hili Kutafuta Nimpendaye,

Wasifu Wangu:
Elimu Ya Chuo
Single Father,
Miaka 41
Naishi DSM
Mfanyakazi & Biashara
Mkristo, KKKT
Mfupi Kiasi, Mweusi &Mnene Kiasi.

Wasifu Wa Mtarajiwa:

Miaka 30 +
Kabila Lolote
Dini Yoyote
Elimu Yoyote
Asiwe na mtoto
Mfupi na Mnene Wastani
Awe Anaishi Dar Es Salaam Pia

Kwa Atakayekuwa Tayari Tuwasiliane PM
 

Wema Jackson

New Member
Jun 27, 2021
2
20
Nawasalimu Kwa Jina La Jamhuri Ya Muungano. Nami nitumie Fursa ya Jukwa Hili Kutafuta Nimpendaye,

Wasifu Wangu:
Elimu Ya Chuo
Single Father,
Miaka 41
Naishi DSM
Mfanyakazi & Biashara
Mkristo, KKKT
Mfupi Kiasi, Mweusi &Mnene Kiasi.

Wasifu Wa Mtarajiwa:

Miaka 30 +
Kabila Lolote
Dini Yoyote
Elimu Yoyote
Asiwe na mtoto
Mfupi na Mnene Wastani
Awe Anaishi Dar Es Salaam Pia

Kwa Atakayekuwa Tayari Tuw
 

Tungwileghe

New Member
Nov 8, 2021
1
45
Nawasalimu Kwa Jina La Jamhuri Ya Muungano. Nami nitumie Fursa ya Jukwa Hili Kutafuta Nimpendaye,

Wasifu Wangu:
Elimu Ya Chuo
Single Father,
Miaka 41
Naishi DSM
Mfanyakazi & Biashara
Mkristo, KKKT
Mfupi Kiasi, Mweusi &Mnene Kiasi.

Wasifu Wa Mtarajiwa:

Miaka 30 +
Kabila Lolote
Dini Yoyote
Elimu Yoyote
Asiwe na mtoto
Mfupi na Mnene Wastani
Awe Anaishi Dar Es Salaam Pia

Kwa Atakayekuwa Tayari Tuwasiliane PM
Nimeona ombi lako nami ninavigezo hivyo tuwasiliane dorahkilale@gmail.com
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom