natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi hata kibarua

    Habari Madam/sir Natafuta kazi hata kibarua cha kuendesha maisha yangu. #Ninaweza kufanya kazi yeyote tofauti na taaluma nilizonazo a) ninaumri wa miaka 24 b)Naishi gongo la mboto DSM c) taaluma yangu stashahada accounting&finance nina uzoefu wa customer care , sales 3yeaes d) nina...
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta Binti (Dada wakusaidia Kazi) Awe na Sifa hizi

    Habari. Natafuta binti wakusaidia kazi kidogo za ndani. Awe na Umri at least kuanzia miaka 20 nakuendelea. Akiwa amefika Kidato cha Nne itapendeza sana. Aweze kuishi kirafiki kabisa, Nyumba ina Watu Wawili tu! Means yeye atakuwa watatu. Atalipwa Tsh. 100,000/= kwa Mwezi. + Posho (kulingana na...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta Printer main board hp laserjet pro mfp m125a

    Niwasalimu ndugu zangu nyote katika mtandao wetu pendwa JF. Bila kupoteza muda ndugu zangu natafuta mother board ya printer hp laserjet pro mfp m125a. Kwa anayejua wauzaji wa hapa Tanzania au kama unayo tafadhali naomba ushirikiano wa kuweza kuipata. Natanguliza shukran. Picha ya mother board husika
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta hiki kifaa

    Tafadhali mwenye kujua hiki kifaa kinaitwaje na kinauzwa wapi anijuze. Kinafungwa kwenye gudulia linakuwa kama water dispenser na kinachajiwa, Chaja yake kama ya simu. Nimekikuta sehemu ambapo hakuna wa kumuuliza.
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Bunju au Mbweni

    Salaam wadau. Ninatafuta kiwanja lililopimwa kwenye mradi wa viwanja 20,000 eneo la Bunju au Mbweni. Ukubwa wa kiwanja kiwe si chini ya sqm 1,500. Kama unacho tafadhali tuwasiliane hapa au PM. Tafadhali uje na bei kabisa.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kusimamia mradi wa biashara

    Habari za za leo watu jf mm n mkazi wa Dar, Nina miaka 24 mwanafunz wa degree bachelor of Economics and int trade. Niko China kimasomo, lakin kwasabb y corona, Bado tuko bongo turirud since 2020 niko naendelea n online studies. Lengo la kuandika ni kuwa naomba kazi yoyote y kusimimamia mradi...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke mchaga

    Natafuta mwanamke mchaga wa kuoa awe mmachame au mrombo itapendeza Umri kuanzia miaka 22.awe tayari kupima na kuolewa ndani ya miezi sita
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta vifaa hivi vya Nissan Dualis, DBA-KJ10

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, Namshukuru Mungu ni mzima hata sasa, Jumapili nilinusurika ajali mbaya san, Kikubwa Uzima. tuende kwenye Mada Kama unajua/unauza vifaa hivi vya nisaan dualis niuzie upate pesa chap chap 1. Engine Cover, hii ndio ninayohitaji. 2. Inner fender(madgad)...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Marketing Officer

    Habari. Natafuta Marketing Offier kutoka Kenya (Awe Kenyan). Sehemu ya Kazi ni Dar-es-salaam. Qualification ni Bachelor in Marketing with 3 years of experience. Most awe dedicated and results oriented Reach me through email csmsola@gmail.com or Whatsup Number +255713664912
  10. JamiiForums Tanzania Dereva natafuta kazi

    Habari ndugu zangu! wapambanaji na watafutaji wenzangu..kweli kazi ni changamoto sana kupata..na hasa kama auna connection utasota sana..itokee tu mkono wa mungu ukuguse! jina langu naitwa James Patrick.nina miaka 26 na naishi jijini dar es salaam..nimekuja tena mbele yenu wana jamii...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Degree ya Property and Facilities Management

    Habari Za MAJUKUMU wanaJF, Naombeni msaada kwa mwenye connection ya kazi kwenye makampuni ya MABASI ya mikoani au Mwendokasi (kondakta/Mkata ticket ofisini au Agent). Elimu yangu KIDATO CHA SITA. Nipo Dar es Salaam. Asanteni
  12. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji mwenye compressor

    Mimi ni mchimbaji mdogo nipo na eneo la uchimbaji tatizo ni vitendea kazi,natafuta mtu mwenye kuweka compressor tu kwa ajili ya uchimbaji. Nitamlatia shares,Kama na Kuna mwenye kuweza kupata ball mill(crusher pia)karibuni
  13. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwenye HIV positive

    Ninajitokeza hapa nina nia ya dhati na kweli kutoka moyoni nimejitokeza hapa natafuta mke wa maisha mwenye HIV Positive, siitaji mpenzi naitaji mke! Napatikana Dar es Salaam, nina miaka 52, maji ya kunde, urefu futi tano inchi saba, slim body. Mke ninayemuitaji awe HIV Positive! Awe mweupe...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, elimu Bcs Environmental Health Officer & Health and Safety Officer expert (HSE)

    Mimi nimuhitimu wa chuo kikuu mwenye Bcs. of Environmental Health Science with IT na pia nimesoma short course ya OSHA NOSHC I (National Occupational Safety Health) natafuta kazi/kujitolea sehemu yyte Tanzania katika Taasisi binafsi/umma au miradi mbalimbal, viwanda mbalimbali, construction...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi maabara, au Taasisi za afya, mifugo na tafiti

    Habari wapendwa, poleni kwa majukumu mbalimbali ya kujenga Taifa. Mwenzenu ninatafuta nafasi ya kazi katika taasisi mbalimbali kama za afya, mifugo, kilimo au tafiti. Nina shahada ya Biotechnology and laboratory science. Ninauzoefu wa miaka minne katika molecular biology and microbiology...
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta uzoefu wa matumizi ya CCTV CAMERA

    Habari poleni na majukumu ya kazi katika kutafuta mkate wetu wa kila siku. Naenda straight to the point nimekuwa nikijifunza mtandaoni hususani education platforms Kama udemy,skillshare na courseweb kupata basics ya knowledge ya kuinstall na kufunga CCTV CAMERA. Ila practical bado siko vizuri...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mshirika katika biashara

    Habari wapendwa, Mimi ni mwanamke ambaye natafuta mshirika katika biashara ya mgahawa wa chakula na vinywaji, anaweza kuwa wa kike au kiume ila awe anajitambua na kuelewa maisha yanvyokwenda. Pia awe mwaminifu na mchapakazi anaeishi Dar-es-salaam.Eneo la biashara ni mikocheni. Nina masters in...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta wakala wa Safaricom

    Kama title inayojieleza hapo juu, natafuta wakala wa safaricom au mtu mwenye cash kwenye safaricom mpesa kwa tanzania, nataka niweke pesa kwenye safaricom mpesa. Kama upo DAR itakuwa poa sana...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta keyboard ⌨️ ya Dell Vostro 3500

    Habari yenu Mimi ni Kijana mjasiriamali na ni mtaalam wa computer haswa Hardware na Software naomba kama Kuna mtu mwenye Keyboard ⌨️ ya Dell Vostro 3500 aniuzie pia unaweza kunicheki WhatsApp 759115313
  20. JamiiForums Tanzania natafuta mteja wa vanilla kavu dar/kagera

    wadau nahitaji mteja wa kuaminika wa vanilla kavu. naanza na kg 120 zilizopo. mwenye offer nzuri ya nje au ndani atoe mchango wake kwa mjasiriamali mimi. mteja awe dar au bukoba
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…