paul c
Senior Member
- Jan 20, 2015
- 123
- 110
Niwasalimu ndugu zangu nyote katika mtandao wetu pendwa JF.
Bila kupoteza muda ndugu zangu natafuta mother board ya printer hp laserjet pro mfp m125a. Kwa anayejua wauzaji wa hapa Tanzania au kama unayo tafadhali naomba ushirikiano wa kuweza kuipata.
Natanguliza shukran.
Picha ya mother board husika