natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Natafuta masoko ya zao la Korosho Mbichi na za kukausha. Tupeane feedbacks za deal hii

    Habari wadau wa Kilimo ,naomba tusaidiane kuhusu kupata masoko ya UHAKIKA ya Korosho mbichi grade A mzigo upo wa Kutosha tokea Mtwara-Tandahimba Utapendeza zaidi kupata masoko Kanda ya Ziwa ,Kaskazin and nje ya mipaka ya Tanzania.
  2. Mkurugenzi Wa Mashirika

    Natafuta laptop Used aina ya Lenovo corei 7

    Habari wakuu, Natafuta laptop Used aina ya Lenovo corei 7
  3. Muddy123

    Natafuta kazi yoyote halali viwandani au kwenye kampuni

    Naitwa Muhammed naishi dar umri wangu miaka 30 Nina familia na mtoto mmoja hali yangu kiuchumi nimbaya sana nilisomea Ualimu masomo ya Geography na History ila kazi cjapata. Hivyo naomba kwa anaejua Viwanda au Kampuni zinazochukua vibarua vya wafanyakazi anielekeze walau nipate kazi yakufanya...
  4. Isolated

    Natafuta Web Developer

    Hello, habari pole na majukumu wakuu. Nimekuja mbele yenu natafuta Web Developer ambaye yupo competent tufanye kazi, malipo kila kitu tutamalizana. Kama una ndugu, jamaa au rafiki nipe connection naye tufanye kazi.
  5. Cherry123

    Natafuta dereva wa bajaji wa kuleta hesabu nipo Dar - Kigamboni

    Hello! Natafuta dereva wa bajaji mwenye uzoefu na bajaji vizuri. Awe anaishi Dar na awe na leseni yake tayari. Mwenye tabia ya uaminifu. Anahitajika urgently apige namba 0757302961. Nipo Kigamboni
  6. Bata Boy Official

    Natoa 50k (elfu hamsini)

    Habari wakuu Kama title ya uzi inavyosema ninatoa 50k Tsh kwa yeyote anayeweza kunikutanisha na moja kati ya watu wafuatao. -Meneja/Afisa masoko wa Pepsi/Coca-Cola -Meneja/Afisa masoko wa Kilimanjaro/Castle light/Serengeti light -Joseph Kusaga -Majizzo -Diamond Platnumz Haya twende kazi 50k...
  7. Fundi mahiri wa Ujenzi

    Natafuta tenki used la Lita 3000

    Nipo DSM. 0655173113
  8. fanako

    Natafuta kazi yeyote nina elimu ya Kidato cha Nne

    JAMANI wapendwa mimi ni nijana Mtanzania nina miaka 24 ninatafta kazi yeyote ilio halali jamani. Asanteni
  9. M

    Natafuta kazi

    Naitwa Michael, natafuta gari ya hesabu iwe bolt au uber au hata kumuendesha mtu binafsi. Leseni ninayo Class C, napatikana Dar es Salaam.
  10. Brightly

    Natafuta Connection ya ajira Serikalini au sekta binafsi

    Habarii wakuu, Nawasalimu kwa jina la Jamhuri. Mimi ni kijana wa kitanzania Mhitimu wa stashahada ya uhandisi ujenzi(Ordinary diploma in civil engineering NTA level 6) kutoka chuo cha ufundi. Nimekaa mtaanii kwa zaidi ya mwaka mmoja Sasa nikijaribu bahatii yangu katika makampunii mbalimbali...
  11. samlai

    Natafuta ndungu wa upande wa Baba Meck Msigwa

    AMANI ya Bwana iwe nanyi. Kama kichwa cha Habari hapo juu.natafuta ndugu wa Baba angu ambaye Alifariki kwa Ajali ya Gari miaka ya 1987. Alikuwa Akiitwa Meck Msigwa.alikuwa akifanya Biashara ya Mchele na Maharage kutoka Mbeya kwenda Dar. Mara ya mwisho alipata Ajali akiwa anasafirisha Maharage...
  12. V

    Natafuta investment patner/co-founder, aina ya biashara - Software as service business model (Saas)

    Wakuu habari Mimi ni software engineer by profession, nimetengeza software na Application za simu kwa ajili ya hospitali, clinics na medical center) ni aina ya software ambayo inatumika mahospitalini kuingiza data za wagonjwa (treatments record pamoja payment records) ****Im looking for...
  13. R

    Kama una uwezo wa kutengeneza matangazo ya TV na huna ajira natafuta mbia wa project zangu

    Habari wakuu, Natafuta mtu mwenye ujuzi wa kutengeneza matangazo ya TV pamoja na graphic designs ambaye hajaaajiriwa tuungane kwenye project zangu za utalii kwa malipo ya commission. Kama upo hapa tafadhali niandikie email mlimakilimanjaro@gmail.com au tuwasiliane kwa private message/direct...
  14. M

    Natafuta tenga zilizotumika (used) zakubebea kuku

    WADAU, NATAFUTA TENGA ZILIZOTUMIKA (USED) ZA KUBEBEA KUKU KAMA HIYO YA KWENYE PICHA HAPO CHINI. KAMA UNAZO NAOMBA NICHECK INBOX. NAITAJI ZILIZOTUMIKA KWA UNAFUU WA BEI.
  15. Mr Pixel3a

    Natafuta mchumba wa kudumu

    ~ Mwenye utayari ~ Wakawaida kiumbo ~ 22-26years. ~ Elimu level yoyote. ~ Mweusi/Mweupe. ~Wamaisha/kuoana ~ Mvumilivu, charming Mengine tutarekebishana Please PM me.
  16. Samedi Amba

    Natafuta Bulk SMS Provider ambaye ana bei nafuu

    Wadau! Natumaini jumatatu yetu imeanza vizuri. Ni buheri wa afya hapa morogoro katika chimbo fulani hivi. Bila kupoteza muda. Natafuta bulk SMS Provider ambaye bei zake ni nafuu. Kuna jamaa fulani kule kenya wanafanya kwa KES 0.2/sms (Bongo ni sh 3.5 hivi). Sasa wabongo wengi wanachezea TZS 13...
  17. Rich Dad

    Natafuta Mtaalam wa zao la Kokoa ( Kakao) mkoa wa Morogoro au Tanga

    Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu. Naomba mzoefu wa kilimo cha Kakao kwa mkoa wa Tanga au Morogoro ani pm tuwasiliane. Nahitaji kupata uzoefu na kujifunza zaidi kwa MTU anayefanya aina hii ya kilimo kabla ya kuingia kwenye ukulima wa hili zao. Najua Kyela ni wazoefu zaidi lakini...
  18. Azul

    Natafuta mashine ya kukata Crips/viazi

    Habari ya leo Jumapili, Natumaini tuko sawa wote, wenye changamoto zozote poleni sana. Natafuta mashine ya kukatia viazi, kwa ajili ya kutengeneza Crips. Ningependa kujua bei, na inapopatikana au connections yoyote. Nipo kanda ya ziwa, unaweza kuja DM au sms/text kupitia 0743051733
  19. Ndove

    Natafuta display back cover ya laptop PROBOOK 6470B.

    Cover yake imeharibika na hanges zake za kushikia kioo zimekatika. Yeyote mwenye navyo anijuze na gharama itakuwa sh ngapi!
  20. Ultimate

    Natafuta simu aina ya NOKIA RM-872 Model 206

    Hello bosses Natafuta hii simu ya batani nokia rm 872 model 206 Budget yangu ni ya kawaida
Back
Top Bottom