Natafuta Wanunuzi wa Mbegu za Alizeti

The Certified

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
910
773
Habari Wadau,

Ninatafuta Wanunuzi Wa Mbegu Za Alizeti Kwa Ajili Ya Kukamua Mafuta.
Nina Tani Za Kutosha Ni Uwezo Wako Tu Mteja.

Kilo Moja Nauza 965/=
Oda Ya Chini Kabisa Tani 1 = Kg1000

PM Kwa Maelezo Zaidi.
 
Mkuu nakupongeza maana kwa Sasa serekali imegawa mbegu bure na Kuna mashamba walitoa kwa wawekezaji kuzalisha alizeti kufika mwezi wa 7 huko alizeti itakuwa Kama mchichi huko sokoni
 
Habari Wadau,

Ninatafuta Wanunuzi Wa Mbegu Za Alizeti Kwa Ajili Ya Kukamua Mafuta.
Nina Tani Za Kutosha Ni Uwezo Wako Tu Mteja.

Kilo Moja Nauza 965/=
Oda Ya Chini Kabisa Tani 1 = Kg1000

PM Kwa Maelezo Zaidi.
Najaribu kukudm sikupati. Nicheki
 
Back
Top Bottom