natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari zenu. Mimi ni Dada wa miaka 32 naishi Dar es Salaam natafuta kazi za ndani au dukani, elimu yangu kidato cha sita ni mwaminifu na mcha MUNGU nimeokoka nasali Reality of Christ Sinza Mori.
  2. pappilon

    JamiiForums Tanzania Natafuta Partner kwenye biashara ya marudio (Uchenjuaji wa marudio ya Dhahabu)

    Wakuu habari zenu. Nitaenda moja kwa moja kwenye mada, natafuta mtu ambaye nitashirikiana naye katika biashara ya uchenjuaji wa marudio ya dhahabu. Marudio yapo maeneo ya Morogoro, marudio yenyewe yanasoma kati ya 1.2ppm-3.2ppm kwa hiyo average nakisia inaweza kuwa 1.8ppm ila itabidi...
  3. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki

    Mimi natafuta marafiki wakubadilishana mawazo. Sifa awe anajielewa mtaratibu na mwenye heshima . Sichagui jinsia hata wote tu .
  4. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya networking na security system installation

    Kwa wale wenye Nia za kuifungua ofisi ambazo zinahitaji network au mifumo ya hospitalini au kufunga camera za usalama kwa majumbani na ofisini au sehem za biashara.... Naomba tuwasiliane nafanya kazi kwa uhakika kabisa. Sina meng ya kuandika ila mwenywe swali karibu na mwenye kazi karibu...
  5. Over the hedge

    JamiiForums Tanzania Natafuta portable power station

    Habari wakuu Naulizia portable power station kama hizi hapa chini za kuanzia watts 300 naweza kuzipata wap hapa bongo. Pia zinauzwa kiasi gani?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Anaesthetist (Mtaalam wa kutoa dawa za usingizi na nusu kabuti) natafuta kazi

    Mimi nina stashahada ya juu ya utabibu (ADVANCED DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE) nilisoma Kenya Medical training centre(KMTC) nilivyorudi nikaenda Bugando medical centre (BMC) kusoma Certificate in ANAESTHESIA ,nilikuwa trained pia BASIC LIFE SUPPORT kutoka EMAT. Nina uzoefu wa miaka 2 kama...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Mambo vipi au niseme good evening. Ninatafuta kibarua/kazi, mimi ni binti nina degree ya business management na ujuzi katika mambo mbalimbali. Kama unamjua mtu au ofisi inahitaji mfanyakazi usisite kunishtua/kunieleza. Weekend njema.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa ndoa

    Hello wana JF, Naitwa B, umri wangu 32, nipo Mwanza, dini Mkristu. Natafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo; Umri kuanzia 23 na kuendelea, elimu kidato cha nne na kuendelea, mwenye akili na utayari wa kuishi na mume, mwenye hofu ya Mungu. Karibu PM kwa mawasiliano zaidi.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba Mkristo (mke wa kumuoa)

    Sifa zake: 1. Awe na hofu ya Mungu. 2. Awe tayari kupima HIV. 3. Asiwe mfupi, Rangi yeyote ile, maana mimi mwenyewe ni mrefu 4. Awe na elimu ya kuanzia kidato cha nne, sita, hata chuo kikuu. 5. Ajue kupika, aisiyependa uchafu na awe anajua kupika kila aina ya chakula kuanzia maandazi n.k. 6...
  10. BROTHER OF BROTHERS

    JamiiForums Tanzania Natafuta Generator nzuri used aina ya Honda

    Habari za Muda Huu wanajukwaa. Kulingana na changamoto za kukatika Kwa Umeme Kila Baada ya nusu Saa, Sasa nimenyoosha mikono na nimesalimu Amri wakuu. Tafadhali Sana Naomba mdau mwenye Generator nzuri aina ya Honda aniuzie ili niweze kuendelea kuuza movie Hapa kijijini. Nina Computer 2...
  11. BROTHER OF BROTHERS

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA GENERATOR AINA YA HONDA USED:-

    Habari za Muda Huu wanajukwaa. Kulingana na changamoto za kukatika Kwa Umeme Kila Baada ya nusu Saa, Sasa nimenyoosha mikono na nimesalimu Amri wakuu. Tafadhali Sana Naomba mdau mwenye Generator nzuri aina ya Honda aniuzie ili niweze kuendelea kuuza movie Hapa kijijini. Nina Computer 2...
  12. marundoo

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Salaam, Natafuta rafiki ambaye ataenda kuwa mke wangu. Nina miaka 34, ni mkazi wa Arusha, awe na miaka kuanzia 25 mpaka 32, Mkristo, kabila lolote. Kwa aliyetayari na mhitaji karibu PM kwa mawasiliano zaidi. Asante.
  13. rutajwah

    JamiiForums Tanzania Natafuta vijana wenye ujuzi walio na ujuzi wa kiufundi walio mkoa wa Kagera tuungane tujikwamue kimaisha

    Habari wanjf, kutokana na tatizo la ajira linaloendelea hapa nchini, ujuzi wa ufundi ndo suluhisho pekee la kuondokana na changamoto hii. Hivyo natafuta vijana ambao wako tayari kujikwamua kimaisha ila wamekwama kwa namna moja au nyingine waje tuunganishe nguvu mawazo ili tupambane na...
  14. BILGERT

    JamiiForums Tanzania Natafuta dada wa kazi

    Anahitajika dada wa kazi,awe na vigezo vifuatavyo. A)Umri kuanzia miaka 18-25 B)Awe na uzoefu wa kazi za ndani, pamoja na kupika.asiwe mtu wa kuanza kufundishwa kazi. C) Awe anatokea Singida, Manyara ama Mwanza. D) Awe na mdhamini anaye tambulika in case of anything. E) Awe muaminifu na mwenye...
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ajira ajira natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta yangu

    Kuna shughuli yangu nahitaji usafiri wa pikipiki walau tano. Hivyo natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta na matengenezo juu yangu. Karibuni mwenye pikipiki tuelewane na tuingie mkataba. Location ni: Dar es Salaam
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ajira: Natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta yangu

    Kuna shughuli yangu nahitaji usafiri wa pikipiki walau tano. Hivyo natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta na matengenezo juu yangu. Karibuni mwenye pikipiki tuelewane na tuingie mkataba.
  17. Triple G

    JamiiForums Tanzania Natafuta taasisi ya mikopo Dar es Salaam

    Hello! Kuna jamaa yangu anatafuta taasisi ya mikopo inayotoa mkopo kwa haraka hapa DSM. Dhamana ni kadi ya gari. Ukipatikana atakuja hadi ofisin kwako. Karibuni.
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtalaam wa Telecomunication

    Habari wakuu, Natafuta mtalaam wa telecomunication. Kama yupo hapa naomba ajitokeze hadharani
  19. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya ghorofa Arusha yenye uwanja wa kutosha

    Habari wakuu. Natafuta nyumba ya kununua iwe na ghorofa moja hapa Arusha na iwe na uwanja wa kutosha angalau nusu eka.
  20. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji plot ya kununua Moshoni - Arusha

    Habari gani wanazengo? Nahitaji Plot safi maeneo ya Moshono, Arusha. Budget yangu TZS 7,000,000/= mpaka 9,000,000/= Kati ya Sqm 450 na 600sqm Kisiwe mbali na Lami. Iwe imepimwa safi kabisa. Mwenyenacho, tafadhali tutafutane.
Back
Top Bottom