natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya biashara kwenye eneo lililochangamka Dar es Salaam

    Natafuta nyumba ya biashara ya kununua iwe chini ya 50mil Kama ni lodge, Ya kupangisha/apartment, Fremu, Iwe DSM eneo lililochangamka Weka biashara hadharani Maswala ya kutaka namba za simu siyo nzuri kama hujaweka hadharani Nyumba picha, maelezo ya muhimu weka na namba yako ya simu
  2. Chura

    JamiiForums Tanzania Natafuta kioo cha TCL Smart Frameless Inch 65

    Habari wakubwa kichwa cha habari chajieleza, napesa mfuko wa shati laki 6 nashida na kioo cha TV Tajwa hapo juu, Deler kaniambia kinauzwa 1.1M kwa kweli nimeshindwa. Kwa mwenye nacho hata cha mchongo isizidi laki 6 anicheki asante.
  3. H

    JamiiForums Tanzania I'm seeking for an employment opportunity on any field

    Greetings, My name is Harrison Munuo, a 28 years old . A holder of a bachelor degree in Education(IT& Geography). I'm seeking for an employment opportunity on any field that my particulars fit. I am energetic and open to learn new skills. I am willing to work in remotely environment and minimal...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mume Shombe Shombe

    Habari zenu. Mimi ni Mschana, umri 30 years, Sina Mtoto. Mimi ni Halfcaste wa kiarabu, sio mweusi wala sio mweupe sn, natafuta mume ambae ni mixed race na mwenye Hofu ya Mungu. Umri wa mwanaume miaka 30-45. Nipo serious.🙏🏼
  5. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta chimbo la mafuta ya kupikia ya Mico Gold

    Habari ndugu! natumaini mnaelendelea salama. Naomba kufahamu chimbo la mafuta ya kupikia hasa haya ya Mico Gold nahitaji nipate kwa bei ambayo itaniwezesha mimi kuuza kwa bei ya jumla kwa wateja wangu.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba aje kuwa mke

    Sifa zangu ni mrefu wastani, rangi ni maji ya kunde, mkisto nasali Anglican, mpole na mwaminifu, umri 25. Natafuta mchumba awe mkristo kama ni dini nyingine tutaongea, awe urefu wa wastani akiwa mfupi sio mbaya, rangi yoyote, mwenye heshima, na mwaminifu, umri awe kuanzia 18-25.
  7. Strictly Syrup

    JamiiForums Tanzania 🚨FREELANCE TASK🚨 Mtaalamu wa kutengeneza 3D models anahitajika

    Salaam, Kama una uwezo wa kutengenenza 3D models unahitajika kuna task inatakiwa kufanyika, na malipo utapata baada ya kazi. Na kama utafanya vizuri, utakuwa unapewa task za mara kwa mara. Hii siyo ya kukosa. Kama una skills hizo, karibu PM.
  8. Trevor Belmont

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira ndani na nje ya Tanzania, nina shahada na uzoefu na kazi za bandari

    Habarin Wana JF heshima yenu wote 🙏🏾 natumaini wote ni wazima kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uzima anao tujaalia kila siku itwapo Leo. Ndugu zangu mbele yenu ni kijana mtanzania nina ishi dar es salaam nime hitimu bachelor degree in shipping and logistics management mwaka 2022 Nina...
  9. tecknologia23

    JamiiForums Tanzania Wajemeni natafuta shekhe anayejua kutoa majini

    Mimi nipo Moshi natafuta shekhe anayejua kutoa majini sifa yake awe mtu mzima makamu anayejiheshimu kabisa na anayejua kazi yake. Naombeni msaada ni waharaka
  10. R

    JamiiForums Tanzania Bado natafuta broker wa stocks na ETFs za nje

    Habari wakuu. Niliweka hii post kule kwenye jukwaa na hoja mchanganyiko lakini sikupata jibu lolote. Nataka kuwekeza kwenye Exchange Traded Funds (ETF) lakini kampuni haina option kuwekeza kwa watu wasiokuwa wakazi wa Marekani. Kama kuna broker ambaye naweza kufungua akaunti kupitia kwake naomba...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta broker wa ETFs za Marekani

    Habari wakuu. Kuna exchange traded funds (ETF) za kampuni ya Marekani nilitaka kuwekeza kidogo ila wanahitaji tu US residents. Kama kuna mtu anamjua broker ambaye naweza kufungua akaunti kupitia yeye naomba msaada tafadhali.
  12. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kunisaidia kupata ajira na kuniondolea gundu

    Kama heading inavyojieleza bado naangaika kusaka ajira. Kuna siku niweka uzi nikaukimbia watu wana maneno makali sana unaweza jiona hufai tena. Sijachanganyikiwa kama wengine wanavyoamini mimi nipo timamu kabisa. Kuna wakati nilizunguka uko kwa wataalam sikufanikiwa sababu naona ilikuwa uwezo...
  13. Jacqueline Rusimbi

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za pharmacy kwenye hospital pharmacy au community pharmacy

    Habari, mimi ni Pharmtech Tech., nina liseni, nilikuwa nahitaji kazi. Naishi Dar es Salaam-mwenge, pia naweza fanya kazi as full time, part time and night shift. Napatikana kwa number 0765607650 au email: jaelynebless@gmail.com
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta screen replacement ya ULEFONE NOTE 11P

    Wasalaam wadau, Natafuta, screen replacement ya ULEFONE Note 11p ( Ulefone Note 11P - Full phone specifications) , hii ni baada ya kioo kilicopo kuacha kufanya kazi baada ya simu kuanguka. Naomba msaada kama kuna mtu mwye hiki kioo au anafahamu kwa uhakika mahali ambapo naweza kupata kwa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwalimu wa Chekechea

    Waungwana habari za mwaka mpya, Nimekuja jukwaani natafuta mwalimu wa CHEKECHEA shule ipo kiluvya madukani njia ya kwenda kwa waziri mkuu SUMAYE. Kwa aliye tayari aje PM tupange kazi, muwe na siku njema
  16. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta ECU/Control box ya IST New model

    Habari zenu wapendwa, nahitaji kupata control box ya IST New model, details zake ni hizi hapa. 89661-52F50 J2 IST New model Niliyoipata imefanikiwa kuwasha gari vizuri but taa za dashboard zina blink, zinazima na kuwaka. Ukiacha gari silensa au ukiwa una drive taa za dashboard na mshale zina...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, mimi ni mwalimu pia nina uzoefu wa Ulinzi na Udereva

    Ndugu wanafamilia wa Jamii forums, nawasilimu kwa jina la Jamhuri, Maji yamenifika shingon mwenzenu, mim ni mhitimu shahada ya ualimu tangu 2016 , nimejaribu kupambana niwezavyo kutafuta ajira bila mafanikio. Baada ya kuona ajira zinakuwa ngumu, nikatafuta kazi kwenye kampuni ya ulinzi...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga Mwenge - Makumbusho

    Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Mwenge au Makumbusho. Bei 40 to 60k kwa dalali naomba tuwasiliane tafadhali.
  19. Msokwa1

    JamiiForums Tanzania Kijana 26 years natafuta kazi yeyote halali

    Mimi ni kijana umri miaka 26, mwenyeji wa mkoa wa songwe ambako ninaishi mpaka sasa. Nimemaliza kidato cha nne na kupata div 2 point 20 mwaka 2015, nilifaulu vizuri masomo ya sayansi hivyo nikajiunga na advance kwa tahasusi ya pcb hapo sikufanya vizuri kwani nilipata division three point 14...
  20. Kimosy

    JamiiForums Tanzania Jamani natafuta apple acid vinegAr

    Jamani natafuta apple acid vinegAr inakouzwa hapa dar es salaam
Back
Top Bottom