Natafuta mke

fighter19

Member
Jan 6, 2023
33
40
Natafuta mchumba atakaye kuwa mke wangu.

1. Awe ana hofu ya Mungu.
2. Elimu atleast form 6 (hata ukiwa na PhD).
3. Awe na akili za maisha na shughuli ya kumuingizia kipato.
4. Awe na shape/figure.
5. Asiwe na mtoto.

Age (25-32)

Mimi nina miaka 33, nina kazi yangu nzuri tu ya kukutimizia mahitaji yako ya MSINGI kama mwanamke.

NB: Ukijua unatabia za slay queens kaa pembeni.
 
Natafuta mchumba atakaye kuwa mke wangu.

1.Awe ana hofu ya Mungu.
2.Elimu atleast form 6 (hata ukiwa na PhD).
3.Awe na akili za maisha na shughuli ya kumuingizia kipato.
4.Awe na shape/figure.
5.Asiwe na mtoto.

Age (25-32)

Mimi nina miaka 33 nina kazi yangu nzuri tu ya kukutimizia mahitaji yako ya MSINGI kama mwanamke.

NB:Ukijua unatabia za slay queens kaa pembeni.

Hi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom