natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta mahali pa kujifunza kupaka make up

    Habari zenu, natamani nipate ujuzi wa kupaka make up sababu naona nina interest na mambo ya urembo nadhani nitaexcel huko. Nahitaji mapendekezo yenu je ni wapi nitapata hayo mafunzo kwa Dar yani nikitoka hapo niwe nguli kabisa
  2. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi wakuu, aliye na connection ya kazi anisaidie

    Nina umri wa miaka 24 ni Mwanachuo lakin nimeweza kuahirisha mwaka kutokana na Hali ya kiuchumi kuwa hairuhusu kuendelea naomba mwenye connection ya kazi yoyote WAKUU ya kuingiza kipato ANISAIDIE hata Kama no wewe mwenyewe utaona ninafaaa sawa kunipa kazi hata Kama no part time. Nilikuwa...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta exhaust system complete ya Engine ya Ford Zetec 16v

    Wadau Natafuta exhaust system (complete ) ya Engine ya Ford Zetec 16V. Yeyote mwenye nayo tuwasiliane. Kupitia PM
  4. F

    JamiiForums Tanzania Nimemchoka mke wangu natafuta jinsi ya kumpiga chini

    Aisee hii mindset ya kusema kabila fulani ni mzuri halafu kabila lingine ni mbaya ni kitu kubaya sana aisee asikuambie mtu wakuu na unatakiwa kuindoa hiyo mindaet kabisa Miezi kadhaa nilimchumbia binti mmoja wa kabila la kanda ya ziwa mkoa wa simiyu yeye ni Mkristo (Msabato) mie ni ni mlokole...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanamke Mwenye Sifa Zifuatazo!

    Ukihitaji salamu subiri kwanza nijipatie jiko,tofauti na hapo utaambulia vumbi la Kongo! Mimi TUKANA UONE ninakuja kwenu wanawake wote kutoka pande zote za nchi ya Tanzania ambao mnautumia mtandao huu pendwa wa JF! Dhumuni au Kusudio la Uzi huu ni kwamba nahitaji mwanamke atakayekuwa mama wa...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva

    Habari, Mimi ni kijana umri miaka 27 mkazi wa Dar es Salaam, natafuta ajira ya udereva wa class A2,D Kwa magari madogo ya biashara ama binafsi. Tupeane ajira ndugu zangu kuukimbia umaskini.
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta muwekezaji wa Golden Feldspar itokayo Tanga

    Hello, Been a while since I posted here,,,nadhani vijana wenzangu mpo poa,,na wazee mpo fresh kabisa kiafya. Mimi ni mchimbaji wa feldspar na nina migodi ya Golden Feldspar pamoja na carrot na mengine. Sasa nilikuwa nina mgodi wangu mmoja wa Golden Feldspar ambao survey yake ime turn to...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta Dalali wa Frame Arusha Mjini

    Habari wakuu, Natafuta dalali yeyote wa kunitaftia frame Arusha, maeneo ya mjini kama Standkuu, kkoo, chini ya mti, jogoo, stand ndogo, Mnazi Mmoja...nk. Kwa yeyote mwenye connection tuchekiane DM au share namba hapa. Natanguliza shukrani
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba (KE)

    Kama heading inavyosema mimi ni mwanume aged 30 ni mwembamba mrefu na mweusi nimeajiriwa private company. Ninatafuta mwanamke aged 20 mpaka 35 awe na kazi au biashara nipo bagamoyo serious one hit my pm NB serious relationship kuelekea ndoa
  10. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi aina yoyote

    Mambo vipi ndugu zangu wa JF mko vema kabisa na mnaendelea na mapambano. Ombi langu Natafuta kazi yoyote tu mimi ni kijana miaka 27 sina ujuzi wowote, napatikana Mara. Natumaini ntapata kazi, Asante 🙏
  11. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya uhasibu katika taasisi yoyote

    Habari, Mimi ni kijana wa miaka 24 nimehitimu katika chuo cha uhasibu Dar es salaam kwa ngazi ya Degree (Degree in accountancy) kwa sasa napatikana Dar es Salaam. Natafuta kazi ya uhasibu katika taasisi yoyote.
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Meneja Mauzo

    Nina uzoefu wa miaka 5 katika mauzo ya Sola kwenye kampuni ya offgrid electric power maarufu kama Zola. Mpaka sasa nafanya kazi katika kampuni hiyo Nilianza kama afisa mauzo wa kawaida na badae sales leader Kitaaluma ni mwalimu kwa ngazi ya degree Kusimamia teams za mauzo na motivations kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kazi za ndani! Jamani wanapatikana wapi?

    Awe bado ni binti ambaye hana mambo mengi na ni Mkristo! Kama atakuwa kamaliza kidato cha nne itapendeza zaidi! Ndio nasema kidato cha nne kwasababu wengi unakuta wako nyumbani hawana issue mwisho wa siku wanaenda kuuza Baa au kudanga wapate hela ya kula. Kazi kuu itakuwa kuuza dukani! Akiamka...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta daladala used

    Rejea kichwa habari...Aina yoyote inayoweza njia ya vumbi...yenye milima. Shukran imetangulizwa.. Kimtindo mtindoe....mtindisho....mtindishhhdoooo.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kozi ya kujiendeleza

    Habarini WanaJF Natumaini hamjambo wote. Mimi nimesome Bachelor Degree in Biology lakini nimejaribu kutafuta kazi nakosa naambiwa coarse yangu ni general sana. Nilikuwa naomba mwenye kujua kozi ambazo naweza kujiwndeleza ili niwe specific Natanguliza shukrani
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu atakayeshirikiana na mimi kwenye kazi ya maombi ya kuombea watu

    Kama kisemavyo-kichwa cha habari hapo juu Majukumu yake ni kama yafuatayo Kuomba kwa mda mrefu na kwa mzigo kwa ajili ya kutatua changamoto za watu wengine Kushauri beneficiary (wahitaji/wanaoombewa) kwenye changamoto zao wanazokutana nazo Kushirikiana na beneficiary (wahitaji/wanaoombewa)...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nipo Musoma

    Habari wakuu kwema nyote, natumaini hamjambo wote, Sawa baada ya salamu naomba nije kwenye jambo langu hili, mimi ni kijana jinsia me miaka 27 nipo musoma, natafuta kazi yoyote iwe na angalau narudi na chochote kitu jioni, Nipo tu sina mishe yoyote wala kazi, naomba tafadhali kama...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta Maduka, Vibanda vya Uwakala, Saluni na sehemu ya kuweka Donati zangu

    Habari Wakuu, Natafuta Maduka, Vibanda vya Uwakala, Saluni na sehemu za kuweka Donat zangu. Donati zangu zauza shilingi 100, nikiweka kwako nitakupa shilingi 20 kwa kila donati. Nipo Mabibo, Dar es Salaam
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu wa gymnasium

    Habari za mchana na poleni na majukumu. Jamani humu ndani kama kuna mtu anafahamu mwalimu wa gymnasium au mahali nawezapata info zitakozoniwezesha kupata uyo mwalimu naomba nisadie, pia unawezanitumia kama ni number ya sim kwa PM. Asanteni sana
  20. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba aje kuwa mke

    Habari za Kazi, Mimi ni mwanaume mwenye umri 40+. Natafuta Mchumba baadae aje kuwa mke, nahitaji sana watoto kwa sasa. Tafadhali naomba binti ambaye yuko tayari kuwa na mimi aje PM, umri usizidi 38, awe mcha Mungu kiasi au sana ni sawa tu, awe mfanyakazi na awe tayari kuja kuishi Dar kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…