Natafuta mahali pa kujifunza kupaka make up

Natafuta mahali pa kujifunza kupaka make up

Ri ri

Senior Member
Joined
Aug 28, 2022
Posts
141
Reaction score
221
Habari zenu, natamani nipate ujuzi wa kupaka make up sababu naona nina interest na mambo ya urembo nadhani nitaexcel huko.

Nahitaji mapendekezo yenu je ni wapi nitapata hayo mafunzo kwa Dar yani nikitoka hapo niwe nguli kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom