natafuta kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbulukenge

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote

    Habari wanandugu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 niko kwenu hapa kutafuta kazi yoyote ile Kwa mkoa wa Dar es salaam au Kahama.. Uzoefu nlionao driving. Kulinda. Kufuga. Na kazi yoyote ile manual Kwa maelekezo tu. Pia ni graduate wa social protection katika chuo Cha IFM. Niko juu ya mawe...
  2. athumani mfaume jr

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea nina Degree ya IT

    Habari za muda huu ndugu zangu?, Mimi Athumani mkazi wa Dar es salaam mwenye degree ya IT. Natafuta kazi ya kujitolea ili nipate uzoefu na kuongeza kitu kwenye CV yangu. Nina ujuzi wa graphics, na kutengeneza web apps hivyo naomba msaada wenu. mawasiliano: 0656058186
  3. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, civil engineer

    Habari za wakati huu ndugu zangu, mimi ni mhitimu wa ngazi ya degree in civil engineering mwaka 2023, natafuta kazi ( ushauri pia napokea)
  4. P Accountant

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufanya aina yoyote

    Habari za wakati huu ndugu zangu. Mie ni kijana wa kiume, ninaishi Dar es salaam. Natafuta kazi ya kufanya (kibarua) aina yoyote, walau niweze kuishi na kupata chakula. Hali nayopitia sasa ni ngumu sana. Elimu yangu: Shahada ya Uhasibu Ujuzi: Microsoft office Excel Computer Kazi nazo...
  5. Motag

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kituo cha kujitolea

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, mbunifu, mwaminifu na mchapakazi Nimesomea maswala ya manunuzi na ugavi ngazi ya shahada katika chuo cha uhasibu Tanzania TIA na nimesajiliwa na bodi PSPTB Uzoefu sio mkubwa niliwai kujitolea katika hospitali ya Nkinga kama supplier officer/ storekeper...
  6. DJPEREZ SHOW

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi (operator wa loader na excavator)

    Samahani mimi ni operator wa wheel loader na excavator , nimeangaika sana na excavator nkakosa connection nkaamua niingie kwenye loader nmepata ujuzi na npo vzuli kwajili ya kazi ila excavator bado jaman anaeweza naomba msaada nipate mtu wa kushinda nae kwenye excavator npate ujuz wa kazi au...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ajira yoyote

    Habarini wadau kwema wote humu, natumaini wote wazima humu Mwenye changamoto yoyote ya kiafya MWENYEZI MUNGU ATASAIDIA. Niende kwenye mada Moja kwa Moja wadau natafuta kazi ajira yoyote kama naweza kupata ata connection mnaweza kunipa, kazi ni kipimo cha utu, napatikana Musoma kwa wadau wa...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ulinzi

    Habar wakuu! Natafuta kazi ya ulinzi umri; 28yrs old Elimu; kidato cha 6, chuo but #dropout kwa sababu za kifedha lakn sio ishu Mafunzo; JKT, Op; makao makuu Dodoma Uzoefu; 3yrs of experience Napatikana; Kimara-DSM uwezo wa kutumia silaha; rungu,Smg,pump action s/machine gun #niko...
  9. James_patrick_

    JamiiForums Tanzania Dereva natafuta kazi.

    Dah ngoja nijalibu tena kuomba labda ipo siku mungu ataniona. Habari ndugu zangu poleni na uvumilivu wa kungojea muujiza wa mungu..usijali jua aupo peke yako wengine tunakalibia mwaka wa pili sasa atujaona cha muujiza wala cha nn na kama kuomba tunaomba sana..kuna mda unaweza ukakufuru anyway...
  10. Just_mimi

    JamiiForums Tanzania Lab Technician natafuta kazi

    Habari wakuu, Mimi ni kijana wa kiume niliesoma Diploma ya Laboratory technician kutoka chuo cha DIT napatika Dar-es-salaam, natafuta kazi kwenye shule au viwanda mkoa wa wowote nchini. Asanteni.
  11. Mtewele isaya

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi lakini pia nina uzoefu na usimamizi kwenye vifaa vya ujenzi

    Naitwa isaya mtewele elimu yangu ni kidato cha nne natafuta kazi lakini pia nina uzoefu na usimamizi kwenye vifaa vya ujenzi kwa maana nimefanya kazi ya usimamizi kwenye duka la vifaa vya ujenzi miaka mitano hivyo kama kuna kampuni au shirika. Binafsi linalojihusisha na uuzaji wa vifaa vya...
  12. Newcastle1234

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Sales au Business Administrator au relevant

    Mimi kijana wa miaka 35. Natafuta kazi, short term au long term. Nina elimu ya chuo kikuu na experience kwenye sales, marketing na project management. Kwa Sasa Sina kazi lakini niko tayari kufanya kazi yeyote nitakayoiweza. Niko flexible sana na open minded
  13. mike2k

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Ualimu

    👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫 NATAFUTA KAZI YA UALIMU Mimi ni mwalimu mwenye shahada ya elimu, nina uzoefu wa miaka minne wa kufundisha shule za msingi na sekondari. Ninafundisha masomo ya Kiingereza, Historia ya Tanzania, CME, Kiswahili, Jiografia na Mazingira, na Elimu ya Jamii kwa shule za...
  14. Jicholamwewe

    JamiiForums Tanzania Msaada natafuta kazi

    Wakuu habari? Nahitaji msaada wa kazi.yeyote anayefaham kazi ilipo naomba aniambie.Nina ujuzi wa laboratory ,QC pia kazi yoyote nitafanya.hapo chini ni part ya CV yangu pamoja na certificate training .asanteni sana
  15. Jicholamwewe

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari wakuu hongereni kwa mwaka mpya. Nikienda moja kwa moja kwenye mada. Mimi natafuta kazi yoyote ila nina uzoefu wa miaka 2 laboratory technician pia quality control pia nina uzoefu wa blending operator yaani uwezo wa kublending products zote hasa za spirit mfano konyagi, vodica, value...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi/nahitaji kazi yeyote ambayo haivunji sheria za mungu na haivunji sheria za nchi

    Hello wapendwa,Mimi ni binti Nina miaka 26 Ninaishi Dar es salaam Natafuta kazi/Nahitaji kazi yeyote ambayo HAIVUNJI SHERIA ZA MUNGU na HAIVUNJI SHERIA ZA NCHI Nina certificate ya (Medical attendant) Hivyo hata Kama ipo ya inayofanana na hiyo fani yangu pia sawa. Naenda mkoa wowote kazi...
  17. IgKim

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha (ualimu)

    Mimi ni Mwalimu, nina diploma masomo ya chemistry na Biology uzoefu katika kufundisha ni miaka minne, nina uzoefu kwa primary schools kufundisha science and mathematics na secondary schools mwenye shule ama anaejua shule inayoitaji Mwalimu Tafadhali tushirikishane haswa shule za Arusha na...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nipo Dar es Salaam

    Sichagui kazi kikubwa iwe ya halali Umri: 23 Elimu form 4, diploma Niko na uzoefu wa kuuza Duka la chakula kwa miaka 4. Pia, nina uwezo mzuri kuhusu mipango ya biashara na pia natoa ushauri wa kibiashara kwa mtaji kuanzia million moja. 0622998765
  19. athumani mfaume jr

    JamiiForums Tanzania Nina degree ya IT, natafuta kazi yoyote nipo DSM

    Mimi ni muhitimu wa degree ya IT na biashara niliyohitimu mwaka 2020 katika chuo kikuu mzumbe kampasi kuu morogoro, nina uzoefu na mambo ya IT. Ni mkazi wa dar es salaam. Ninaomba mwenye fursa ya kunisaidia kupata kazi ya aina yoyote nipo tayari kuifanya naomba wakuu tusaidiane kwa...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali. Niko Dar es Salaam

    Mimi NI kijana wa miaka 23 Nahitaji kazi yoyote halali either ya nguvu au akili au zote kwa pamoja nimemaliz form four na nikisoma diploma miaka 2 wa tatu nimeshindwa kutoka na changamoto za ada hivyo nimeipata certificate course insurance and Risk management Na Nina uzoefu wa kuuza Duka kwa...
Back
Top Bottom