Ni muhitimu katika fani ya Health SYSTEMS MANAGEMENT kwenye utumishi inahusishwa na ukatibu wa afya.
Nahitaji kazi/ajira si internship popote Tanzania.
Kwa sasa nipo kibaha.
Wakuu habari za weekend....nmerudi tena kijana wenu mwenye connection nafasi ya civil engineering naomba aniunganishe.Nina uzoefu wa kazi za bara bara nmefanya miradi ya DMDP Dar es salaam na pia miradi ya tarura na tanroad mkoa wa kilimanjaro.Kwa maelezo zaidi cv yangu ipo inajieleza,msaada...
Nakuja kwenu kwa Mara nyengine nikiwa na maombi ya kupata fursa ya kushiriki katika tasnia ya Ujenzi nikiwa ni kama Mhandisi wa Ujenzi, matamanio yangu ni kutumia ujuzi na Elimu yangu katika kuongeza thamani ya Kazi za Kampuni au taasisi, kushiriki katika kuhakikisha malengo yaliyowekwa na...
Salamu nyingi kwenu wakuu,
Mimi ni kijana mwenye elimu ngazi ya degree na pia Nina uzoefu wa Mwaka 1 kwenye banking and finance.
Naomba msaada wenu ili nipate kazi iwe kwenye taasisi, shirika au kampuni au mahali pengine popote iwe kwenye stores, marketing, customer services department au...
Naitwa Paul s peter nimesoma bsc.nursing midwife intern nimefanya muhimbili sijapata lesen bado.
Nina ujuzi wa computer kiasi
Nmefundisha tuition
Nimechoma chips
Nahitaji kazi yoyote naomba Wana jamii mnisaidie
Tel 0689052541
Mimi nina degree ya lab technician ila nimeomba kazi sehemu nyingi sana nimekosa.
Naomba unisaidie kupata kazi yeyote nitafanya ila iwe halali.
Nipo na hali mbaya sana wakuu.
Habari wana jamvi.
Nina mtoto wa dada wa kiume anamiaka 28 , amemaliza degree ya accountancy mwaka 2017 , nilimuingiza kwenye biashara , sasa anataka pata ajira biashara ngumu.
Hana uzoefu wa kazi ya uhasibu yoyote ,ila ni muelewa wa haraka na yupo tayari kujitolea mkoa wowote tanzania...
Habari za saa hizi ndugu zangu,
Aise! Maisha ni changamoto kubwa sana kwangu kwa sababu ya kukosa hata kodi ya nyumba. Nilikuwa nasoma chuo Dar es Salaam. Chuo nimemaliza natafuta kazi.
Elimu yangu: BA-ED (Bachelor of arts with Education). (Nimemaliza mwaka huu nasubiri transcript).
Masomo ya...
Nipo napatikana Mara - Musoma kwa Mawasiliano zaidi nicheck 0674615883 nyote mnakaribishwa
NOTE: Nikisema sina ujuzi wowote nifaamike hivyo mwenye kuniitaji ili niwe napata angalau ugali wangu wa kila siku anione, nipe kazi yoyote ila sio ya wizi,ujambazi wala utapeli, 🙏🙏
Habarini wakuu, natafuta kazi ya ualimu masomo ya physics na chemistry nimegraduate mwaka huu nipo mwanza, lakini naweza kufika sehemu yoyote Tanzania. Kwa atakenisaidia kupata sehemu ya kujishikiza siwezi kumuacha patupu.
Advance nilisoma PCB na nilipata division 2 point 12...
GPA ya Chuo...
Naitwa RABSON JOHN
Naishi DAR ER SALAAM MABIBO
NINA MIAKA 27
Mimi ni kijana ambae nina fani ya Udereva.
Pia nina uzoefu wa Sales & Marketing nimewahi fanya kazi na makampuni mengi hapa Dar er Salaam
Nina leseni ya udereva yenye madaraja haya.
A.A2.B.C1.C2.C3.D.E pia napenda kuwaomba kazi ya...
Habari wana JF wa jamvi hili la Ajira. Nina diploma ya Logistics and Transport Management kutoka katika chuo cha usafirishaji (N.I.T), plus Microcomputer course kutoka University of Dar es salaam (U.C.C).
Nina experience ya miaka miwili kusimamia magari na madereva, nina skills za kutosha...
Habari wakuu..!
Natafuta kazi ya uandishi/uhariri wa kazi mbalimbali za maandishi kwa lugha ya Kiswahili na kiingereza kama vile makala, hotuba n.k
Kwa yeyote mwenye mchongo tafadhali tuwasiliane.
-Nina utaalam na masuala ya computer (Word, PowerPoint, SPSS na Excel including VBA n.k)
-Ni...
Habari wakuu..!
Natafuta kazi ya uandishi/uhariri wa kazi mbalimbali za maandishi kwa lugha ya Kiswahili na kiingereza kama vile makala, hotuba n.k
Kwa yeyote mwenye mchongo tafadhali tuwasiliane.
-Nina utaalam na masuala ya computer (Word, PowerPoint, SPSS na Excel including VBA n.k)
-Ni...
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 32
Naishi Dar es salaam
Nimemaliza form six
Nimesomea Air Ticketing
Nina experince ya zaidi ya miaka 5 kwe flight reservation
Nina experince ya miaka 2 kama receptionist kwenye 4 star hotel.
Kwasababu ya Corona kampuni niliyokuwa naifanyia kazi biashara imeyumba...
Naomba kujuzwa chimbo la vibarua hapa mjini ni wapi? Na kazi zipi za part time hapa bongo? Kuna mtu nlimsikia kuwa posta karibu na clock tower kuna sehemu watu wanakusanyika kusubiri vibarua na nje ya bandari ni kweli? Kama kweli taratibu zipoje? Na malipo yakoje?
Tujuzane wakubwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.