natafuta kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MwaFreeca

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari wana JF, Mimi ni mhitimu wa ufundi umeme majumbani mwaka wa pili. Nipo Dar Natafuta kazi hata ya kujitolea ili kuongeza ujuzi na uzoefu katika fani yangu. Nina imani hapa JF wapo watu watanisaidia katika hili. Asanteni🙏
  2. makame clan

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote mkoa wa Tanga

    Ni mhitumu wa chuo, kama kuna Kazi mkoa wa Tanga naomba connection. Weka namba yako hapa au nitumie meseji PM.
  3. CFX

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina Diploma ya IT, Dereva, Data Clerk na Graphic Designer

    Tayar
  4. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi wakuu, aliye na connection ya kazi anisaidie

    Nina umri wa miaka 24 ni Mwanachuo lakin nimeweza kuahirisha mwaka kutokana na Hali ya kiuchumi kuwa hairuhusu kuendelea naomba mwenye connection ya kazi yoyote WAKUU ya kuingiza kipato ANISAIDIE hata Kama no wewe mwenyewe utaona ninafaaa sawa kunipa kazi hata Kama no part time. Nilikuwa...
  5. Mr passion

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva

    Habari, Mimi ni kijana umri miaka 27 mkazi wa Dar es Salaam, natafuta ajira ya udereva wa class A2,D Kwa magari madogo ya biashara ama binafsi. Tupeane ajira ndugu zangu kuukimbia umaskini.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi aina yoyote

    Mambo vipi ndugu zangu wa JF mko vema kabisa na mnaendelea na mapambano. Ombi langu Natafuta kazi yoyote tu mimi ni kijana miaka 27 sina ujuzi wowote, napatikana Mara. Natumaini ntapata kazi, Asante 🙏
  7. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya uhasibu katika taasisi yoyote

    Habari, Mimi ni kijana wa miaka 24 nimehitimu katika chuo cha uhasibu Dar es salaam kwa ngazi ya Degree (Degree in accountancy) kwa sasa napatikana Dar es Salaam. Natafuta kazi ya uhasibu katika taasisi yoyote.
  8. Mandela5599

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Meneja Mauzo

    Nina uzoefu wa miaka 5 katika mauzo ya Sola kwenye kampuni ya offgrid electric power maarufu kama Zola. Mpaka sasa nafanya kazi katika kampuni hiyo Nilianza kama afisa mauzo wa kawaida na badae sales leader Kitaaluma ni mwalimu kwa ngazi ya degree Kusimamia teams za mauzo na motivations kwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kozi ya kujiendeleza

    Habarini WanaJF Natumaini hamjambo wote. Mimi nimesome Bachelor Degree in Biology lakini nimejaribu kutafuta kazi nakosa naambiwa coarse yangu ni general sana. Nilikuwa naomba mwenye kujua kozi ambazo naweza kujiwndeleza ili niwe specific Natanguliza shukrani
  10. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nipo Musoma

    Habari wakuu kwema nyote, natumaini hamjambo wote, Sawa baada ya salamu naomba nije kwenye jambo langu hili, mimi ni kijana jinsia me miaka 27 nipo musoma, natafuta kazi yoyote iwe na angalau narudi na chochote kitu jioni, Nipo tu sina mishe yoyote wala kazi, naomba tafadhali kama...
  11. cold water

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi clinical officer

    Helloe, Mimi ni msichana Nina miaka 27,elimu yangu Diploma natafuta kazi idara ya afya "clinical officer" nipo mkoa wa Ruvuma, kwa mawasiliano naomba kuni DM.Asanteni niwatakie kazi njema kwenye kujenga taifa.
  12. Leonce jr

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya utendaji mtaa au kijiji

    Habari ya muda huu. Natafuta kazi ya afisa mtendaji mtaa au kijiji popote nchini nina cheti cha form four na form six.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Nina degree katika field ya mazingira, natafuta kazi

    Habari Wana JF, Mimi ni binti wa miaka 23 napatikana dodoma level Yangu ya elimu ni degree katika field ya mazingira Naomba msaada wa connection ya kazi au kwa yoyote Mwenye kuhitaji kibarua aniajiri Ili niweze kujikimu Nb: kazi yoyote halali nina uwezo wa kuifanya 🙏
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi halali nipo Mbeya

    Habari za wakati huu wakuu..? Mimi ni binti wa 20's..nimemaliza chuo Mwaka huu Bsc with Education(Biology and Chemistry) Nimekuja kwenu wana jamvi kuomba kazi ama sehemu ya kufanya kwa kazi hususani kufundisha masomo taja hapo juu... kwa mtu yeyote aliye na connection ya shule inayohitaji...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nipo Kigamboni

    Habari za saizi wakuu, Naitwa Mary nina miaka 24 nina elimu ya chuo naombeni kazi yoyote halali. Nifanye nakaa Kigamboni hata kesho Niko tayari kuanza. Simu: 0682787031
  16. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu au yoyote

    Kwa majina naitwa Abdallah nna miaka 23 nimemaliza chuo mwaka huu natafuta kazi ya ualimu shule binafsi au hata Hotelini, Kiwandani nipo tayari nipo Dodoma mawasiliano 0657897884
  17. DaveSave

    JamiiForums Tanzania Nina Masters ya Financial Investment natafuta kazi

    Salaam wanajukwaa mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32. Nilimaliza Bachelor Degree ya Banking and Finance (IFM) 2014. Nikasome Masters Degree of Finance and Investment (Coventry University- IAA). Nimefanya contractual jobs na Kampuni tofauti. Mwenye fursa akihitaji CV yangu nipo tayari...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi kwa yeyote anayeweza niona nafaa

    Mimi ni kijana mwenye miaka 25, nipo, Dar Es Salaam. Nisiwapotezee muda, naombeni kazi kwa yeyote anayeweza niona nafaa; Ninaweza fanya kazi yotote, haswa ambayo sio ya kutumia nguvu sana kulingana na afya yangu. Nina uwezo wa kuongea na watu vizuri (kiingereza na kiswahili). Nina elimu ya...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nipo Dar

    Habari za majukumu wakuu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31 ninaishi Dar es salaam, Ninawaomba kwa yeyote anaeweza kunisaidia kupata kazi nitashukiru sana, Nimeambatanisha CV yangu tafadhali nahitaji msaada wenu, Ahsante.
  20. Cr wa familia

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote

    Wakuu habarini za muda, Nimerudi mbele yenu wakuu kama kichwa cha habari kisemavyo naombeni mnipatie kazi yoyote na mahali popote. Niko tayari kufanya Niko Mwanza NNA UJUZI WA COMPUTER ila hata kazi za nguvu naweza natanguliza shukrani wakuu PM yangu iko wazi 24/7 kwa kwenye uwezo wa kunisaidia
Back
Top Bottom