nashindwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo nilivyotapeliwa mwaka 2005 na matapeli wanaokutemesha nywele mdomoni au kukutoa moshi kitovuni, siwezi kuja kusahau!!

    Enzi hizo tulilizwa wengi kwa hii staili sababu hata mtu akipigwa inakuwa siri hakuna mitandao ya kuelimishana. Mwaka 2005 nipo nakaribia kuvuka barabara ghafla mzee mwenye koti lake anaulizia hospitali nikamwelekeza ilipo maana haipo mbali ila yeye akasema ni mgeni, akaja mtu mwengine nae...
  2. Dr Adinan

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kudhibiti kisukari licha ya kutumia dawa na kufuata masharti

    Siku moja tukiwa tunaongea na wagonjwa katika mijadala ya kawaida kuhusu kudhibiti kisukari na presha, mgonjwa mmoja aliuliza swali la muhimu sana. Dr. Mimi nashangaa, ninamuiga mume wangu aina ya vyakula na kiwango lakini yeye ameweza kudhibiti ila mimi siijaweza. Tatizo nini? Wagonjwa...
  3. SPONSA

    JamiiForums Tanzania Nimekubali huyu binti bikra anazitesa hisia zangu. Nimekubali nimekamatika. Natamani kutoka lakini nashindwa sijui nifanye nini

    Habari wana jamvi kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu. Dhumuni la kuandika hii thread nikutaka ushauri kwa ambao watakuwa tayari kunipa ushauri nitaupokea. Huyu binti anaezitesa hisia zangu ni bikra na nimethibisha kwakuwa nilishakuwa nae faragha zaidi ya mara moja na nikalithibisha...
  4. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania Supu ya pweza inanimalizia hela nashindwa kuiacha

    Za jioni wakuu, supu ya pweza ni maarufu sana Dar es salaam mida ya jioni ambapo tunaona watu wanauza supu kwenye vimeza vyao. Sasa kitu kinachofanya nije leo ni ulevi wa supu ya pweza aisee nimejitahidi kuacha nimeshindwa yaani kila nikitoka kazini njia ya kwenda nyumbani kuna kibanda...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumsahau demu wangu wa sekondari

    Inakuwaje wakuu, Hii hali inanisumbua sana nashindwa kumsahau huyu mwanamke niliyekuwa napendana naye kipindi nipo o level. Tulishaachana na yeye alishapata mtu mwingine. Imepita takribani miaka kumi ila bado hatoki kichwani.
  6. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kusajili namba ya pili WhatsApp

    Wakuu habari zenu. Ninajambo naomba msaada. Ninataka kusajili whatsapp namba ya 3 kwenye simu yangu. 2 nishaweka yani whatsapp na WA Business. Hii ya tatu imekuwa kipengele wiki jana yote imekuwa nikizaa zaa. namba ya 3 imekuwa banned zaid ya mara 4. Nimejaribu kutumia clone apps/duo apps/...
  7. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kutongoza. Naona aibu

    Dah, nimekulia kwenye ukweli na uwazi ndugu zanguni. Kulaghai mtu siwezi kabisa. Kikwazo sio mimi, kikwazo ni huyo mwanamke anayenisikiliza. Huwa najiuliza sana kuwa ananichukulia vipi? Just assume, umetokeza kutoka kwenye kona ya nyumba, ghafla bin vuu unapamiana na mwanamke kiasi cha...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kufanya mapenzi kwa sababu ya hofu(wasiwasi)

    Ni mda sasa wa mwezi 1 yangu tatizo hili linikute nashindwa kabisa kupata hisia Wala kusimamisha uume pale tu ntapoitaji kushiliki tendo. Nimekuja kugundua kuwa ni hofu nilionayo Moyon mwng ndo inanitesa, nimelileta hili suala hapa mezani, kwajili ya kupata msaada wa mawazo na ni kwa jinsi gani...
  9. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo silielewi elewi. Mahusiano na jamii kuna kitendawili nashindwa kutegua'

    Mwanenu jambo si jambo sielewi kabisa. Mtaani kwangu kuna mambo nahisi hayajakaa sawa. Uchangamfu wa majirani sio huu ninaoujua, tunezoea kuchangamkiana katik salam na mambo mengine. Kwa kawaida nikiwa kijiweni(golini) kukusanya maokoto lazima nipitie sehem na mabest zangu kupata savanna 2...
  10. lusanasaimon

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu yuko njia panda

    Nina rafiki yangu yeye amekuja kuniomba ushauri, iko hivi; Yeye (rafiki yangu) aliamua kuondoka kwenda mkoa x kujitafuta baada ya kumaliza kidato cha nne na kukaa mtaani kwao bila muelekeo wowote. Anasema Mungu si Athumani alipofika huko alijichanganya na kufanya shugli mbali mbali akafanikiwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Siipendi hii tabia, lakini nashindwa kuiacha

    wanasema ukiyajua matatizo yako bàsi unaenda kupona. Lakini kwangu ni tofauti mimi ni mama wa watoto 2, baba wawili tofauti... Ninatatizo sijui linatokana na nini na ni hali ambayo kwa sasa nimegundua ninatatizo na najichukia lkn siwezi kujicontrol 2013 niliolewa na kijana mzuri anakazi nzuri...
  12. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kwa nini nashindwa kufungua websites nikitumia mtandao wa Tigo?

    Nina kifurushi cha Tigo kwenye simu. Pia hutumia hicho kwenye kompyuta. Ajabu siwezi kufungua internet kwa kifurushi cha tigo. Ila youtube na instagram zinafanya kazi vizuri kabisa. Nikitaka kuingia kwenye websites kama hivi JF lazima nitumie kifurushi cha voda. Shida nini?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuielewa tabia ya huyu dada kwangu mimi!

    Kuna ofisi moja nimekuwa nikienda tangu siku nyingi kupata huduma, katika hiyo ofisi receptionists ni wanawake. Katika hao receptionists kuna mmoja kila akiona nikizungumza na mwenzake yeyote hapo kwenye desk lao la reception anaonesha ishara za kukasirika. Ingawa kila nikifika tu ofisini kwao...
  14. lusanasaimon

    JamiiForums Tanzania Huyu mpangaji mwenzangu nashindwa kunielewa

    habari za leo I hope nyoote hamjambo. wakuu kwa wale wenzangu na mimi ambao bado tunajitafuta yaani tunaishi kwenye nyumba za kupanga mnawezaje kuishi na wapangaji wenzenu wanaotaka kujua maisha yako kindaki ndaki? iko hivi mimi ni kijana na nina miaka 26, na nina mke japo hatujapata mtoto na...
  15. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa kabisa, sijui hii hali inatokea kwangu pekee au nanyi pia inawatokea!

    Yani mambo yanakwenda kasi sana,toka Magufuli amefariki ni miaka 2 but pamoja na kuwa kwangu Serikali mtu akinishitukiza nitaje majina ya watu hawa au niwatambue kwa sura nitashiwndwa kabisa. 1.Mkuu wa majeshi 2.IGP 3. DG wa TISS 4. Mkuu wa TAKUKURU 5. Mwanasheria Mkuu wa Serikali 6...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuitawala pesa. Laki Tano inaisha ndani ya wiki Moja. Natumia dawa za matatizo ya akili. Nifanye nini?

    Nina shida ya kiakili natumia dawa zinatwa resperidone. Changamoto niliyonayo ni kuwa hata nifanye Nini nkipata kipato haichukui wiki laki Tano imeisha. Hata niweke mikakati ghani nitajikuta tu baada ya wiki nipo kwenye stress Sina pesa. Nmefikia hatua Sasa hii hali imenichosha naomba...
  17. Russia is not your enemy

    JamiiForums Tanzania Nina iPhone 5 nashindwa ku-download WhatsApp nk

    Wakuu msaada hapa. Nimepewa simu na rafiki Ang nashindwa kufanya mambo kiwa mepesi simu yenyewe ni hii. Msaada wenu
  18. shetani aka shetty baby

    JamiiForums Tanzania Kwanini herufi "U" linapokuja suala kuiandika kwa mkono kwa herufi kubwa nashindwa?

    Ni maoni au
  19. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kwa Saud Arabia hapa nashindwa kuelewa. Inakuaje? Au ni vita ya kiuchumi?

    Ni moja ya nchi zenye sheria kali sana. Na misingi ya Kidini. Hii ni nchi ambayo inaheshimika sana Kidini. Hili suala linakuaje ndugu zanguni? Limekaaje kaaje?mbona silielewi? Haya mambo yalianzia Pakistan miaka mingi kuwa ni nchi ambayo inafanya sana Biashara za Madawa ya kulevya. Ikaja nchi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuielewa hii...

    Unakuwa mwanaume wa kuchakata mbususu na huna mpango wa kuoa wala nini principle yako ni ya FFF lakini katika kuzila mbususu kuna kuwa na wanawake wenye jina fulani yaani ukikutana nao wewe hufurukuti, ndio wanaokupeleka mbio kweli kweli. Mie kuna kama wanawake wanne hivi wenye jina Patricia...
Back
Top Bottom