nashindwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kwa nini nashindwa kufungua websites nikitumia mtandao wa Tigo?

    Nina kifurushi cha Tigo kwenye simu. Pia hutumia hicho kwenye kompyuta. Ajabu siwezi kufungua internet kwa kifurushi cha tigo. Ila youtube na instagram zinafanya kazi vizuri kabisa. Nikitaka kuingia kwenye websites kama hivi JF lazima nitumie kifurushi cha voda. Shida nini?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuielewa tabia ya huyu dada kwangu mimi!

    Kuna ofisi moja nimekuwa nikienda tangu siku nyingi kupata huduma, katika hiyo ofisi receptionists ni wanawake. Katika hao receptionists kuna mmoja kila akiona nikizungumza na mwenzake yeyote hapo kwenye desk lao la reception anaonesha ishara za kukasirika. Ingawa kila nikifika tu ofisini kwao...
  3. lusanasaimon

    JamiiForums Tanzania Huyu mpangaji mwenzangu nashindwa kunielewa

    habari za leo I hope nyoote hamjambo. wakuu kwa wale wenzangu na mimi ambao bado tunajitafuta yaani tunaishi kwenye nyumba za kupanga mnawezaje kuishi na wapangaji wenzenu wanaotaka kujua maisha yako kindaki ndaki? iko hivi mimi ni kijana na nina miaka 26, na nina mke japo hatujapata mtoto na...
  4. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa kabisa, sijui hii hali inatokea kwangu pekee au nanyi pia inawatokea!

    Yani mambo yanakwenda kasi sana,toka Magufuli amefariki ni miaka 2 but pamoja na kuwa kwangu Serikali mtu akinishitukiza nitaje majina ya watu hawa au niwatambue kwa sura nitashiwndwa kabisa. 1.Mkuu wa majeshi 2.IGP 3. DG wa TISS 4. Mkuu wa TAKUKURU 5. Mwanasheria Mkuu wa Serikali 6...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuitawala pesa. Laki Tano inaisha ndani ya wiki Moja. Natumia dawa za matatizo ya akili. Nifanye nini?

    Nina shida ya kiakili natumia dawa zinatwa resperidone. Changamoto niliyonayo ni kuwa hata nifanye Nini nkipata kipato haichukui wiki laki Tano imeisha. Hata niweke mikakati ghani nitajikuta tu baada ya wiki nipo kwenye stress Sina pesa. Nmefikia hatua Sasa hii hali imenichosha naomba...
  6. Russia is not your enemy

    JamiiForums Tanzania Nina iPhone 5 nashindwa ku-download WhatsApp nk

    Wakuu msaada hapa. Nimepewa simu na rafiki Ang nashindwa kufanya mambo kiwa mepesi simu yenyewe ni hii. Msaada wenu
  7. shetani aka shetty baby

    JamiiForums Tanzania Kwanini herufi "U" linapokuja suala kuiandika kwa mkono kwa herufi kubwa nashindwa?

    Ni maoni au
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kwa Saud Arabia hapa nashindwa kuelewa. Inakuaje? Au ni vita ya kiuchumi?

    Ni moja ya nchi zenye sheria kali sana. Na misingi ya Kidini. Hii ni nchi ambayo inaheshimika sana Kidini. Hili suala linakuaje ndugu zanguni? Limekaaje kaaje?mbona silielewi? Haya mambo yalianzia Pakistan miaka mingi kuwa ni nchi ambayo inafanya sana Biashara za Madawa ya kulevya. Ikaja nchi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuielewa hii...

    Unakuwa mwanaume wa kuchakata mbususu na huna mpango wa kuoa wala nini principle yako ni ya FFF lakini katika kuzila mbususu kuna kuwa na wanawake wenye jina fulani yaani ukikutana nao wewe hufurukuti, ndio wanaokupeleka mbio kweli kweli. Mie kuna kama wanawake wanne hivi wenye jina Patricia...
  10. Akotia

    JamiiForums Tanzania Kwanini nashindwa kuwachukia Waarabu

    Habari wakuu, Mi nimzaliwa wa kwanza Kwa single mother(Mkristo) ambaye alikua anafanya kazi za ndani Kwa wa'arabu(DSM). Mama yangu aliofanya kazi Kwa wale waarabu ikiwemo, kuwaanda watoto shule, kuwapikia familia na wafanyakazi, kusafisha nyumba na kuhakikisha usalama wa nyumba(wakisafiri)...
  11. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Serikali hii nashindwa kuielewa, sijaona unafuu baada ya ruzuku ya mafuta

    Kwa muelekeo sijaona unafuu wowote wa kuamua kusaidia suala la mafuta serikali ilitoa ruzuku ya mabilioni lakini nauli bado zipo palepale hazijashuka Bora msingetangaza kwa wananchi huo ni unafiki wa kiwango Cha juu Sana
  12. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeshindwa ku rent ama kununua hii Royal tour documentary amazon

    Nimejaribu ku rent ama kununua nikashindwa kwa sababu ya billing address nje na US . Payment inaonyesha in $ tu. Please mwenye msaada ili tuangalie wote ubunifu wa mkuu wa machifu wetu naomba msaada.
  13. FAJES

    JamiiForums Tanzania Mliofanikiwa kimaisha kwa kutumia kanuni ya 'Ubahili' mliwezaje, mbona mie nashindwa kabisa?

    Mungu si Athumani, maana amekuwa akishusha thawabu zake kwa muda wa takribani miaka mitano sasa tangu nilipoanza kupataa namna ya kujiingizia kipato changu na kumudu gharama za kuishi. Kwakweli niwe muwazi kuwa maisha siyo mteremko sana na wala sipati pesa nyingi sana lakini pesa nazopata...
  14. Camp Lehigh

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kupenda mtu mwingine

    Nilimpenda na nampenda sana huyu mwanamke, ni mwaka na miezi 4 toka kaniacha. Nilimkosea mimi akaniacha. Nashindwa kumpenda mtu mwingine kila ninapokaa siachi kumuwaza yeye, kila kitu nachofanya kinanikumbusha uwepo wake ninyeye aliyekua mwanamke wangu wa kwanza maishani mwangu. Nisaidieni...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kujizuia kumpenda Rais Samia, nimegundua kuwa ni mtu wa mila za asili ya babu zetu aliyejificha, Atatuvusha

    Wakati nasoma chachi histori mle ndani nilikuta vitu vya kushangaza na ilichukua miaka mingi kuelewa, zamani nyuma ya kalne ya 16 kule ulaya kulikuwa hakuna uhuru wa kuabudu, napo sikuelewa uhuru upi wa kuabudu kwani tayari Yulopa zilikuwa nchi za kikrito. Lakini baadaye nilielewa kuwa haya...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuamini hiki ninachokisoma kuhusu haya makato ya LUKU

    Ameandika Evans Rubara I have just paid for Luku from @tanescoyetu this evening. Now @TRATanzania tell me what debt you have with me. This is fricking idiotic. Ndg. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @SuluhuSamia tuambie kama umeshindwa kuongoza hii nchi kwa busara alizokupa Mwenyezi Mungu.
  17. E

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kujielewa hii ni hali gani?

  18. M

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kabisa kukaa na pesa, nifanye nini?

    NASHINDWA KABISA KUKAA NA PESA Wakuu nimeshindwa kuvumilia maana napata mtihani sjui wa aina gani. Wakuu kila napojitahidi kuweka kapesa kangu japo kidogo lakini nashindwa kabisa kuhifadhi, hata nikimpa wife haipiti wiki ntaanza kujiskia vibaya kwa kukosa kuwa nayo mimi! Ntatafuta kila sababu...
  19. Msigazi Mkulu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nashindwa kutumia Microsoft Office kwa kuambiwa niingize office product key

    Habari za majukumu? Naomba msaada ili niweze kuendelea kutumia Microsoft Office. Nikifungua office yoyote naambiwa niingize office product key, hizi product key ninazitoa wapi na hili tatizo limeanza wiki hii. Nashindwa kufungua assignments zangu nilizokuwa nimefanya kwenye hii Laptop.
Back
Top Bottom