Nashindwa kusajili namba ya pili WhatsApp

Sa 7 mchana

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
4,975
9,722
Wakuu habari zenu.

Ninajambo naomba msaada.

Ninataka kusajili whatsapp namba ya 3 kwenye simu yangu. 2 nishaweka yani whatsapp na WA Business.

Hii ya tatu imekuwa kipengele wiki jana yote imekuwa nikizaa zaa. namba ya 3 imekuwa banned zaid ya mara 4. Nimejaribu kutumia clone apps/duo apps/ parallel nk ni apps zinazowezesha simu kuwa na app zaidi ya aina moja.

Inakubali kusajili na code natumiwa, ila pale mbele kidogo kwenye kutengeneza profile. Inakwamia pale inasema ni check internet connection.

Baadae nikianza kusajili upya naambiwa namba yangu imekuwa banned.

I'm puzzled, nashidwa ni fanye nini.

Mtaalam yeyote anaweza oneshanjia inatakuwa safi kabisa.
 
Back
Top Bottom