nashindwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumuelewa Bichwa Komwe na yule mwenzake

    Kuna Uzi niliuona hapa JF Bichwa komwe na mwenzake wakisema wanawake wa JF wamzeeka . Naona umefutwa Ila msirudie kufanya hivi mnawaumiza watu kihisia Sana Bichwa komwe na mwenzako.
  2. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Godoro gani ni zuri na linadumu kati ya haya? Nashindwa kuchagua

    Bomba-8inch-250k Super bango-8inch-220k Arusha delux-8inch-230k Arusha delux-8inch-180k Hizi brand ni mpya inaniwea ngumu kuzijua vizuri
  3. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Mbona kama nashindwa kufanya Diet! Wakuu mnawezaje?

    Nawezaje kuepuka ugali. Nawezaje kuepuka wali. Maisha ya kigeto kigeto. Ugali una wanga ambao ni hatari. Wali una sukari ambayo ni hatari Sasa ntafanyaje mana migahawani hakuna diet wenzangu mnawezaje?
  4. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa, hapa kuna upendo kweli au napotezewa muda?

    NRNE Habari za muda mrefu wana jukwaa, mimi msichana, niko kwenye mahusiano na mwanaume amenizidi miaka 15, yeye ana mtoto mmoja mimi sina. Mimi nipo Dar, yeye yupo mkoani, tulipoanza mahusiano nilijua kwakuwa ni mtu mzima pengine, tutaenda sawa kwani na mimi huwa sipendi mambo ya hovyo...
  5. haszu

    JamiiForums Tanzania Kuna jamaa kila nikinunua kitu kwake, ananiongeza, nashindwa kumuelewa kabisa

    Ananifanya niende mbali kufata bidhaa ila nisiende kwake, suala la kuongezana ni kati ya mwanamke na mwanaume, sasa mwanaume kumuongeza mwanaume mwenzio kila akinunua kitu unamanisha nini? Suala la kua bro wako au mteja haimaanishi kua kila nikinunua uniongeze. Huyu jamaa atakua anashida gani...
  6. Isenye

    JamiiForums Tanzania Natamani sana kuacha pombe ila nashindwa

    Wakuu mko salama? Wakuu kiukweli mpaka nimeanza kujichukia kuhusu unywaji wa pombe. Mfano jana nimepiga maji hadi sijui nilirudije ghetto,sometimes kumbukumbu zinapotea sababu ya pombe, kiuchumi napo naathirika,yani naweza nikawa na ka laki moja kangu mfukoni,nikiingia bar tu hako kalaki...
  7. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuzielewa hospital za Tanzania

    Hii imekaaje wakuu. Niko hapa hospital moja ubungo, makuburi kuna jamaa alikuja kupata huduma. Nilifanya kumsindikiza. Ila ninachokiona hapa halinivutii wala kunipa picha nzuri. Reception tu huyu daktari/mhudumu amekaa na wenzake wawili yaani sio watu wa hospital ni wauza chakula/ mama ntilie...
  8. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Najaribu kuwa single ila nashindwa, wenzangu mnawezaje.??

    Miongoni mwa faida za kuwa single ni kujipanga kiuchumi, kujijenga kiafya na kutimiza malengo. Natamani kuwa single hata miaka miwili ili nijipange ila kila nikitoka nje nikikutana na wanawake nahangaika mno. Nikiona mtu yuko na mpenzi wake Naona wivu najihisi mpweke mno. Kifupi najihisi...
  9. Lighton

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kupata usingizi kwasababu ya makelele ya baa jirani

    Hivi Sasa ni saa 2:30am sijalala kwasababu ya hizi kelele. Ni kweli tunatamani nyumba zilizo karibu na barabara kwasababu ya huduma ndogo ndogo za kijamii, lakini Sasa hivi biashara nyingi ni baa, yaani kila baada ya nyumba nne ni baa. Nilipohama ilikuwa ni kelele kuanzia mda ninaorudi...
  10. ankol

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumzoea shemeji yetu

    Yaani kila nikimtazama labda nitaona kitu spesho juu yake lakini wapi. Najiuliza maswali mengi hizi pesa zilizomwagwa hapa mbona haziendani na mwomekano yani apiarensi ya shem wetu? Kwakweli najifariji moyoni najisemea labda ndio wale wa "usimuone hivyo huyo .....". Yaani kwa apiarensi huku...
  11. kwisha

    JamiiForums Tanzania Nashindwa nini niamue katika situation hii

    Mwaka 2017, mimi na familia yangu tulihamia Canada kwa matumaini ya maisha bora na ya utulivu. Hata hivyo, baada ya kufika, tulikumbana na changamoto kubwa kutoka kwa baadhi ya Wakongo wenzetu tuliowakuta hapa. Walitusambaratisha kupitia fitna na chuki walizozusha baada ya kuona familia yetu ni...
  12. Atukuzwee

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? nashindwa kujielewa aisee

    Kwema? Mimi nikinywa pombe nakuwa active na pia nakuwa na akili saana ufahamu wangu unakuwa ni mkubwa na nafanya kitu kwa usahihi kabisa tofauti nikiwa sijanywa sijui hii imekaaje .. nikiwa sijanywa nakuwa tuu na uwezo wa kawaida.
  13. mr.general

    JamiiForums Tanzania NATAKA KUAGIZA MZIGO CHINA,ILA NASHINDWA KUFANYA MALIPO

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,mimi kijana mwenzenu nimelenga kujilipua kwa kuagiza mzigo kutoka china kwa mara ya kwanza,hivyo basi naomba munielekeze namna ya kufanya malipo. natanguliza shukrani za dhati
  14. D

    JamiiForums Tanzania Nimefika state ya furaha yangu haitaji mtu yeyote Yule . Nashindwa kuona . Na party sana

    I will be short Any way very late 20s . Sina mtoto sina Mchumba , Ila na pisi Kama 3000 hivi . Any way nilijikubali kuwa furaha yangu is my own kitambo sana . Yani hata Dunia nzima mpotee mda huu Mimi fresh tu . Issue living with these women . Mimi nimeshindwa maana Sina unhappy...
  15. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Mo Salah na C. Ronaldo wanatuchanganya sana. Nashindwa kuwaelewa.

    FaizaFoxy alishaandika akifurahi sana kuwa CR. Kasilimu. Several times tumekuwa tukifurahia kuwa tumepata bonge la mtu katika uislamu. Lakini namwona bado anasheherekea Christmas na familia yake. Hii inakuaje? Mi nashindwa kuelewa kabisa. Hii imekaaje kaaje? Huyu Mo. Salah ni muislamu kabisa...
  16. haszu

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa kwanini majirani wanapenda kugonga / kubisha hodi mlango wa nyuma

    Yani inakuaje mlango wa mbele upo, ila mtu anatoka kwake anabisha hodi mlango wa nyuma? Hata kama hakuna ukuta, unatakiwa ubishe hodi mlango wa mbele, sio busara kabisa.
  17. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Single mama kaniganda nashindwa kumuambia ukweli

    Kama unavyo fahamika hswa viumbe hujigandisha kwa mtu yoyote ilimradi wastiriwe ili waolewe Sas mm kuna mmoja mmpare ameniganda balaa yaani hadi naona kero kwa jins anavyo niita mume, wangu, mume angu yaani kila kitu hata kuuliza kitu tu eti anasema mume wangu nikuambie kitu. Ajabu ni hii...
  18. Trainee

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuingia kwenye account yangu ya bodi ya mikopo(HESLB)

    Wakuu nina karibu wiki ya pili sasa au tatu kila nikilog in inakataa nimetumia kompyuta nimetumia simu lakini bado tu hebu nipeni msaada wazoefu. Nimeweka picha tatu hapa ambazo ndizo hatua ninazozungukia yaani nikilog in narudishwa kwenye home na hakuna ninachoweza kuendelea
  19. Shaas

    JamiiForums Tanzania Msaada nashindwa kufuta account ya Facebook

    morning lovely 😍 naombeni mnisaidie nataka kufuta account ya Facebook nilijiunga kipindi bado mdogo sasa inanikwaza nataka kufuta nimeacha kutumia na miaka sasa lakini notification zinakuja hii kitu inanikwaza just help me please 🙏 😢
  20. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Nifundisheni jinsi ya kuwaingia watu wakubwa VIP!! Sina kazi sina mchongo Nashindwa Kuongea na Maboss

    Wakuu hapa napoongea saizi nipo dorooooo dorooo kinoma yaani moja haikai Mbili haiendi Mpaka siyo poa. Nachangamoto ya mawasiliano.Siwezi kuwaingia watu wakubwa namaanisha maboss. Simu yangu hapa ina no za watu wazito lakini nawaingiaje hatujuani personal. Gear ya kuingia sina. Kuna mmoja hapa...
Back
Top Bottom