Nashindwa kufanya mapenzi kwa sababu ya hofu(wasiwasi)

edwinharrison

New Member
Jan 2, 2018
4
1
Ni mda sasa wa mwezi 1 yangu tatizo hili linikute nashindwa kabisa kupata hisia Wala kusimamisha uume pale tu ntapoitaji kushiliki tendo.

Nimekuja kugundua kuwa ni hofu nilionayo Moyon mwng ndo inanitesa, nimelileta hili suala hapa mezani, kwajili ya kupata msaada wa mawazo na ni kwa jinsi gani naweza kuepukana na tatizo hili.
 
Hofu ni mbaya
 
Pole,jitahidi uzoeane na huyo mwenza wako,hakikisha vyanzo vya hiyo hofu unavitafutia suluhisho.
 
Hofu ya kuwa utamridhisha ama hofu ya nini??

Kama ni ya kumridhisha wala usihofu. Kikubwa uridhike wewe, piga tako zako mbili wazungu wakija unakung'uta kende na kupiga mluzi wa kishujaa unasepa.

Hata akienda kusema unakojoa haraka, kitakwimu ushamkojolea huyo.

Dhamira ya lile tendo ni kufika mshindo, sio kuchukua muda mrefu kufika mshindo. Ndio maana watu hupanda ndege ili kufika haraka waendako.

Ila kama una hofu ya mengine bila ya kuyaweka wazi hutopata msaada.
 
Case closed
 
Dogo atakuwa amepata Dem mkali mpaka haamini kama ndo yeye Yuko kula huo mzigo hadi anashindwa, kama ni kweli hapo timing inahitajika na kutuliza akili. ila kama madem wenyewe wa kidwanzi nenda tu hospital.
 
Kula Shiba Matunda ?Vyakula Kama Tende, Karanga, Mihogo, Mtindi
Vitasaidia Kuzalisha vichocheo Baadaye Itasimama Yenyewe
 
Hofu ya kuwa utamridhisha ama hofu ya nini??

Kama ni ya kumridhisha wala usihofu. Kikubwa uridhike wewe, piga tako zako mbili wazungu wakija unakung'uta kende na kupiga mluzi wa kishujaa unasepa.

Hata akienda kusema unakojoa haraka, kitakwimu ushamkojolea huyo.

Dhamira ya lile tendo ni kufika mshindo, sio kuchukua muda mrefu kufika mshindo. Ndio maana watu hupanda ndege ili kufika haraka waendako.

Ila kama una hofu ya mengine bila ya kuyaweka wazi hutopata msaada.

Nimejaribu kutengeneza imagination ya haya maelezo nmejikuta nacheka hovyo
 
Hakikisha unazoeana sana na huyo mwenza wako kabla hata hujafikiria kumpanda.... Kaeni uchi, tembeeni uchi ndani, pigeni story za ngono. Ukifanya hivi utaona na hofu inapotea na mjulubeng unaanza simama.

Usikurupukie pu$$y, fanya foreplay ya kutosha, cheza na viungo vyake... miguno atakayotoa itaondoa hofu yako na kukupandisha mukari za tendo.
 
Back
Top Bottom