naona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naona Barabara ya Sam Nujoma maeneo Mlimani City imeanza kufumuliwa, ni BRT phase 5?

    Kama ndivyo, nashauri BRT ya Mbagala kutokea Gerezani na kutokea Magomeni zianze kazi mara moja. Hakuna maana kukamilisha mradi halafu mnasubiri wiki 2 kabla ya uchaguzi ndio mnazindua, huo ni usanii. Sikupiga picha.
  2. Nimeotesha mnyanya, naona unarefuka tu

    Mnyanya ndio unapaswa kuwa hivi kweli?
  3. Naona aibu kutoa 10,000 kwa teller maana sina ATM card wala sim banking

    Game tafu sana Wakuu ikabidi nikumbuke nina kachenji uchafu kalibaki CRDB, ndio kwenda kuhakikisha balance nikaambiwa kuna 15800 sasa kibaya sina card ya ATM, ilipotea na hata sim banking line niliyosajilia siitumii ilipotea kwa hiyo option hapa ni kutoa kwa kutumia card ya NIDA kwa teller...
  4. Naona waajiri hawapiti humu, tupo waomba kazi tu

    Tokea hili jukwaa lianzishwe nimejaribu kuomba kazi sana humu ya udereva wa magari makubwa na madogo lakini atakupokea simu moja tu hakuna! Kuna mda naona waajiri awaingii humu. Tupo wenyewe tu tunapeana moyo tu maskini dah!
  5. Kwa dhuluma ambayo Jakaya Kikwete alimfanyia Mzee Lowassa, ataumaliza uzee wake bila amani

    Madaraka makubwa, usipokuwa na hekima, hasa hekima ya Mungu, yanalevya. Na ukikosa hekima unaweza kudhania kuwa wewe ni kila kitu, kwa sababu hakuna wa kukuhoji wala kukuadhibu. Mathalani madaraka ya Rais wa Tanzania, anaweza kuyatumia vyovyote apendavyo, hata kuua, akitaka, na asihojiwe wala...
  6. Tokea shirima wa presicion afe naona hali sio hali tena

    Imekua ni page ya mahaba
  7. G

    Demokrasia na ukanda hapa Tanzania vina uhusiano? Naona ni wazi kabisa awamu ya 2, 4 na ya sasa walau kuna unafuu kuzidi awamu zingine

    Raisi akitokea ukanda wa pwani na visiwani yani mikoa ya Pwani, Dsm na Zenji naona kunakuwa na unafuu sana kwenye Demokrasia kuliko Raisi akitokea mikoa ya bara. Enzi za Nyerere ilikuwa ni ngumu sana hata kusikia habari zake negative, Hii ilipelekea asifiwe kuzidi uhalisia, nakumbuka watu kama...
  8. Kuna shida Gani kwenye Operation za Uzazi? Hivi vifo ni mimi tu naona?

    Inaumiza sana ndugu zangu. Watu wa 3 ninaowafahamu, wengine wa 3 ni watu wa karibu wa marafiki zangu.. Katika miezi 4 wamepoteza maisha Wote kwa operation ya uzazi, achilia mbali wale ninaosikia mtu pembeni akiongea. Inauma Sana ndugu zangu, Mnampeleka mpendwa wenu hospital akiwa mzimaa mpate...
  9. B

    Naona kama miaka ya 2009- 2013 nyimbo nyingi nzuri sana za mziki zilitungwa kwenye kipindi hicho

    Hi guys nyimbo Kali nyingi zilitungwa kipindi hicho kama vile 1)Dynamite ya taio Cruz 2)International love ya pitbull ft Chris brown 3)Coconut tree ya mohombi 4)Bumpy ride ya mohombi 5)Moves like jagger ya maroon 6)On the floor ya Jenifer Lopez 7)Dj got us fall in love again ya usher...
  10. M

    Ndoto ya Marekani na NATO kuishinda Urusi kwa kutumia mikono na damu ya Ukraine inaishia mdogo mdogo!

    Sasa hivi Marekani na NATO kwa ujumla wanajiondoa mdogo mdogo na zigo lote wanamwachia Zelensky na Ukraine yake! Ushindi ungepatikana wangesema ni wao wameshinda, lakini kwa sasa wanadai Ukraine inashindwa! Hata yule aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza aliyeizuia Ukraine kufikia makubaliano...
  11. R

    PreGE2025 Naona kuna SMS inasambaa kuelekeza wanaccm warekodiwe kupinga maandamano; soon zitaanza kwenda viral

    Muda mfupi baada ya Mbowe kusema kutakuwa na maandamano tarehe 24.01.24 maelekezo yametolewa kila kona watafutwe wanachama wahojiwe na vyombo vya habari wapinge maandamano hayo. Siamini katika maandamano lakini pia siamini katika falsafa yakutumia wajasiriamali kwa kigezo cha amani wasipaze...
  12. Kumbe huyu kijana wa ChatGPT - Sam Altman ni shoga, naona jana ilikua harusi yake.

    Kumbe yule CEO machachari aliefukuzwa na board ya kampuni yake ya OpenAI na kurudishwa tena baada ya muda mfupi ni shoga. Huyu kijana Sam Altman alipata umaarufu baada ya hio Coup de tat ilioshindikana ndani ya OpenAI. Ni wazi sasa AI ni mpango wa watu wa New World Order na ndio maana watu...
  13. Hivi ubikira wa mwanamke una utamu gani? Maana naona watu wanaahidiwa hata peponi

    Kuna hii video sheikh anaeleza kuhusu wanawake walioandaliwa kwa ajili ya wanaume waislamu kule peponi, yaani mabikira. Hapa najiuliza, kwa nijuavyo uzuri wa kumla mwanamke bikira ni kwa sababu unajua kakuheshimisha na kwamba wewe ndiye wa kwanza kumuingia, ila shughuli yenyewe huwa usumbufu na...
  14. Kwa Dhamira yao Ovu ya kutaka Kuivamia Israel ya Afrika (Rwanda) naona Tshisekedi na Ndayishimiye wamechoka Kuishi

    Nasikia kuna Rafiki yao Mwingine 'Taifa Nafiki Nafiki' la Afrika Mashariki nao Kisirisiri watakuwa Wanawasaidia Congo DR na Burundi katika Kuipiga Israel ya Afrika ( Rwanda ) ya Military and Intelligence Genius Rais Paul Kagame hivyo GENTAMYCINE nachukua nafasi hii Kuwaonya kwani hawatoamini kwa...
  15. Hongera sana Jerry Silaa. Naona mwanzo wa nchi yetu yote kupimwa na kupangwa chini yako

    Kama kuna jambo linalonifanya kila siku niseme inawezekana nchi yetu tulilaaniwa ni namna ambavyo nchi yetu imejengwa vibaya bila mpangilio. Yaani namna watu wanavyojijengea hovyo hovyo tu bila mpangilio na kupangwa. Kila siku tumekuwa tukiandika humu na kusema humu huku titicaca Serikali...
  16. Asec schools wana jipya gani. Maana naona ime trend sana.

    Kuna shule nyingi zime simama shule kama Tusiime Zhabika St Ane Maria Fortune Sahara Abc school FOUNTAIN GATE ACADEMY GREENHILL PRIMARY SCHOOL MAJMAAL BAHRAIN PRIMARY STMAXIMILIAN PRIMARY SCHOOL - PS0202113 Ziko fire kwanini hawa Ask school wasumbue hivi??
  17. R

    Clouds wananufaika vipi na mgogoro wa chama cha walimu? Naona wamekusanya chawa studio, TUCTA iliuawa kwa njia kama hizi

    Kuna watu wapo kwenye siasa wanataka kuwaweka ndugu zao waongoze chama cha walimu Tanzania. Kuna watu wapo kwenye mfumo wa CCM wanataka kukimiliki chama cha walimu Tanzania Kufanikisha malengo yao wamewachukua Makada wa CCM na kuwapeleka studio kutimiza malengo yao. Tuliona namna Serikali...
  18. Nashindwa kutongoza. Naona aibu

    Dah, nimekulia kwenye ukweli na uwazi ndugu zanguni. Kulaghai mtu siwezi kabisa. Kikwazo sio mimi, kikwazo ni huyo mwanamke anayenisikiliza. Huwa najiuliza sana kuwa ananichukulia vipi? Just assume, umetokeza kutoka kwenye kona ya nyumba, ghafla bin vuu unapamiana na mwanamke kiasi cha...
  19. Suala la Paulina Gekul lishughulikiwe kwa busara kubwa naona taratibu limeanza kuibua mijadala ya udini mitandaoni

    Kuna video inasambaa kwenye makundi ya whatsap na instagram ambapo ndani yake wanasikika watu wanao jitambulisha kuwa wao ni waislamu wakiapa kwamba kijana anae daiwa kudhalilishwa na Paulina Gekul ambae ni muislamu lazima haki yake ipatikane na kwamba waislamu hawatakubali kuona haki ya kijana...
  20. Baada ya kufikisha miaka 30 uligundua kimebadilika nini katika maisha yako?

    Nimebakisha miaka 4 kuingia 30. Zamani tunakuwa tuliona miaka 30 ni mingi Sana ila sio kweli but it's just a stepping stone ni Mwanzo wa kuyaelekea Mafanikio Makubwa. Jambo ambalo nimeona miaka 30 kwa TANZANIA Africa ndo Muda sahihi wa kujifanyia Self-Evaluation tathimini binafsi kwa kuangalia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…