naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Nimekuja mbele yenu nina shida ya kazi yoyote ya halali

    Habari ndg wanajamii! Nimekuja mbele yenu nina shida ya kazi yoyote ya halali nipate kipato niweze kuendelea kumhudumia mama yangu ambae ni mgojwa miezi sasa tangu anze kuugua hospitalini nimezunguka sana kila wakipima wanasema hawaoni kitu chochote daktari akanishauri nimchukue mgonjwa...
  2. Leo hii nimetapeliwa

    Daaaah sona habari na nyiee... Nimetapeliwa 15000,hii ela siningekunywa zangu beer hata 5.
  3. Toba: Naombeni wana Mwanza mnisamehe

    Kwa kweli msema kweli ni mpenzi wa Mungu . Nikiri wazi kwamba nimekuwa nikishiriki kulifananisha jiji la Mwanza na Jiji la Arusha nikisema kuwa Mwanza na Arusha ni Sawa tu na mara nyingine huwa naenda mbali hadi kusema Arusha ni jiji zuri kuliko Mwanza. Ilifikia kipindi hadi nikawa nasema...
  4. D

    Watumishi Wa Umma Naombeni Ufafanuzi hapa!

    Kwa muajiriwa ambaye hajatimiza Miaka mitatu kazini. Je, inawezekana akapewa ruhusa akarudi kujiendeleza masomoni ikiwa gharama za masomo atajigharamia mwenyewe?
  5. Naomba kujuzwa namna ya kufika Canada

    Ndugu wanajamvi habari zenu, Natumaini mko powa kabisa na mnaendelea na shughuli za hapa na pale Kwenye maisha ya mwanadamu kila mtu anakuwa na ndoto zake ambazo hana budi kuzipigania!! Binafsi toka nikiwa mdogo ndoto zangu zilikuwa ni kuishi Canada, hapa katikati ni kama zilipotea vile...
  6. NAOMBA USHAURI: Siipendi na siifurahii kazi ninayolipwa vizuri

    Habari zenu. Iko hivi Kuna muda naweza nikawa naifanya kazi fulani ingawa nalipwa vizuri Ila Sina furaha kabisa pamoja kuwa nalipwa hela nzuri kulingana na mishahara ya hapa tz. Sasa bwana Kuna kazi nikiwa nalipwa kidogo ama hata nisipolipwa nakuwa naenjoi kinyama mno yaani mno kuifanya.yaani...
  7. Kipi ni kigumu zaidi kati ya kuweka rekodi na kuvunja rekodi?

    Wakuu kama kichwa cha uzi kinachoeleza najiuliza je ipi ina thamani kubwa na inaugumu zaidi kuliko kingine kati ya Kuweka rekodi na kuvunja rekodi!!!?
  8. Mke hataki ndugu zako, utafanyaje?

    Leo naomba mumsaidie rafiki yangu kumshauri, mimi ni nimeshashauri kwa upande wangu lakini nataka kuona fikra za watu zaidi. Jamaa ana mke na watoto, hivi karibuni kaka yake alipoteza kazi ndugu wakamuomba asaidie kulea mtoto mmoja ambaye alikuwa kidato cha pili. Jamaa alimshirikisha mke wake...
  9. Naombeni template ya payroll audit report

    Wahasibu wa jamii forums najua mko wengi hadi wengine ni ma auditor, nina kazi ya kutengeneza hio report ila nilikuwa nataka template walau inipe picha ya kitu kinatakiwa kioenekanaje
  10. Kongamano la Mwamposa Arusha, naombeni ushauri wa biashara ya kufanya

    Habarini, Nimepata kibanda (eneo la biashara) katika kongamano la Mwamposa litakaloanza siku ya Alhamisi - Jumamosi katika viwanja vya Kisongo Magereza. Bidhaa gani zipo hot sana niweze kucheza na hii fursa? Karibuni wenye uzoefu na hii kitu. Ahsanteni.
  11. Wataalam wa biashara naombeni somo hapa

    Biashara ambayo faida ni ndogo kuliko matumizi ni biashara yenye afya? Mfano ukifanya mauzo, zaidi ya asilimia 60 hadi 70 inaenda kwenye matumizi kama maligafi n.k, na hakuna uwezekano wa kupunguza matumizi. Karibuni mnielimishe naona natumia nguvu nyingi kwenye hii biashara, ni biashara ndogo tu.
  12. Karibuni tuzungumzie fursa za kutengeneza pesa ya uhakika kwa internet nje ya vitu kama forex, kubeti na michezo ya upatu

    Maada hii haihusiani na forex, kubeti, michezo ya upatu, n.k. Dunia ya sasa imekuwa sana kiteknolojia hasa kwenye upande wa internet na kuna fursa zipo za kupiga hela za uhakika, Fursa hizi zimefanya watu wajiajiri rasmi mitandaoni, Kwenye majiji kama Arusha kuna watu wa nje ya nchi wanaishi...
  13. Nampenda sana ila kwa hili naombeni maoni

    ....
  14. N

    Naombeni ushauri ndugu zangu, seriously kabisa. Kuna sauti kila siku haiishi kuniambia kuwa mke niliye nae sio!

    Ni mwaka wa 3 nipo na huyu mke na mtoto mmoja tayari; sijawahi kukamata sms ya ajabu wala kumkamata au kupata taarifa za kuchepuka kwake (labda watu wananiheshimu na hivyo hunistahi kwa kutoniambia), lakini pamoja na hayo nafsi yangu, katika kipindi chote, haiachi kuniambia kuwa hapa siyo sehemu...
  15. Nimebuni wazo la kufanyisha mtihani watoto online naombeni support yenu. Ninao Walimu wa uhakika

    TUNAELEKEA MWISHO WA MWAKA 2022, EWE MZAZI/MWALIMU/MLEZI/MWANAFUNZI tunakukaribisha katika mtihani wetu wa kufungia mwaka siku ya Jumatano ya Tarehe 14.12.2022 saa 08:00PM (Usiku) katika somo la Biology kwa gharama ya shilingi 1,000/= pekee. Lengo la mtihani huu ni kumpima mwanafunzi uelewa...
  16. CHADEMA naombeni mulichukue hili suala la urasimu kwenye uhamiaji na Passport

    Wakati wa ukomunisti, nchi za kikomunisti zilibana sana mipaka yake ili watu wasitoke. Ndiyo moja ya sababu ya ukuta wa Berlin. Ndiyo sababu hadi leo kutoka Korea kaskazini ni ngumu mno na hatari. Tanzania nayo kupindi cha ujamaa wetu ilikuwa hivyo. Leo hii dunia ni kijiji, watu wanasambaa...
  17. Naombeni ushauri kumuokoa rafiki yangu, Huu ukarimu wa baba mwenye nyumba umepitiliza, nahisi kamzalisha mke wa rafiki.

    Nahisi baba mwenye nyumba yupo hatua 5 mbele zaidi kuliko rafiki yangu. Ipo hivi, rafiki yangu kapangisha kanyumba kadogo anaishi na mke wake, kwenye kiwanja kuna nyumba ndogo mbili, nyumba nyingine kuna mpangaji mwengine ila hua anasafiri sana. sasa mke wa rafiki yangu alijifungua kama wiki 2...
  18. Kwanini Arusha huwa inahujumiwa makusudi?

    Wadau naombeni mnisaidie majibu Ni Kwanini Kila kitu ARUSHA CITY huwa inahujumiwa kwa maksudi kabisa ikiwemo,miradi ya maendeleo kama Stendi ya mabasi, Uwanja wa kisasa wa ndege, na mengine mengi na ukiangalia ARUSHA CITY Ndio city namba 2 kwa tax revenue collector baada ya Dar city na Ni sehemu...
  19. Msaada ndugu zangu nimekwama pakubwa. Naombeni mnisaidie

    NAOMBENI MSAADA WAKUU. Natanguliza shukrani. Habari ya Weekend? Baada ya kutoangalia Movie kwa kipindi kirefu sana Cha miaka mi Tano 5. Weekend hii nimejaribu kutafuta movie na kukwama PAKUBWA sana. NILICHUKUA MOVIE KWA RAFIKI YANGU NIKAPANIA KWELI KWENDA KUZIANGALIA. Kufika home kwenye PC...
  20. Tusaidianeni kwa hili

    Hapa JamiiForums kupitia huu uzii kwanini upo single na huolewi au huoi tatizo nini. Umelogwa au mvivu wakutafuta mpenzi serious . Maana humu wadar ni wengi na wanasifa zote wadada wanazotaka shida nini? Maelfu ya wanajJF wa kiume ni single wamejenga wanajitahidi kupanda chart wengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…