Nahitaji mkopo, dhamana ni nyumba iliyo Mzumbe, Morogoro

Magnifico999

New Member
Dec 18, 2021
3
1
Habari wana jf, nimekuja kwenu Nina uhitaji wa mkopo Nimejaribu kwenye taasis nmekosa, nina dhamana ya nyumba ipo morogoro mzumbe, nahitaji tsh million 3 naweza kurejesha ndani ya miezi miwili mpaka mitatu kulingana na riba, ukiweza kunisaidia contact 0677982592.
 
Riba y 30% vipi
 
Back
Top Bottom