naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba Wasifu (CV) ya Waziri Bashe tulinganishe na anayofanya

    Kumekuwepo na sintofahamu kubwa kuhusiana na Kauli ya Waziri wa Kilimo kuilazimisha Central Bank kutoa upendeleo kwa Benki mpya ya Bashe inayoitwa Benki ya Ushirika ili kuweka masharti nafuu ya utoaji wa mikopo. Pia, nimeona Bashe ameingia kwenye mzozo kuhusiana na ruzuku ya Mbolea na kuleta...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Naomba nafasi ya Internship

    Wakuu habari. Mimi ni kijana wa kitanzania, jinsia ME nimekuja hapa kwa nia ya kuomba nafasi kwa Internship kwenye NGO, Kampuni au sehemu yoyote watakao ona nafaa. Elimu : Nina Degree ya Sheria LLB Makazi Dar es salaam Umri :20's Mawasiliano: 0787460347
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Ni antivirus ipi ni nzuri na inaweza kuweka ulinzi mzuri dhidi ya virus na harkers ikiwezekana?

    Sokoni kuna antivirus nyingi na kila moja inajinasibu kuwa ni nzuri. Kwa yule mwenye uzoefu na antivirus mbalimbali naomba ushauri nitumie antivirus vipi kwenye laptop yangu?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naomba mawasiliano ya Poshocity

    Habarini wadau, nimeshauriwa through media hii nimtafute Poshocity ili aweze kunipa ushauri juu ya suala langu la kiserikali kulingana na yeye kuwa na uzoefu/ kupitia changamoto kama nilizopitia. Nimemtafuta kupitia njia hii sijapata mawasiliano yake. Tafadhali sana naomba mnisaidie kama Kuna...
  5. JamiiForums Tanzania Watalaamu wa masuala ya kifedha kupitia kwa mawakala naomba mawazo yenu katika hili

    Wakubwa kwa wadogo natanguliza salamu zangu kwenu nyote . Moja kwa moja niende kwenye mada husika . Ipo hivi hapa ofisi ninayofanyia kazi(sehemu ya biashara) dodoma area d kuna huduma za mawakala wa fedha zinafanyika hususan za simu na za kibenki.sasa leo kuna mtu kutoka singida kapiga simu...
  6. JamiiForums Tanzania Matrillioni ya pesa yanayokusanywa na makampuni ya Bima kupitia mawakala wao ni za serikali au ni za nani?

    Nimepiga hesabu za haraka haraka, na kugundua kwamba makampuni ya Bima hukusanya wastani wa Trilioni 3.5 kila mwaka kama malipo ya bima za aina mbali mbali, na pia malipo kwa ajili ya bima (hasa hasa kwa wahindi wanaochoma moto viwanda vyao kwa makusudi) kwa mwaka huwa hayazidi bilioni 100, na...
  7. JamiiForums Tanzania Nina hiki kidogo naomba mnishike mkono wana Dodoma

    Habari za leo wanajamiiforums. Naomba mwenye connection ya kibarua chochote cha malipo ya siku kwa Dodoma aniunganishe. Nitatoa shilingi elfu kumi(10,000) kama shukrani. Naweza kuwa kondakta wa daladala, kiwandani, saidia fundi, najua kuendesha pikipiki japo sina leseni n.K. Mimi ni mwanaume...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa CLEAN SHEET za makipa wa YANGA hesabu zinakataa

    Clean sheet inahesabika pale unapotoka na ushindi bila kuruhusu goli takwimu zinadai kuwa makipa wa Yanga Diarra na Mshery wana Clean sheet 15 na 12 jumla unapata clean sheet 27 hata hivyo Yanga haina Clean sheet 27, Yanga ina clean sheet 22 tu kuna mechi 8 Yanga imeruhusu magoli Nakumbuka ni...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba mnijuze juu ya terminology zifuatazo katika ulimwengu wa siri kijasusi, kisiasa na kiimani

    Wakuu nimekutana sana hayo maneno katika usomaji wangu wa nyuzi mbalimbali za kijasusi hapa Kwenye kampuni yetu na nimekua nahangaika ku crack hizi code leo nikasema nisife na tai shingoni najua kuuliza ni ujinga acha leo nitoke kwenye huu ujinga japo naweza kupata nuru kwenu wana jamvi...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu maana ya Custom duty fee na Import fee

    Naomba msaada nimeona soundcard nzuri Ebay bei yake ni nzuri ukiacha na shiping cost kuna icho nakisikiaga custom fee na Import fee zikoje kwa bidhaa ka hiyo ninayotaka?
  11. JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Chimbo la Vyombo vya Nyumbani (JUMLA)

    Habari za leo wadau! Husika na kichwa cha nyuzi hapo juu. Naomba kujua kwa hapa Dar es Salaam - Kariakoo Ni Sehemu gani naweza kupata vyombo vya nyumbani kwa bei ya jumla ya chini. Nahitaji maelekezo yalipo maduka hayo. Natanguliza shukurani.
  12. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba tofauti Kati ya academic qualifications na professional qualifications kwenye ajira portal

    Wakuu Naombeni tofauti Kati ya academic qualifications na professional qualifications na Nini napaswa ku attache kwenye ajira portal
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba makadirio ya hizi nyumba

    Habari kwa wajuzi wa majengo,nyumba,apartment naomba kujua gharama za hii ramani kwa ujumla. Nature ya eneo lako ni tambarare, kumbuka makadirio ya KIASI CHA PESA TU. PICHA NUMBER 1 PICHA NUMBER 2 Natanguliza shukranii
  14. JamiiForums Tanzania Degree ipi ya ualimu ni nzuri?

    KOZI nzuri za education mnisaidieni
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji na kidonda kutunga usaha anaweza kutumia antibiotic?

    Habari, naomba kuuliza kwa mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji na kidonda kutunga usaha anaweza kutumia antibiotic mf. Amoxlinclav na metronidazole ukakauka
  16. JamiiForums Tanzania Mimi nilidhani mnawashtaki Wabelgiji ICC kwa 'Kumuua' Hayati Lumumba kumbe mlichoona cha Muhimu Kwenu ni kurudishwa tu Jino lake?

    Mamlaka ya Ubelgiji imekabidhi jino la kiongozi wa uhuru wa Congo Patrice Lumumba, kwa familia yake katika hafla iliyofanyika Brussels. Jino hilo ni sehemu pekee ya mabaki ya mwili wake ambayo inadhaniwa kuwa bado ipo baada ya kunyongwa na kisha mwili wake kuyeyushwa kwa tindikali mwaka 1961...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kujua upatikanaji wa ZTE AXON 40 Ultra na bei zake

    Kwa hapa nchini. Au mpaka kuagiza? Naona features&specifications zimenivutia. Screen kubwa 6.8 Battery kubwa 5000 (japo charger watts ndogo) Storage na RAM Muundo wake unavutia. Nn.k Sasa naomba mnijuze bei yake upatinanaji wake kwa hapa nchini
  18. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kuhusu shirika la MDH

    Habari zenu wakubwa kwa wadogo. Najua nafasi za kujitolea hazinaga mshahara ila baadhi ya mashirika au taasisi huwa wanatoa walau pesa ya nauli na chakula Je kuna mtu yeyote humu kashawahi kujitolea kwenye hili shirika la MDH Mana ingawa hakuna mshahara ila ni vyema nikajua kama wanatoa walau...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa namna ya kutengeneza Siki ya Mbilimbi

    Habari za muda huu! Samahani sana naomba kwa anaejua namna nzuri ya kuandaa siki ya mbilimbi iwe nzuri na tamu, kwa kutumia viungo mbalimbali kama vile nazi; pilipili; nyanya na kadharika. Maana nina mti wangu hapa nyumbani umezaa sana na sijui namna bora ya kuandaa siki hiyo. Najua humu ndani...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Je, huu ulozi au kitu gani? Naomba ushauri wenu

    Habari wana JF wote, Nyumbani kwangu huwa kunatokea matukio ambayo mimi nayaita ya ajabu kwani kuna mtu nisiyemfahamu anajisaidia haja kubwa pembeni kabisa ya nyumba yangu sasa sijui anakuwa na lengo gani. Sasa nataka nijue kama anafanya ulozi au nini! Na kama ni ulozi nini itakuwa dawa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…