naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu aina ya lotion, cream au mafuta yanayofaa kwa ajili ya kuondoa madoa mwilini na yasiyochubua yaani kuondoa rangi ya asili

    Naomba kufahamu aina ya lotion, cream au mafuta yanayofaa kwa ajili ya kuondoa madoa mwilini na yasiyochubua yaani kuondoa rangi ya asili. Pia naomba kufahamu kwa matumizi ya cream kama goldie pearlybeauty cream ni nzuri kwa matumizi ya rangi nyeusi.
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia naomba usimsahau Elia Wilinasi hata kwenye ukuu wa wilaya

    Kwako mama yetu Samia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Natumai umzima wa afya njema na unaendelea na shughuli zako za kiofisi. Mama, ndugu yetu Elia Wilinasi ni kijana safi mwenye weledi na mzalendo anayetamani kukitumikia chama cha mapinduzi katika ngazi za juu na taifa kwa ujumla...
  3. JamiiForums Tanzania Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

    Katika soma yangu nimekutana na hii aya. Naona inapishana na baiolojia niliyosoma miaka ile ya sekondari. Quran 23:14 Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyoganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya...
  4. JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na Mafua, Naomba dawa za Asili na Kisasa zinazosaidia

    Wadau,, me kijana wenu hapa nimekuwa Susceptible sana na hii homa ya Mafua,,, kwa experience yangu Sasa siwezi maliza miezi miwili bila Mafua na yakinishika Huwa yananishika kweli.. Yaan inafikia kipindi nikiwa safe namuogopa sana mtu anayeumwa Mafua maana nikimkaribia tu sichelewi kuyazoa. So...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa shule ya kidato cha tano na sita yenye academy

    Wadau sina mengi ila naomba kujuzwa shule ya kidato cha tano inayo fundisha mchezo wa mpira wa miguu
  6. JamiiForums Tanzania Kilimo cha Nyanya: Aina za mbegu, mbinu za kulima na masoko yake

    Utangulizi: Nyanya ni zao la mboga ambalo hulimwa sehemu nyingi duniani kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na pia kama zao la biashara. Inahisiwa kuwa asili ya nyanya ni nchi ya Peru/Equador huko Amerika ya Kusini. Mmea huu ulianza kuzalishwa kama zao katika nchi ya Mexico na baadaye kusambaa...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake mlio single muda huu naomba kampani

    Wanawake wote mliosingo nawaomba mje mnipe kampani. Nawakaribisha sana, njooni na maneno matamu yaliyoshiba mahaba.
  8. JamiiForums Tanzania Wana JamiiForums, naomba mnisaidie kutimiza ndoto zangu kuwa Clearing and Forwarding Agent

    .
  9. N

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani naomba mwenye kazi anisaidie

    Nina shahada sayansi na elimu (mwalimu wa chemistry na biology) Nimeoa naombeni mwenye connection ya kazi yoyote anisaidie kwani napitia kipindi kigumu Nina uzoefu wa kufundisha na pia na kazi zingine naweza kufanya mimi Ni mtiifu na nitafanya kazi kwa uwaminifu mkubwa  Namba 0765261930
  10. F

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ufadhili wa masomo diploma ya medical laboratory2022/2023

    Habari samahan sana kwa kutumia muda wenu lakin nianaombi moji ambalo no ufadhili wa masomo ya diploma kwa mwaka wa masomo 2022/2023. Naitwa Frank Mabula juma nikijana mwenye umri wa miaka 21 nikijana ninaetoka katika familia ya Mzazi mmoja yaani mama peke. Nimehitimu kidato cha sita mwaka...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kila fursa nikijaribu Wazazi wanasema sio hadhi yangu, sasa nipo nyumbani nafokewa kuwa sitafuti kazi

    Habarini wanaJF, Natumaini ni wazima wote Kwenda moja kwa moja kwenye hoja yangu. Mimi ni mhitimu wa chuo mwaka huu mwezi wa saba. Kiukweli napata changamoto kwa wazazi wangu kwa sababu kila fursa nikijaribu kufanya wananiambia hio sio hadhi yangu(fursa za halali). Lakini cha kushangaza mimi...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye namba za simu kampuni ya PanAfrica

    Habari za majukumu. Tafadhalini natafuta namba za simu za kampuni ya PanAfrica ni watengenezaji wa bidhaa za plastiki { Galons } , naomba msaada kwa hilo tafadhalini. Wasalaam
  13. JamiiForums Tanzania Kama Mtanzania wa kawaida, naomba kujua umuhimu wa hizi safari

    Makamu wa Rais yuko Marekani kuhudhuria mkutano, Rais yuko Uingereza kwenye msiba. Kuna mawaziri wako nje ya nchi kwa ziara mbalimbali. Mambo haya ni tofauti na awamu iliyopita. Natamani kufahamu umuhimu wa hizi safari hasa hii ya makamu wa rais. Ikiwa baadhi ya marais wako msibani kuhudhuria...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza waungwana

    Nimesoma kwenye Bible sijaona sehemu kimekataza sisi wafuasi wa masiha kuoa mke zaidi ya mmoja, Ebu ambae anajua Kuna mstari unakataza kuoa mke zaidi ya mmoja tafadhali ningeomba anionyeshe, maana nimechoka kuwa na mke mmoja na ukichukulia hii michepuko ya nje inajua kuchuna tu haina mapenzi ya...
  15. JamiiForums Tanzania Nini tiba ya uume unaosinyaa kabla ya tendo?

    Wakuu habari ya wakati huu. Naombeni ushauri au anayejua tiba ya uume kusinyaa kabla ya tendo la ndoa. Limekuwa tatizo ambalo linanipa mawazo sana. Msaada tafadhali
  16. R

    JamiiForums Tanzania Anayejua swift code ya NMB Bank naomba msaada.

    Habari wakuu Nahitaji swift code ya benki ya NMB .Inasomeka NMIBTZTZ. Hiyo character ya tatu ni namba 1 au ni herufi I ? Napiga namba zao za customer care hakuna option ya kuongea na mhudumu!
  17. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujua chuo cha udereva wa pikipiki na kupata leseni

    Habari wana JF, Naomba kujulishwa mambo yafuatayo kwa wanaofahamu. 1. Chuo kinachotoa mafunzo ya udereva wa pikipiki Dar es salaam (Specifically wilaya ya Temeke). 2. Jinsi ya Kupata Leseni ya Kuendesha Pikipiki na Gharama zake. 3. Jinsi ya Kubadili Plate number kutoka Nyeupe kuwa njano...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba majibu wanaume mmeniacha njia panda mmeshindikana kabisa

    Jamani za leo? Mimi kwangu nipo sawa tunashukuru Mungu. Sasa wanaume mnanishangaza sana walahi tuanze hawa wanaume namba 1 . 1. Wanaume msiojielewa. Hivi inakuwaje unampa mtu mimba anakuzalia mtoto halafu matunzo unasua sua halafu unaenda kuoa halafu unazaa na mkeo unaenda kuzaa na mchepuko...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kufungua website na kulipia domain

    Wakuu naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kufungua website na kulipia domain. Hela ya vocha ipo
  20. JamiiForums Tanzania naomba kujua namna ya kufanya biashara ya kuweka mashine ya kubetisha, kama gal sport

    za mda huu waku hapa, nimekuwa nikiona watu wanafungua office ya kubetisha kama gal sport na nyingine kama hizo, kama kuna mtu anajua taratibu zake za kufata na namna ya kupata faida naomba anielekeze hapa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…