Naomba kufahamu aina ya lotion, cream au mafuta yanayofaa kwa ajili ya kuondoa madoa mwilini na yasiyochubua yaani kuondoa rangi ya asili

Tigress

New Member
Sep 30, 2022
1
1
Naomba kufahamu aina ya lotion, cream au mafuta yanayofaa kwa ajili ya kuondoa madoa mwilini na yasiyochubua yaani kuondoa rangi ya asili.

Pia naomba kufahamu kwa matumizi ya cream kama goldie pearlybeauty cream ni nzuri kwa matumizi ya rangi nyeusi.
 
Tumia Goldie ya Pakistan ni elfu 10 - 20 inategemea na eneo ulipo
FB_IMG_1657756078643.jpg
 
Back
Top Bottom