Course ya procurement and supply chain management inajihusisha na nini?

Course ya procurement and supply chain management inajihusisha na nini?

SAFAM classic

Member
Joined
Oct 8, 2022
Posts
10
Reaction score
2
Wapendwa naombeni msaada hivi course ya procurement and supply chain management inajihusisha na nini sana sana?

Na ajira zake zikoje upatikanaji wake.

Au kwa upande kujiajiri
 
Wapendwa naombeni msaada hivi course ya procurement and supply chain management inajihusisha na nini sana sana?

Na ajira zake zikoje upatikanaji wake.

Au kwa upande kujiajiri
Soma Tu ukikosa kuajiliwa unafungua ww mwenyewe stoo
 
Back
Top Bottom