naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa solution za haya maswali wadau

    Kheri ya mwaka mpya wanajukwaa la elimu? Naomba mnisaidie haya maswali ya: 1. The Rydberg constant for hydrogen is 1.09678×107m-1 and that for singly ionized helium is 1.09722.Given that the mass of the helium nucleus is four times that of the hydrogen nucleus.Calculate the ratio of the...
  2. JamiiForums Tanzania Ambao hamuamini uchawi naomba mnieleze mambo haya hutokeaje?

    Habari wapendwa, Kwa tafsiri yangu ambayo sio rasmi, uchawi ni jambo ambalo huwezi kulielewa kwa akili ya kawaida lakini binadamu hulifanya jambo hilo na hata mtu anaelifanya huwenda hajui hutokea vipi. Jambo hili la uchawi pia haliwezi kuelezewa kisayansi kwasababu sio jambo linalofuata kanuni...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba mtu anifanye kuwa mchawi

    Cambodia! Nahitaji mtu anifundishe (anitrain) uchawi Kama ni hela nitamlipa baada ya zoezi. Bajeti yangu ni laki5. Ninataka mtu anitrain kuamka usiku na kuacha mwili kitandani na kuanza kutembea katika ulimwengu wa roho, kuingia ndani ya nyumba watu wamelala na wasikuone, Kuwapa usingizi wa...
  4. JamiiForums Tanzania TANZIA Papa Benedict XVI afariki akiwana umri wa miaka 95

    Pope Benedict XVI has passed away at age 95. He held the apostolic see from 2005 to 2013, when he unexpectedly announced his decision to abdicate. In recent years, he lived in a small monastery, Mater Ecclesiae, in the Vatican Gardens. Nini ilikua Motive ya Huyu Papa kujiuzulu 2013 ...
  5. JamiiForums Tanzania Tunao bet, kama ulisha wai cheza hii option naomba maelezo nimeipenda,

    Nataka nichezee nife hata. Na mchezaji mmoja, Sasa kizungu changamoto hapo sijaelewa Ili mkeka uende inatakiwa mchezaji achezeje huo mpira, apige short golini au mradi kapiga tu shot!? Msaada
  6. JamiiForums Tanzania Kabla hamjafuta somo la Uraia (Civics) naomba nijibiwe maswali haya

    Kabla hamjafuta Civics nataka nijulishwe, 1. Chama Cha Mapinduzi kilimpindua nani? 2. Tanganyika tunafaidikaje na muungano? 3. Mwenge wa uhuru uko kwa ajili ya maslahi na faida ya nani? Na una faida gani kwa taifa? Kwanini usizimwe na kuhifadhiwa kwenye makumbusho ya Taifa?
  7. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kitaalamu: Alimeza P2 ila kashika mimba

    Nilitembea na girlfriend wangu siku ya 14 akameza dawa baada ya masaa 24 means jioni ya siku iliyofuata baada ya kulala nae na baada ya kumeza dawa that night nililala nae tena nikijua ile dawa bado inafanya kazi ila ameshika mimba. Sasa kwa upande wangu iyo mimba sio tatizo ila nawaza huenda...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba ule Wimbo wa Zablon Singers wa Umetutoa mbali uwaendee waliochukizwa na Ushindi wangu

    Naomba mkiwa mnausikiliza huku mkiwa mmenuna mjipige Makofi Makali.ya Usoni mjiongezee Maumivu sawa?
  9. JamiiForums Tanzania Naomba muongozo katika hili

    Nawasalimu katika jina la jamhuri, Naomba mwenye uelewa katika suala hili anisaidie, iko hivi mimi naishi moja ya mikoa ya kanda ya ziwa kuna rafiki yangu anaishi mkoa wa iringa, juzi alinipigia simu ananiambia kuna tenda ya kukata miti pori kwa ajili ya uchomaji wa mkaa, mimi namiliki chainSaw...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kupatana na fundi Ghrama za kupiga blandering na kufunga bodi na mikanda yake katika nyumba

    Habari wana jf? Nipo katika ujenzi na kwasasa nahitaji kufunga gypsum board ndani ya nyumba, hivyo Naomba kujua namna ya kupatana na fundi Ghrama za kupiga blandering na kufunga bodi na mikanda yake katika nyumba. Nyumba ina ukubwa wa mita 12 kwa 10 na ina vyumba vitatu, sitting room, dinning...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Kuhusu Mikopo ya Riba nafuu kutoka Hazina.

    Heshima kwenu! Nimesikia kuna mikopo inatolewa na serikali kupitia hazina kwa watumishi wa uma. Nimetafuta nyuzi humu JF kuihusu lakini nimeona michango ni kidogo sana haitoi usaidizi mzuri. Ninaomba kwa yeyote mwenye taarifa sahihi kuhusu mkopo huu,vigezo na masharti vya kupata ,utaratibu wa...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kujua ubora na udhaifu wa gari za Toyota town hiace au panya buku

    Wana jf nataka ninunue hii gari naomba kuijua A-Z ubora wake madhaifu yake na bei zake. Asanteni.
  13. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kufungua line ya Vodacom upande wa calls na sms

    Habari wadau Nilikua najaribu kuminya codes tofauti kwenye simu yangu, Sasa sijajua nimeilock kwa codes zip? Laini ninayo tumia ni Vodacom , naomba msaada wa codes za kui activate, Natanguliza shukrani zangu
  14. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kilimo cha alizeti na mahindi

    Mimi ni mkulima ninashamba la heka 20 kipi nilime kati ya mahindi na alizet ila ardhi yake ni kichaga
  15. G

    JamiiForums Tanzania Urgent: Naomba yoyote mwenye programu ya Microsoft project anisaidie kuipata

    Salamu wakuu. Ninahitaji hii program niiweke kwenye PC yangu. Kwa yeyote aliyenayo kuanzia version ya 2016 mpaka 2021 naomba aje pm. Nipo hapa dar es salaam na nitatoa angalau shukrani.
  16. JamiiForums Tanzania Joka la vichwa viwili ndani ya msingi wa jengo lililoanguka na kuua watano Marangu

    Kwema ndugu yangu Mshana Jr mwandishi nguli wa habari za watu wa kuzimu. Tafadhali naomba ufafanuzi wa hili... Juzi kuna jengo la ghorofa lilidondoka na kupelekea kupoteza maisha ya vijana wetu wasiopungua 5 kwa mujibu wa ripoti za uchunguzi. Sikubahatika kufika kwa eneo la tukio lazima...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba Msaada wa kitaalam kwa wafanyakazi wa Airtel

    Kama kichwa cha habari kinavyosema Naitaji msaada wa kitaalam Kwa wafanyakazi wa kampuni ya simu ya Airtel Kuna kijana wangu, ambae ni mtunza bustan na usafi wa nyumba, ameondoka na funguo za gari yangu Kwa bahati mbaya Aliniomba bag dogo, nikampatia sasa nilisahau kutoa funguo na diary zangu...
  18. JamiiForums Tanzania Hii kitu naomba mnieleweshe

    Kitabu Cha Waefeso 5:31 BHN “Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja.” Sasa inakuwaje mwanaume ananiletea ndugu zake Tena inakuwaje kakiuka maandiko . Mnavyoooa mmeoa mje mkajenge familia yenu na mzae nampate watoto. Ila...
  19. JamiiForums Tanzania Je, naruhusiwa kuhama chuo?

    Naomba kujua utaratibu wa kuhama chuo kwa ngazi ya diploma (Vyuo vya Afya) Nilikuwa na paper ya sup na nilishaimaliza. Je, naruhusiwa kuhama chuo?
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa hizi namba mpya za magari

    Nipo halmashauri moja hapa nchini,nimekuta Kuna Gari Lina kibao chekundu namba za njano.namba zinaanza na ZT XXXX.Naomba kujuzwa maana yake.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…