Naomba kujua utaratibu wa kufunga ndoa ya serikalini kati ya Mtanzania na raia wa nje

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,344
1,013
Habari wataalamu,

Ndugu yangu wa like anataka kufunga ndoa ya kiserikali na raia wa nje. Huyo raia Kwa sasa anaishi nchini kwake ila anataka kuja Kwa muda mfupi wafunge ndoa halafu arudi kwao kuendelea na shughuli zake.

Naomba kujuzwa utaratibu.
 
Nenda ofisini ya mkuu wa wilaya unapoishi, muone DAS ndio anafungisha hizo ndoa atakupa utaratibu wote.

Ukiweza kulipia pesa wanazotaka wanakuja popote kuwafungisha ndoa na kupewa vyeti vyenu.
 
HV DAS KWENYE OFISI YA MKUU WA WILIYA NI NAN ?SHUGHULI ZAKE NI ZIP?
 
Back
Top Bottom