Denis Swai
Member
- Sep 9, 2024
- 27
- 67
Azam kuna mgomo baridi wa wachezaji, mbona magoli hawafungi? Wamebakia kuchana mikeka ya watu tu. Mtujuze kama wana mgomo tuachane nao. Na huyo wa kula wali na sukari ndo kwanza tu anazurula uanjani.
azam na ndugu yake nyau baba mojaHakuna timu hapo.