naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya dagaa

    Naomba ushauri wenu waungwana je hii biashara ya dagaa ina lipa vizuri pia vipi kuhusu changamoto na hasara zake?
  2. Ofisho mlinzi

    JamiiForums Tanzania Wadau naomba kujuzwa juu ya mikopo ya kibank kwa wenye ajira ambazo mkataba wake sio wa kudumu

    Wadau naomba kujuzwa juu ya mikopo ya kibank kwa wenye ajira ambao mikataba yao haizidi mwaka m1
  3. L

    JamiiForums Tanzania Nisijifanye najua naomba kuziza, Kizimkazi ni nini??

    Wakuu kila nikiangalia runinga naskia kizimkazi kumenoga ni nini hicho ?
  4. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu utajiri wa Rothschild, ni zaidi ya Elon jumlisha Bezos

    Kuna member jana nilikuwa naongea nae, ni mzuri kwa kuelezea vitu vilivyopo kwenye dark web.. Yeye alisema hao Akina Elon musk na Jeff Bezos sijui Akina billgate hawana pesa mbele ya Rothschild family Niliingia Google as fast as possible nikaja kuona ni kweli, Forbes inaweka wazi kuwa...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Kipenyo Cha Simtank 10000 litres na 8000 litres

    Hii nchi imejaa vilaza sana, Leo nimezunguka maduka zaidi ya matano , nahitaji simtank , lakini kabla sijanunua niliwauliza je naweza kupata specifications za matank mliyonayo haswa katika upande wa vipimo. Wakaniambia wao hawajua na hawana specification, hivyo tuchukue futi tupime, hatukuweza...
  6. Wakili

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kwa wenye leseni za udereva

    Habari waungwana, Mimi nilisoma udereva katika chuo kimoja cha veta cha serikali huku kaskazini mwaka 2018 na kupewa leseni Class D, Sasa nina taka kwenda kusomea tena kwa ajili ya kupata leseni Class C, sasa nilikua nimepata fununu kua vyuo vya veta vya serikali havitoi Class C mpaka NIT...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua mgogoro wa Ngorongoro maana mbuga ni muhimu haiwezi kuhamishwa Ila ndugu zetu nao muhimu pia

    Mpaka Sasa naona wengi wengi wanachangia kimehemko kihisia na kisiasa zaidi Ngorongoro ni moja ya hifadhi muhimu kwa nchi yetu na mchango wake ni faida ya Taifa Zima . Mapato yanayotoka ngorongoro na Kodi zake yanaenda kulipa mishahara ya mwalimu Dr anayefanya kazi Arusha mjini Dodoma Mtwara...
  8. Mtuache

    JamiiForums Tanzania Naomba sifa za Wanaume wenye muonekano kama huu

    Kichwa Cha Habari kinajieleza. Tiririka, povu sitaki
  9. blackstarline

    JamiiForums Tanzania Naandaa kitabu naomba kwa amabaye amewahi kuishi Uingereza au anaishi anasaidie kunijuza mitaa na mambo mengine

    Kitabu kinaelezea kijana aliechukuliwa afrika na kupelekwa uingereza na anatakiwa asome shule za awali hadi chuo, hivyo basi naomba kuelekezwa mitaa hasa ile ya kitajiri na sehemu za kupumzika hasa za kutembelea nk.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Nimetumia dawa za PEP mara nne kwa vipindi tofauti tofauti, nina wasiwasi nimetumia mara nyingi sana

    Kutokana na mtindo wa maisha niliokua nao (ulevi) nilijikuta kwenye hatari ya kupata maambukizi ya VVU mara nne baada ya kufanya ngono zembe au kupata ajali ya kinga kupasuka etc. Kila baada ya kupata ajali nilikua nakimbilia dawa za PEP, sasa mara ya mwisho kuna mhudumu aliniambia dawa za PEP...
  11. Prof_rutta22

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya kutunza nyumba kwa Dodoma mjini

    Naitwa David, nina miaka 25 naomba kazi ya kutunza nyumba kwa Dodoma mjini. Mawasiliano +255624576521
  12. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Naomba list ya App ambazo zinamilikiwa na members wa jukwaa hili

    Kila siku tumekuwa tunajadili App zenye majina makubwa makubwa Leo nimekuja naomba list ya App ambazo zinamilikiwa na member wa jukwaa hili pengine zitatufaa zaidi kwa mahitaji yetu kuliko hizi ambazo zimekuwa popular Nawakaribisha
  13. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAKUKURU Naomba Msitumike Vibaya kwa mambo ya Kizembe na Kijinga ya TRC kwenye Tickets za SGR

    Salamu kwenu nyote. Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye uwezo wa kuiga na kupanga mambo mazuri sana, ikiwemo sera na kuweka mikakati ya uwanzishwaji wa mambo ya kimaendeleo. Hali kadhalika ni nchi inayoongoza kwa kujifelisha yenyewe kimakusudi huku ikijivika upofu wa kimakusudi. Ni Taifa...
  14. Olivia olivia

    JamiiForums Tanzania Nahitaji soft copy novena ya Bikira Maria mfungua mafundo

    Novena ya Bikira Maria mfungua mafundo mwenye soft copy naomba anisaidie tafadhali
  15. BRO LEE

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi

    Habari wana jamvi, naomba ufafanuzi wa kisheria kwa jambo hili. Bwana X aliomba mkopo wa benk kwa dhamana ya nyumba ambayo ilikuwepo eneo ambalo halijapimwa na viongozi wa mtaa wakadhibitisha hati ya mauziano kisha bank ikatoa mkopo. Bwana X akashindwa kulipa mkopo wake bank ikaikamata kupitia...
  16. BLACKLIST 12

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata kazi ya upagazi(porters)

    Jinsia: Mwanaume Umri:21 Elimu: kidato cha 6 Mafunzo: JKT kwa mujibu wa sheria 2022
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza Vijana walioenda Kongamanoni leo Dodoma walienda kwa Utashi wao au ni kwa Utashi wa Chakula na Hela kutoka kwa Team Chawa?

    Halafu inakuwaje wengi Wao niliwaona kama vile Nyuso zao zilikuwawa na hofu na pia kukosa Kujiamini kama Vijana?
  18. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Manguli wa mapenzi msaada wa haraka unahitajika kwangu naomba njooni mnisaidie

    Mimi ni kijana wa miaka 30, ni mfupi mweusi mnene kidogo wa wastani,. Changamoto yangu ambayo ninahitaji msaada wenu ni kuwa, Nina wapenzi wawili ambao wate kwa pamoja wanaonyesha kunipenda sana, wananipenda mpaka nimekuwa nashindwa kuelewa niingie na yupi kwenye ndoa na wote wanahitaji...
  19. Even MOre

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kazi ya kulijuani na matokeo yake

    Wanajamvi kichwa cha habari kinatosha. Anayejua kuwa inatengenezwa kwa mazumuni yapi tu na matokeo yake yakoje na kwa muda gani. Comment 👇🏻
  20. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa hivi mbona ACT na vyama vingine vya upinzani hatusikii kelele za Rushwa, viko safi.

    Nimemsikiliza Lissu akilalamika kuhusu Rushwa kwenye chama chake cha Chadema,kauli hii imenifanya nitafakari sana kuhusu uwepo wa rushwa vyama vingine vya upinzani.Hali ikoje? Tujadili ili tupate chama bora.
Back
Top Bottom