naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta: Naomba Kujua software inayotumika kuingiza maneno ( KUTAFSIRI) video iliyo kwenye lugha nyingine inaitwaje?!

    Kichwa Cha habari hapo wakuu kinajieleza nataka Kujua Hawa wakina Mpemba og, side kama side Huwa wanatumia software gani kuingiza maneno Yao ?!? Nawasilisha swali na kama hujui kama Mimi Kaa kimya .
  2. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Msaada naomba makadirio ya malipo App yenye download 10k

    Habari zenu wakuu, Nimekuja kwenu wadau naomba msaada wenu kwa wamiliki wa App huko play store nataka nijue App yenye download watu 10k na watumiaji active 10% malipo yake huwa kiasi gani kwa makadirio kwa mwezi. Nimesikia Admob wanalipa sana na ndio mana nimekuja hapa ili nipate taarifa kwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kati ya kozi hizo

    Habari wakuu, kwa heshma kubwa naomba, nahitaji muongozo wenu. Nimepata 1: Bachelor of Arts in Economics -Ardhi university 2: Bachelor of Economics and finance -IFM Nilisoma HGE ufaulu wangu ni 1.8 (History B, Geography C, Economics C,Bam D) Naomba ushauri wenu wakubwa zangu nichukue ipi...
  4. je parle

    JamiiForums Tanzania Waliomteka na kumuua Mzee Ali Mohamedi waajua kama watu wa Tanga wana nongwa?

    Moderator naomba uzi wangu usiunganishwe na uzi mwingine sehemu yeyote. Tafadhali. Niende kwenye mada hapo juu. Katika hii mission ya kumdhuru huyu mzee ambae hakuwa na impact yeyote kwenye nchi bali alikuwa na impact katika maisha yake na watu wake waliomzunguka . Nipende kusema kwamba hawa...
  5. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza swali kwenu mawakala wa mitandao ya simu

    Je, wakala wa mitandao ya simu inawezakana kulipia bill ya Maji DAWASCO ama Kulipia DStv kwa kutumia M-pesa, Tigo pesa, Airtel Money, au Halopesa. Na je pia unaweza kununua umeme kwa kupitia njia hizo ukiwa kama wakala. Hapo anakuwa mteja amekuja ofisini kwako anaomba umpatie huduma hizo je...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kozi na vyuo hivi

    Wakuu nimekuja kuomba msaada wa kunisaidia nisome ipi kati ya kozi hizi na vyuo hivi 1.Bachelor of arts in Economics _Ardhi university 2.Bachelor of Economics and finance _IFM 3.Bachelor of Agriculture investment and banking _SUA Nahitaji sana mawazo na muongozo wenu wakuu wangu,niende ipi...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa Kozi ya kuchagua

    Habari wakubwa, Kwa heshma kubwa naomba ushauri Kwa Binti /kijana wetu anahitaji ushauri wa ki confirm kozi ambayo itakuwa Bora Zaid kwake Kwa ambazo amechaguliwa. Kozi zenyewe ni kama ifuatavyo 1. Bachelor of arts in economics_Ardhi university. 2. Bachelor of accounting with Information...
  8. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mambo gani yatanisaidia kushinda katika kesi yangu?

    Habari Wana JF, naombeni msaada wa kisheria. Mwajiri wangu alinivunjia mkataba bila kunipa barua yoyote yakuniachisha kazi, nilipewa kesi ya wizi ambapo alinipeleka polisi, lakini hakupeleka kesi mahakamani, baada ya kutoka polisi nilienda kituo cha haki za binadamu, nikapewa form za CMA...
  9. switmumie

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada katika hili la kununua nguo

    Habari za asubuhi wapendwa. Yaani nimeamka na mawazo sana nikaona nije huku kutaka msaada wenu yawezekana mm ni mshamba eneo hili. Juzi nilinunua nguo duka fulan maeneo ya Sinza kulikua na sale hizi nguo za Uturuki kwa sale ya sh laki1. Katika nguo zilizokua kweny sale atleast ile kwangu ndio...
  10. KING ASSENGA

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Biashara zinanivuruga naona nachanganyikiwa. Nifanyeje kujitoa katika hali hii?

    Habari ndugu, naomba niwashirikishe kidogo yanayonisibu; Nina biashara 5; 1. Magodoro 2. Electronics 3. Mchele 4. Duka la rejareja 5. Vinywaji vya jumla. Kinacho niumiza wakuu chakwanza ni location mbovu haswa kwa biashara ya; 1. Mchele 2. Electronics 3. Magodoro Jambo la pili ni mtaji...
  11. vnn

    JamiiForums Tanzania Wakuu Naomba Kuuliza Hapa NACTE Wana Maana gani?

    Naombeni kuuliza wataalamu je hapa Nacte wameshapokea matokeo ya mwanafunzi au bado au je hii pending inamaana gani?
  12. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua wasanii wangapi mama amekwenda nao China naomba anijuze.

    Mama alisema kila ziara zake atasafiri na wasanii na tayari alikwisha enda nao India na Korea, hivi sasa mama yuko China. Ninaomba mwenye majina ya wasanii aliosafiri nao kwenda China anijuze, kwani ni jambo la muhimu sana kwenye ustawi wa sanaa Tanzania.
  13. Herbalist Mtaturu

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua 100,000/- ya Burundi sawa na Shilingi ngapi za Tanzania?

    Kwema wakuu? Naomba kujua laki moja (100,000/-) ya Burundi sawa na shilingi ngapi za Tanzania?
  14. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 KUMBUKIZI: Kiongozi wa CCM aliwahi kusema ushindi CCM hauna Mungu akipenda, ni lazima!

    NB: Video hii ni kumbukizi wakati wa Kampeni za Uchaguzi mwaka 2020 Huyu kiongozi ana mkashifu Mwenyezi Mungu, oky sikiliza mpaka mwisho.👇 "…sikiliza ana mpango gani na tawi lake halafu tutaendelea kuzungumza si ndio? Si tumekuja tuzungumze pamoja, siyo kutoa maagizo sasa hivi, nataka tujue...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama na utaratibu wa kutembelea hifadhi ya mbuga ya Serengeti

    Habari GTs, Naomba kujuzwa gharama na utaratibu wa kutembelea hifadhi ya mbuga ya Serengeti, kwa raia wa Tanzania wenye umri pungufu na zaidi ya miaka 18. Vile vile gharama za malazi kwa usiku mmoja for economy class, safari yangu itaanzia Mwanza. Naomba kuwasilisha.
  16. D

    JamiiForums Tanzania Mama mkwe kanionyesha jipu lake lililomuota kwenye paja; naomba msaada wa mawazo!

    Nimepigwa na bumbuwazi wadau! Natoka safari zangu naingia ndani namkuta mama mkwe (ana siku ya tatu Sasa hapa akiwa amekuja kututembelea) amejiinamia flani. Nikamuuliza, "mama vipi mbona umejiinamia?" Akaaniita na Kisha nilipofika alipo akasema tu, "angalia!" Basi akapandisha nguo yake na...
  17. A teller

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu TAMISEMI agencies

    Habari zenu wakuu Naomba kufahamishwa kuhusu agencies zilizo chini ya TAMISEMI ukiachana na Halmashauri, Manispaa na Majiji Je , TAMISEMI zina agencies zake zingine ambazo zinasimamia?? Uzi tayari
  18. Ritchy Breezy

    JamiiForums Tanzania Naomba mkeka ajira za ualimu 24/25

    Mwenye mkeka wa walimu waliopata ajira 2024/2025 naomba pls Nasikia yameshatoka ila najaribu kusakua kila website sioni. Natanguliza shukrani🙏
  19. TEAM 666

    JamiiForums Tanzania Naomba bajeti ya hii land cruiser Hadi nyumbani

    Kama kichwa cha habari hapo juu
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mama siwezi kukutumia hiyo elfu hamsini uliyoniomba kwasababu kesho natakiwa kulipa ada ya mtoto shuleni

    Hayo si maneno yangu, ni maneno ya kilaza mmoja aliechangamka ambae anaamini kwamba umasikini unasababishwa na kutojua lugha ya kiingereza utotoni. ( 😂😂😂 utoto raha nyie/ you can just think any how) Si yeye peke yake bali hadi ndugu zake (kaka zake) wengine wanne ( wa tumbo moja) wote...
Back
Top Bottom