naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kutengeneza mbege

    Mwana Jf mmoja anielekeze namna ya kutengeneza mbege kama Nina ndizi na ulezi tayari.
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ufanyeje ili ukiwa nje ya Tanzania Laini yako ya Simu isifungiwe na ukirejea Tanzania uendelee Kuitumia?

    Kwa mfano nina Laini ya Airtel Tanzania niliyokuwa Naitumia nikiwa Tanzania, ila naambiwa kuwa nikirejea Tanzania haitokuwa inatumika (na Ninunue Laini mpya) kwani itakuwa Imeshafungiwa kwani sasa ina mwaka siitumii kwakuwa huku nilipo natumia Laini ya Mtandao wa huku. Kwahiyo nauliza ni Mbinu...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua

    Mtu akichelewa kufata barua ya Ajira, Dodoma. Ndani ya mwezi je akifata atapewa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu maeneo kwa Dar es Salaam wanapofundisha mafunzo ya karate!

    Habarini wanaJamiiForums! Kwa Dar es Salaam, ni maeneo yapi yanatoa huduma za kulipia za mafunzo ya karate kwa ajili ya kujihami? Kijana wangu ana miaka 10 na ningependa apate japo abc's za kujilinda mwenyewe. Nitashukuru sana. Regards Amadi!
  5. The Great Haya

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada nina tatizo la Tonsils

    Habari za majukumu wakuu, ndugu zangu nimekuwa nasumbuliwa na tonsils za upande wa kulia mda mrefu. Nimetumia antibiotics hasa amoxicillin kwa muda mrefu lakini zinarudia mara kwa mara. Nilishaacha hata kunywa vitu vya baridi lakini bado. Nina imani humu kuna wataalamu mbalimbali na wenye...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba tusaidiane kufanya 'CRITICAL THINKING' kuwa sababu ya Kukamatwa kwa Tundu Lissu ni Kuchochea Uchaguzi kutofanyika na Watu kutokupiga Kura

    Kila siku nasema hapa kuwa CCM + Serikali tulieni na tafuteni Watu wenye kujua KUFIKIRI vyema ili wawe Wanawashauri katika Mambo mengi ya Kimsingi (hasa ya Siasa na Matukio) kwani kuna Maamuzi mengi yanatoka Ngazi za Juu kwenda kwa Upinzani / Wapinzani ukiyapima kama Mtu MWEREVU unaona kabisa...
  7. mfuaji

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kurudisha akaunti ya watsApp ambayo namba yake ilipotea

    Wakuu naomba mnijulishe jinsi ya kurudisha akaunti ya watsApp ambayo namba ya simu iliyotumika kutengenezea kwa mara ya kwanza ilishapotea hivyo wakati wa kufufua akaunti codes zinaingia kwenye namba iliyopotea. Najua huku Kuna IT's mahiri ambao ni watundu kwelikweli, basi naomba wafanye huo...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Naomba maoni yako: Mtindo gani wa maisha hapa ni hatari zaidi kwa changamoto ya uzito?

    SWALI: Je! Ni mtindo upi wa maisha (lifestyle) kati ya iliyoorodheshwa hapa chini ambao ni HATARI ZAIDI kwa changamoto ya Uzito Usio wa Kawaida (Under Weight, Over Weight or Obesity); lakini ukishughulikiwa ipasavyo na kwa usahihi unaweza kuleta suluhu kwa mitindo mingine ya maisha iliyosalia...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua usalama wa fedha za mwekezaji wa UTT pamoja na uhakika wa faida

    Wakuu wasalaamu, naomba niulize kuhusu usalama wa kuwekeza fedha katika mfuko wa uwekezaji(UTT), vipi bei za vipande zikishuka, hutopata hasara? Hakuna member hata mmoja humu aliyewahi kukumbana na kadhia ya hasara kutokana na kushuka kwa bei za vipande? Au ni changamoto gani mliyokumbana...
  10. Bueno

    JamiiForums Tanzania Leo tarehe 09.04.2025 Simba akimfunga Al Masry goli 3 Mods naomba nipigwe ban Miaka Mitatu

    Wakuu nimesema hivyo leo kwenye ile mechi iliyosubiriwa kwa hamu sana. Simba anatakiwa ili afuzu ashinde goli zisizopungua 3. Mimi nasema Simba uwezo wa kumfunga Al Masry goli hata 1 tu hana, tuliona mechi iliyopita wakachezea goli 2 wakarudi nyumbani. Sasa hivi Al Masry wamekuja huku...
  11. Now and then

    JamiiForums Tanzania Hili somo naomba liwafikie masikini wote ila muhimu lisikose kumfikia Nuh Mziwanda the hit maker wa Msondongoma na X wa Shilole (Mama ntilie).

    Kwanza kabisa habari zenu waswahili wa Tanzania mliopo Tanzania na ambao mpo nje. Leo nitadadavua aina za umasikini na unaweza kujinasua vipi . Kuna aina tano za umasikini Kama ilivyo aina tano za utajiri. •Umasikini Fedha na Mali •Umasikini wa maarifa na akili •Umasikini wa kiroho...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nina ujuzi wa QGIS, naomba kazi

    Wakuu, habarini za saizi, kama mada inavyojieleza hapo juu, nina ujuzi na programu ya QGIS (Quantum Geographic Information System) with a bachelor of Science in BUSINESS INFORMATION TECHNOLOGY. naombeni mnisaidie ni namna gani naweza kupata kazi hizi za GIS. je hapa Dar kuna kampuni lolote...
  13. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tuna tatizo kama jamii na taifa maana sielewi mantiki ya watu wazima na akili zao kukubali kuita au kuitwa au kujigeuza chawa

    Kwa sasa, chawa amegeuka superstar katika siasa za majitaka za nchi yetu. Kila aliyekaribu na watawala ima ni chawa au anatafuta kuwa chawa. Je kwa uchawa na uzwazwa huu tutegemee nini? Afugaye chawa na chawa wanaofugwa naye, wote wanahitaji ukombozi. Hii inanikumbusha kauli ya marehemu Mtikila...
  14. chaja2

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu aina hii ya baiskeli hapa tanzania

    Habari za muda huu watu wangu wa nguvu kabisa Hili ni jukwaa ambalo kwakweli nikitafuta maelezo kuhusu kitu flani lazima nipate. Naomba msaada wa mwenye kujua aina hii ya baiskeli Gharama yake used na mpya, Upatikanaji wake wa spare, Specification zake. Maana nina taka ninunue baiskeli ya...
  15. Tman900

    JamiiForums Tanzania Naomba Mnisaidie mkoa Wa Kwenda, Matembezi

    Nimepanga kwenda Matembezi Baada ya Mwezi wa 6 Nataka Niwe uko kwenye huo mkoa kwa Siku 20 au kama zitazidi pia Ni jambo Jema. Naomba isiwe mikoa hii. 1.Musoma/ Mwanza, hapana, kwa Baba yangu( Ndugu Wengi wapo mikoa hiyo. 2. Lindi Hapana kwa mama Yangu 3.Mtwara, masasi, Iringa, njombe,MBEYA...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Gharama za Airport Tax / UBER / Nyinginezo kutoka JNIA hadi Mapinga Kiharaka hadi Makao Bagamoyo

    Kuna Mgeni anataka kuja Kuitembelea Tanzania na Mimi kama Balozi Kivuli wa Tanzania ninataka ajue Gharama kamili.
  17. aliyetegwa

    JamiiForums Tanzania Natamani kununua Toyota Rush naomba ushauri wenu

    Wakuu Mimi huvutiwa sana na muundo wa gari hii, inaurefu Fulani ata sisi tunaoishi mabonde Kwinama inaonekana kama inafaa hivi. Sina utaalamu sana wa magari ila najiuliza kwanini gari hii sio nyingi sana barabarani wakati inaonekana kua gari nzuri kwa Mimi nisiyekua na ujuzi wa kutosha juu ya...
  18. nipo online

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, ninunue pikipiki au nifungue library ya kuingiza movie katika flash? (nina Tsh. milioni 1. 2)

    Wana Jukwaa, Ubungo au Keko kuna pikipiki used aina ya Boxer au TVS. Lakini pia nina wazo la kufungua maktaba (library). Je, kati ya biashara hizo mbili, ipi itanipa kipato cha uhakika kwa mtaji wa takribani milioni 1.2? Asanteni.
  19. G

    JamiiForums Tanzania Naomba ushahuri: wataalamu wa spiker na midundo

    Nataka kununua bluetooth speaker, nimeipenda sana JBL BOOM BOX 3, ila sina bajeti yake, ni mdundo gani unaoendana na huo kwa bajet ya 400,000? Ambao ni portable kama boom3?
  20. cold water

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kimo Cha jiko la gesi lenyew oven

    Nimechonga kabati fundi anashindwa kujua vipimo vya iyo ovena yenye jiko la gesi Kwa anaejua upana na urefu msaada plz nalitamani kitchen kabati langu fundi kizingizio chake ndo icho tu Kila ukimuuliza kabati tayari anakujibu anashindwa kumalizia ajui vipimo vya iyo gesi oven,nahitaji Ile yenye...
Back
Top Bottom