naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hot27

    Naomba msaada wa ajira/kazi/kibarua

    Habari za wakati huu wanajukwaa!? Sidhani kama huu ni uziwangu wa kwanza jukwaani juu ya maombi ya kazi. Mimi ni kijana (ME 23) ninaishi Dar es salaam, nimetoka chuo mwakajana ila sikufanikiwa kumaliza (juu ya changamoto zilizonipata) hivyo mwakahuu mwezi wa 11 nitaenda kumalizia mtihani wangu...
  2. GENTAMYCINE

    Tafadhali naomba kama kuna yoyote ana Picha ya Rais Samia akienda 'Kuhani' Msiba wa Waziri wake Mchengerwa aniwekee hapa

    Nitashukuru mno kwani nimejaribu kwa Kuhangaika kuitafuta sijaiona hivyo pengine Lucas Mwashambwa au ChoiceVariable wanaweza kuwa nayo.
  3. kitoto wa vitoto

    Habari za usiku ndugu zangu naomba ushauri

    Nina mtoto wa kike ana MWAKA na mwezi 1 alizaliwa akiwa na changamoto ya kulia sana Tulimuona Dr mara kadhaa Dr wengi hawakuona ugonjwa Ila baadae tuligundua ana TB ya mapafu alipata matibabu Ila bado afya yake bado imedhoofika sana tumempa kila aina ya lishe Ila bado uzito wake ni ule ule pia...
  4. B

    Wajuba Naomba mniambie hawa watu wapo au ni wapigaji

    Wataalam hebu niambieni hicho kitu kipo au Ndio namna nyingine ya utapeli? San Mushroom Farm was established in 2013 and is one of the leading agricultural technology companies in Tanzania. Millions of tons of crops, processed foods, and raw materials are distributed domestically and...
  5. M

    Nahitaji mwanaume wa kunioa

    Namuomba MUNGU Anipe mchumba na mimi ,Mimi mkristo mkatoliki mwanamke mvumilivu umri ni 29+, Libra, Sio mnene sana/Chaga Ni wa kawaida Sina Ugonjwa wowote Naomba kama kuna mwenye hitaji la mchumba tuchumbiane Akiwa Chaga inapendeza zaidi na hata wengine inaruhusiwa (hii ni kwa sabbu wengi...
  6. W

    Bile acid reflux inanisumbua

    Habari naomba kusaidiwa dawa ya kupona bile acid reflux, nilienda hospital baada ya kuwa nasumbuliwa sana na tumbo kuwaka moto kama naungua tumboni baada ya kipimo cha endoscopy shida ilionekana mlango wa chini wa tumbo upo wazi nyakati zote( sphincter pyloric) kwahiyo unaruhusu alkaline kutoka...
  7. Bueno

    Wanawake Pitieni hapa Naomba Maelezo yenu hii imekaaje?

    Sitaki kuongea sana soma hapo kisha toa maelezo mwenyewe.
  8. Sex body

    Naomba mbinu ya kukukwepa utapeli wa mtandao wa Yas!

    Wakuu namtanguliza salamu nadhani mko salama kabsa, katika shughuli zangu na kutokana na mazingira ninayo ishi huduma zangu za kimawasiliano na kimtandao hua matumia mtandao wa Tigo (yas) sasa nimekumbana kadhia ya kukatwa salio kila nikifanya miamala na kila nikinunua vifurushi kupitia mtandao...
  9. Stroke

    Naomba kushukuru, watu wa Mtwara

    Mwaka jana nilikuwa Masasi mtwara. Wale jamaa ni wakarimu ila watata mno. Imagine jamaa wanakuomba kukushukuru. Utasikia " NAOMBA KUSHUKULU."
  10. M

    Naomba kujuzwa namna ya kulipia bidhaa nje ya nchi na maana ya ZIP code

    Kama mada ilivyo. Natamani kuanza kununua bidhaa kutoka nje ya nchi kupitia hii mitandao ya uuzaji kama Alibaba, AliExpress etc japo kwa sasa nataka nianze na AliExpress. Sasa kuna kipengele cha kulipia bidhaa hapo ndio nakwama maana Kuna mahali naambiwa niweke card. Pia Kuna mahali wanataka...
  11. philipo Leonard Philipo

    Naomba mamlaka zinazo husika kushughulikia hii changamoto ya watoto kwenda vijiweni

    Tunapo waacha watoto kudhurura na kuwapa uhuru ulopitiliza bila kujali kesho yao ndo chanzo cha watoto kuwa wazembe na kushindwa kujifunza vitu vya msingi kama masomo hii ndo sababu wanavuna ziro huko mashuleni. Wazazi chukuweni hatua stahiki ✍️✍️
  12. vnn

    Nimestaajabu Naomba mnieleweshe, hizi ndio riba za mkopo wa mtumishi wa Umma?

    Kwenye pitapita zangu nimeona kwenye mfumo wa ess mkopo kwa mtumishi wa uma, kila taasisi ya mkopo imewekwa kwenye mfumo na riba zake, ila nikama vile sijaelewa kitu, Nimeshangaa serikali inaapprove taasisi yenye riba 42%? Serious BOT? Fanikiwa microfinance 42% Magere credit 42% Platinum...
  13. Forrest Gump

    Wakuu, kama upo maeneo ya mwanangi au nasa ginnery tafadhali naomba unishtue. Kuna ndugu yangu nataka nikuulizie maana ni miezi sasa hayupo hewani.

    Ni vizuri zaidi kama ukiwa boda boda kama sio bado pia itakuwa fresh . Karibu
  14. 1Africa54

    NAOMBA kujua kuhusu kilimo Cha tangawizi?

    Habari za mda huu ndugu wapambanaji wenzangu Naomba maelekezo kwa anae jua namna nzuri ya kilimo Cha tangawizi 1,hali ya hewani 2,aina nzuri ya mbegu 3, jinsi ya kuandaa mbegu au upatikanaji wa mbegu nzuri 4, je zao la tangawizi linachukua mda gani shambani mpaka kuvunwa 5,jinsi ya kuvuna na...
  15. Dialogist

    Naomba Kuuliza, Sio Kwa Ubaya Lakini Ni Katika Kujifunza... Ni Kuhusu Jumamosi..

    Good Sunday Ladies And Gentlemen... Miaka Kadhaa Nyuma Kulikua Na Kampeni Kabambe Kila Jumamosi Ya Kwanza Ya Mwezi Na Kila Mtu Aliiheshimu Kama Sio Kuiogopa Kabisa Siku Hiyo... ..Ni Siku Ya Usafi Kwa Nchi Nzima. Hivyo Iliwalazimu watu wote, Sekta Zote, Biashara Zote Na Kila Kinachofanya Kazi...
  16. Braza Kede

    Naomba kukiri bila shurti makalio yana umuhimu wake, akili zikiwa za kuvukia barabara zinatosha

    Leo nakiri bila kushurutishwa makalio yana umuhimu wake. Najua baadhi ya waja hasa flat screeners wataguna😜na wengine wameenda mbali zaidi kwa kudai eti makalio makubwa yanapunguza akili. Nimegundua akili zikiwa za kuvukia barabara zinatosha. Kwanza mnaotaka miakili mingi yanini? mnataka...
  17. GANJIBHAAI

    Wadada wa JamiiForums naomba mpokee maua yenu

    Kwanza kabisa naomba nianze kwa kusalimia Wakubwa zangu Shikamoo, wadogo zangu Marahaba, Mashangazi Chei chei!, Nimejiuliza sana hivi mliwezaje kujiunga na JamiiForums, maana nimejaribu kufanya tafiti kwenye jamii inayonizunguka simuoni mdada anayefanania kuwa na akaunti JF, wengi wao...
  18. Iam back_Euphoria

    Naombeni msaada wa maarifa ya kiroho

    Habari za usiku huu wakuu natumai mpo good Mimi kama kijana wenu tangu nijiunge JF hii ni mara yangu ya tatu naanzisha uzi na ni mara ya kwanza kuomba msaada wa maarifa ya kiroho Nimekuwa nikifatilia sana mada za kiroho na vitu kama hivyo kwa mda na members kama kina mshana jr DR Mambo Jambo...
  19. Mwangi T.

    Habari wakuu!? Naomba kujua matibabu ya Toki, uvimbe wenye maumivi juu ya paja unaotokea wakati fulani unapopata jeraha au maumivu mguuni.

    Kama Headline inyosomeka hapo juu tafadhali kwa mwenye ufahamu!
  20. tamu 3

    Naomba ushauri

    Kuna binti nilikutana nae kimwili 30/6/2024 amejifungua Jana 13/2/2025 Nina wasiwasi kama ni mtoto wangu, eti alitakiwa ajifungue tarehe gani na mwezi upi?
Back
Top Bottom