naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watalamu wa madini naomba msaada wenu

    Jamani habari za Jumapili. Kuna rafiki yangu yupo Morogoro, siku kazaa zilizopita alinitumia picha hiyo hapo chini👇, Akiniomba nimsaidie kuulizia kuwa hayo ni madini Gani na thamani yake ikoje sokoni? Mimi Sina ujuzi juu ya madini na Vito, kwa mwenye uelewa naomba msaada wenu.
  2. JamiiForums Tanzania Habari naomba kujua kuhusu m Koba

    Nimeunga kikundi kupitia m Koba lakini tunacheza vikoba Sasa nahitaji kukopesha hela Kwa wanachachama Ili warudishe Kwa riba mfuko uweze kukua nashindwa nianzie wapi mimi ni mwenyekiti wa kikundi,msaada tafadhali na wakikopa Mwanachama akirudisha hela itakayorudishwa pamoja na riba vitaonekana...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hivi Leo kuna Sikukuu yoyote ya Kitaifa?

    Nauliza tu maana kuna dalili kama ni holiday hivi Ahsanteni sana 🐼
  4. JamiiForums Tanzania Naomba list ya Machimbo ya huduma ya massage inayoinclude Happy Ending

    Malegends, Naombeni list nina kazi nayo personally.
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo biashara ya MASSAGE

    Habari wakuu. Nikitaka kuanzisha na kufanikiwa katika kutoa huduma ya massage nizingatie nini? 1). Kibali kinatolewa baada ya kukamilisha nini? 2). Profesional Masseuse /masseur wanakua na cheti cha level gani?Mishahara yao ikoje? 3). Natakiwa niwe na nini? Natanguliza shukrani
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kujibu hoja ya Kafulila kuhusu rasilimali watu na rasilimali za nchi

    Wazo kuu hapa ni kwamba utajiri wa kweli wa matajiri haujatokana na kuwa na rasilimali asilia (kama mafuta, madini, au ardhi yenye rutuba) bali ubora wa rasilimali watu (human capital), yaani, ujuzi, maarifa, ubunifu, nidhamu, na uwezo wa kufanya kazi kwa pamoja wa wananchi wake. Naomba...
  7. JamiiForums Tanzania Kati ya TIA, CBE na IFM

    Kati ya IFM- Insurance and Risk Management TIA- Business administration CBE- Banking and Finance Kati ya hvyo vyuo na hzo courses ni chuo gani niende guys naombeni na reason Ila nina diploma ya insurance and Risk management kutoka IFM
  8. R

    JamiiForums Tanzania UDOM LLB naomba kujua mazingira yake

    Nasikia Mabweni na madarasa mpaka upande bajaji/pikipiki. Is that true? ie it is a long distance... Accomodation ikoje? au kuna kupanga nje? Kijana amechaguliwa hapo, sasa wanasema UDOM pagumu kwa usafiri.
  9. JamiiForums Tanzania Naomba CV ya Abdul mtoto wa Rais Samia

    Abdul mwana wa malkina anajadiliwa sana. Kama yupo mwenye cv yake aturushie.
  10. JamiiForums Tanzania Naomba code ya ushindi kwanini siku hizi wanawake wanatoa sana namba za simu ila kukamilisha project wanazingua?

    Naomba mbinu takatifu nje na pesa , kwanini mademu wanatoa namba kirahisi sana ila wagumu kuingia box, wanaboa mimi nawatukana nawauliza ulidhani mimi mjomba wako. Pesa ni ngumu utawala huu wa Hassan, kutoa advance mtihani. Leteni code mkwamo uko wapi baharia wa Malawi nakwama
  11. JamiiForums Tanzania Naomba mnifahamishe kama hivi ndivyo nyota inavyoibiwa?

    Huwa sifatilii sana haya mambo ila kuna kitu kimenipa wasiwasi, kuna mtu ananipa sana hela, mara kwa mara, na ni miamala mikubwa tu bila hata kumuomba. Imefika muda nikaona nimuulize, akaniambia nisijali, pia akinipa hela, huwa mambo yake yanaenda vyema. Je, kwa kauli hii ndio anatumia nyota...
  12. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Naomba kipindi hiki cha kampeni TBC muwe mnatuwekea hotuba za Magufuli

    Ndugu zangu CCM kipindi hiki cha kampeni ili tuwezi kushinda kwa kishindo basi tuombe tuwe tunawekewe hotuba za Magufuli ikiwezekana kwenye redio zote za Tanzania hizi hotuba ziendane kama tunavyomsifia Mama ili tuwapiga wapinzani kweli kweli
  13. R

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Popote ulipo, naomba jibu la swali hili ukija kwenye press ya tarehe 3/9/2025 kama ulivyoahidi

    1. Kama ulivyosema, UONGOZI/viongozi wanachaguliwa/ wanatafutwa na mtu hatafuti uongozi. 2. Sasa kama uongozi unatafutwa na chama na siyo individual, na wewe ni mmoja wa senior members wa CCM na ulishiriki katika mchakato wa kumpata Mgombea Mwenza, kweli mlikubaliana kuwa huyu mama anaweza...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Nimenunua kiwanja nikaanza kujenga bado natakiwa niende nikatafute kibali cha kujenga hii ikoje?

  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Naomba kujua October tunatick au October tunatoka?

    Hadi sasa nipo njiapanda sijui nishike wapi, kwanza nina uchungu kwa tunayofanyiwa na tuliofanyiwa na tutakayofanyiwa yani nimechanganyikiwa hadi pumzi inatoka kwa shida kila nikizunguka Jf ,X, Ig , hasira zimejaa kifuani kinataka kupasuka. Kwanini sisi wapole tunaonewa hivi au sisi ni...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa afya naombeni msaada

    Mimi nimelazwa regency hospital wiki ya pili sasa nina shida ya kifua sasa oxygen kilasiku inashuka nimewekewa oxygen lakini still inashuka leo imefika 68 naombeni msaada nipewe rufaa mloganzila maana naona hapa sipati huduma nzuri sina mtu wa kunisaidia kutoka hapa ninatumia bima ya nhif ya...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba anayejua hotel ya nyota 10 Dar msaada

    Nina mgeni wangu ataingia jijini mwezi ujao msaada wenu hotel ya hadhi ya 10 star
  18. A

    JamiiForums Tanzania Hello Hello naomba mnipokee

    Mimi ni mgeni naomba mnipokee pia naomba support yenu
  19. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwenye Infinix hot 30i.

    Habariini. Natumia Infinix hot 30i. Ninatumia sim cards mbili halotel na Vodacom. Shida ipo hivi nimechagua sim 1 ambayo ni halotel kutuma meseji.Sasa nikituma meseji inaenda kwenye upande WA Vodacom ambapo sijaset Vodacom kutuma ujumbe.Shida itakuwa nini niendelee kutuma sms sim card 1 ya...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Naomba mnielimishe kuhusu taasisi ya NIMR

    Wakuu hbr za Leo naombeni msaada mnielimishe kuhusu taasisi ya NIMR kuhusu ajira zake huwa zinatangazwa na kwa degree ya lab technician anaeanza mshahara wake ni kiasi gan
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…