GE2025 Naomba kujua October tunatick au October tunatoka?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

heartbeats

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
8,038
Reaction score
13,358
Hadi sasa nipo njiapanda sijui nishike wapi, kwanza nina uchungu kwa tunayofanyiwa na tuliofanyiwa na tutakayofanyiwa yani nimechanganyikiwa hadi pumzi inatoka kwa shida kila nikizunguka Jf ,X, Ig , hasira zimejaa kifuani kinataka kupasuka.

Kwanini sisi wapole tunaonewa hivi au sisi ni wabinafsi Mungu anaamua kutukomesha?

Nataka kujuwa moja tunatoka au tunatick , wanamtandao watuachie nchi yetu kwa amani awataki kuichukuwe kilazima tumechoka tunayofanyiwa

Mama hana uhuru kisa akifanya jambo kuna watu nyuma wanamwambia kumbuka tumefosi uwe apo

Ntahakikisha October narudi nyumbani Tanzania nijue nina tick au nina toka
 
IMG-20250830-WA0002.jpg
 
Tulia soma upepo kwanza maana zipo Sinema zinakuja mbele za kushangaza sana, Nchimbi anaenda kuwa Rais kwa mujibu wa katiba mara tu ya ccm kujipa ushindi Bandia wa Uongo ndipo utabiri wa Sheikh Yahya utatimia na mama kuwekwa pembeni kisha Nchimbi kuwa Rais na kesi nyingi mfululizo za ufisadi kuanza kila kona ya Nchi
 
Utabiri wa Sheikh yahya unaenda kuleta ukurasa mpya ingawa akina kikwete Rostam Angela kiziga wanahaha kufanya visomo makafara ya kila Aina kuzuia Utabiri huo, lakini lipangalwa na mungu kama lipo litakuja tu hata wazuie vipi watashindwa tu
 
Back
Top Bottom