naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Musiba: Kama kuna mtu yeyote nilimkosea, naomba anisamehe. Ule ulikuwa ni ujana

    Wakuu, Inaonekana kama Musiba baada ya kukatwa na CCM akili zimeanza kumrudi. Leo akiwa anaongea na waandishi wa habari ameomba radhi watu wote ambao aliwakosea kipindi hicho na akaongeza kuwa kipindi kile alikuwa kijana tu. Nadhani msamaha huu unawahusu sana wakina Fatma Karume na wengineo...
  2. Bueno

    JamiiForums Tanzania Naomba kwa anaejua aniambie Mungu ana Jinsia Gani? Je! MUNGU ni Mwanamke au ni Mwanaume? Mungu ni Mama au Mungu ni Baba?

    Wakuu, hili swali limekua linanisumbua kichwa changu sana, tafadhari sana msinione km napatwa na wazimu kuhoji hili swali la jinsia ya Mungu. Ila wakuu naomba kwa anaefahamu tafadhari sana aniambie Jinsia ya Mungu ni ipi? Je! MUNGU ni Mwanamke au ni Mwanaume au MUNGU hana jinsia kabisa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Kiwanda cha mifuko rejea

    Habari za muda huu wakuu...naomba kufahamu kiwanda au mahali nitakapo pata mifuko hii ikiwa kiwandani kilipoa jumla nahitaji mingi sana ikiwekana nifamu na bei zake
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ninaomba mnilipe gawio langu la Samia Infrastructure Bond vinginevyo nitaenda Mahakamani

    Ninaomba mnilipe gawio langu la Samia Infrastructure Bond vinginevyo nitaenda Mahakamani mnirudishie fedha zangu. Tuliaminishwa kuwa kila baada ya miezi mitatu tunapata gawio lakini siyo kama walivyoahidi.
  5. kalou

    JamiiForums Tanzania Naomba uzoefu wa VW toureg

    habari wakuu ,, kama kichwa cha habari hapo juu , naomba uzoefu wenu kabla sijafahya haya maamuzi
  6. Steve Njimaita

    JamiiForums Tanzania KERO Nikidai risiti ya EFD naambiwa bidhaa itapanda bei

    Nimekuwa nikikutana na kadhaa moja pale ninapokwenda kukunua bidhaa dukani na kudai risiti ya EFD huwa naambiwa, Ukitaka risiti ya EFD bidhaa hiyo bei yake inapanda otherwise tukuandikie tu au uende bila risiti. Swali langu ni je, na huko kwenu ipo au ni huku tu, na vipi kuhusu hilo suala...
  7. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Kama kuna muuzaji wa miche humu naomba anisaidie bei za miche hii ya miti

    1: waburgia ugandesis 2: cordia africana 3: Waburgia ugandesis 4: vepris lanceolata 5: indian almond (Terminalia catappa)
  8. C

    JamiiForums Tanzania Naomba MKOPO WA 13M kwa Mtu Binafsi

    Msaada ndugu zangu, naomba mtu binafsi mwenye uwezo wa kunikopesha 13m kaa riba atakayoitaka yeye naomba anisaidie. TUtakopeshana kisheria,mahakama, na taratibu zote tutafata. Nina Shida ya DHARULA naomba msaaada nina DHAMANA kadhaa za mali zisizo hamishika. Naomba msaada Tafadhali. Alie...
  9. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Naomba kumjua Interior Designer wa Ikulu ya Dodoma. Tuambiwe pia alilipwa kiasi na walimtoa wapi kwa vigezo gani?

    Picha za Ikulu ya Nairobi, Kenya. Angalia mazingira, Angalia muonekano wa ndani, angalia mpangilio wa vitu Chini Picha za Ikulu ya Chamwino Dodoma Tanzania Angalia mazingira, angalia mipangilio ya ndani n.k. Ni kama tumepigwa vile No Reforms No Election ✊️ ✌️
  10. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba ufafanuzi zaidi huu mstari unanitia sana mashaka

    1. 1 Samweli 18:1 2. 2 Samweli 1:26 (Baada ya kifo cha Yonathani) awake.”
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba nafasi ya kazi

    Mim ni Kijana wa kiume , mwenye afya njema elimu yangu kidato Cha sita. Naishi dar es salaam kimara. Nimetafuta sana kazi ila nimekosa ,nilikuwa naomba nafasi ya kazi yoyote ile , na nipo tayari kufanya kazi yoyote ile kwenye mazingira yoyote yale
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu ufagaji wa samaki ziwa Victoria

    Kumekuwa na ufugaji mkubwa wa samaki katika Ziwa Victoria. Kwa takwimu nilizo nazo asilimia 80 ya wananchi wanaozunguka Ziwa Victoria kwa sasa wanatumia samaki hawa wa kufugwa kama chakula chao tofauti na hapo zamani. Chakula cha samaki hawa kinatengenezwa na ndugu zetu Wachina. Hatujui...
  13. KusiniKuchele

    JamiiForums Tanzania Naomba mnijuze majina ya Wagombea wa Hanang' Mkoa wa Manyara waliopishwa

    Namsikiliza hapa Makalla lakini naona mtandao umeshake. Kasema wagombea sita lakini nimewasikia wanne tu. Nijuzeni usahihi wa taarifa hii wadau
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa hizi Sura za watu wa video za AI ni Sura halisi?

    Kuna hizi video zina trend Sana mitandaoni zimetengenzwa kwa AI me sio mtalaam Sana wa mambo ya computer ila Niko interested kujua hizi Sura za watu ni kwamba kweli ni Sura za watu zipo kiuhalisia au wame generate automatically kabisa na kwamba katika ulimwengu huu hazipo
  15. Mangi Meno

    JamiiForums Tanzania Tafakuri ya swallat adhuhuri: Naomba Mnisaidie kuyajua Majina ya watoto wa Adam kutoka kwenye quran

    Jioni hii wakati natafakari na kuiskma quran kuna kitu kimenichanganya kidogo na kunipa ukakasi ndio maana nimekuja mbele yenu mnapenda majibu. Vifungu vingi vinasema kuhusi uumbaji mzuri wa Allah kwa namna alivyomuumba Adam mfano: 1. (kumbuka) Mola wako alipowaambia Malaika, “Hakika Mimi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa Kampuni inayotoa huduma ya mortgage hapa nchini

    Naomba kujua huduma ya mortgage hapa nchini Hali ikoje,ni wapi watoa huduma wazuri kwa mtu mwenye uzoefu. Najua JF ni kisima cha Taarifa. Nawasilisha!
  17. Naxria abdalla

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa neno “moyo kulipuka”

    Habari husika na mada apo juu naomba kuuliza mtu akisema moyo kulipuka ndio ana maana gani?
  18. U

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua wasifu kamili CV ya Shehe maarufu nchini Kipozeo

    Amebobea kwenye eneo gani hasa? Karibuni
  19. John kirua

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri ndg zangu

    Habari ndg zangu samahan naomba ushauri nilikuwa kazin shift ya usiku nimeamka asubui nimeona uvimbe kwenye shingo yangu itakuwa ni nn maana leo siku 4 uvimbe unakuja na kupotea baada ya dk unarudi tena?
  20. Farolito

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie wingi wa Maneno haya

    Wakuu, Naomba wingi wa maneno haya; 1.Ulimwengu 2.Uchumi Ahsante
Back
Top Bottom