naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Naomba editor mnisadie kuedit mmuweke huyu jamaa maeneo ya Dubai

    #Challenge
  2. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Watafsiri na wabobezi wa ndoto naomba mniambie hii inamaanisha nini?

    Mara nyingi usiku nikilala huwa sipati kabisa ndoto au nikiota asubuhi nakua nimesahau nilichoota. Ila jana usiku nimeota ndoto ambayo imenitisha na naikumbuka kwa sehemu kubwa, siku nzima nimejaribu kuwa bize ili kuisahau ila imegoma kabisa kutoka kichwani na kuna kitu kinanisukuma niisimulie...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Hivi ni simu gani model ya Samsung galaxy nzuri yenye uwezo wa kupiga picha, kuitumia kama CCTV

    Hivi ni simu gani model ya Samsung galaxy nzuri yenye uwezo wa kupiga picha, kuitumia kama cctv na mambo mengine kama hayo? Bei yake ni she ngapi? Naomba kujua kwa anayeelewa please.
  4. B

    JamiiForums Tanzania NAOMBA KUELEKEZWA

    Wakuu habari...naomba msaada nielekezeni jinsi ya ku Post thread kwa picha au video pia jinsi ya ku save picha kwa account yangu Naomba KUELEKEZWA si kwa ubaya 🙏🏾
  5. PMWAKA

    JamiiForums Tanzania WANASHERIA WA MASUALA YA ARDHI NA NYUMBA NAOMBA MAWAZO YENU YA SUALA HII KESI.

    Wakuu habari zenu. Kuna jambo ningetamani kupata muongozo na ikiwezekana nijipange tupate mwanasheria mzuri wa kesi za kuzurumiwa nyumba, tena aliefanya hichi kitendo ni hakimu mstaafu,na ndio sababu hata hakimu alieamua kesi akafanya maamuzi ya kujuana na kupindisha sheria nyumba akapewa...
  6. Isenye

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusiana na hizi kazi mbili nilizozipata?

    Habari za sahizi waungwana? Naomba mchango wenu wa mawazo. Nimepata ajira mbili kwenye kampuni mbili tofauti. 1.kampuni ya kwanza ni kiwanda cha wachina,kazi inahusiana na professional yangu niliyosomea(uhasibu) mshahara sio mkubwa kivile ni around 1.3m kabla ya makato. 2.kampuni ya pili nayo...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nikiwa kama 'Mtanzania Mganda' naomba Dua zenu leo Watanzania ili Uganda Cranes nayo ifuzu, kwani leo ina Mtihani mkubwa sana Mandela Stadium

    Yaani Timu zote Tatu zina nafasi ya kupita ila iIiyo tu Mtegoni hasa Kimahesabu ni Uganda (Uganda Cranes) mtuombee.
  8. IsDinah

    JamiiForums Tanzania Nitazipata wapi pepeta (rice flakes) nchini? Nipo Mbeya

    Habari wanajamvi, naomba msaada wenu. Natafuta pepeta (rice flakes) kwa ajili ya matumizi ya biashara ya vyakula. Nipo Mbeya lakini niko tayari kuagiza hata kutoka nje ya mkoa kama kuna wauzaji wa jumla au rejareja. Naomba mnisaidie kujua ni wapi naweza kuzipata au hata kama kuna mtu anayeuza...
  9. To yeye

    JamiiForums Tanzania Vipi kama mabaya ya sasa yanafanyika na kundi lililokubalika na Magufuli?

    Mambo ya uongozi nayo ni magumu sana...yaan kumwongoza mtu mzima mwenye akili nyingi kama wewe au kakuzidi ni mtihani na yahitaji ujasiri wa juu sana. Swali ni kwamba,vipi kama mabaya yote yanayofanyika sasa Tanzania hayafanywi na Rais Samia bali yanafanywa na kundi lililokubalika kipindi Cha...
  10. Mtoboa siri

    JamiiForums Tanzania Kwenu Vodacom, mkiwa katika kipindi cha kutimiza miaka 25 tangu muanze kutoa huduma kuna tangazo la zamani naomba mtuonyeshe tena kama kumbukumbu.(TBT

    Habari wadau wa Chitchat Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom inatimiza miaka 25 tangu kuanzishwa kwake nchini Tanzania. Vodacom ilianza kutoa huduma zake rasmi tarehe 16/08/2000 kama kumbukumbu zangu zitakuwa sawa. Wakiwa katika mwaka wa shamrashamra hizo mimi nikiwa kama mteja na mdau wao...
  11. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba kuelekezwa jinsi compound interest ya M wekeza inavyofanya kazi

    Nimewekeza kwenye kampuni ya sanlam ambayo imeungana na Vodacom Na kuita jina M Wekeza Sasa nilitaka kujua pale kwenye hii huduma nikichukua asilimia na pesa zangu ninazoweka Kwa mwaka wananimetea kiasi Fulani ambacho nataka kujua he hicho kiasi ndio kimejumuishwa na compound interest au ni...
  12. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Naomba Tundulissu aachiwe mara moja na bila mashariti yoyote nimeongea mimi na nikiongea huwa sirudii.

    Binafsi Mimi Leo nimetoa angalizo kuwa TAL wamuachie bila mashariti yoyote , akaungane na familia yake haraka. Mimi nafikiri kwa nilivyobarikiwa sifikirii Kama mtakubali nikasirike. Mimi Kama MTU wa haki na Mtumishi ambaye huwa siingiliwi katika mamlaka zangu . Nimesema TAL aachiliwe haraka...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Technically hadi muda huu Usajili wa Simba SC haujanishawishi kukiamini Kikosi changu na naomba niwe wa Kwanza kusema tutaendelea kuwa Wasindikizaji

    Naona ni kama vile tu Simba SC yangu imewekeza zaidi katika kufanya Propaganda na siyo kuwa serious kujenga Timu.
  14. A

    JamiiForums Tanzania habari za mda huo jamani naomba ushauri

    Habari zenu wana jamii forums mimi ni kijana kutoka zanzibar naomba ushauri wenu juu ya biashara ya nyanya kutoa daa kuleta zanzibar na conection maana zanzibar tunapigwa sana
  15. K

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada: Nyumba yetu inakaribia kuuzwa

    Habarini ndugu. Sisi tumezaliwa wa5 ke4 me1 na wote tuna miaka 40+ Baba yetu alifariki 89 aliacha mali chache ikiwemo nyumba iliyopo katikati ya mji, nyumba hiyo baba aliinunua ila aliandika jina la mama kwakuwa alishtakiwa kwa kesi ya uhujumu uchumi hivyo alifanya hivyo ili kuinusuru...
  16. Grau

    JamiiForums Tanzania Nimepata kisonono kizembe sana naomba ushauri

    Ni wiki 3 sasa tangu nimekutana na mwanamke na hii ni baada ya kupima nae kabla na kukuta hana maambukizi, baada ya siku kadhaa nilikutana nae baada ya kumuamini na ndipo nilipo ona usaa kwenye uume wangu, nilienda hospital nikaanzishiwa Ceftriaxone na tabs Ciproflaxin pamoja na Dox. Nimetibiwa...
  17. Now and then

    JamiiForums Tanzania Naomba Serikali itumie hekima kumsaidia Mke Mkubwa wa hayati Job Ndugai

    Kwa kumuangalia tu Mke Mkubwa wa Job Ndugai , unaona kuwa alikuwa akimtegemea mume wake ili kuishi. Ila bahati mbaya Mke mkubwa hatambuliki serikalini. Hivyo kwa umri wake anahitaji kutunzwa, kwa ukaribu kiafaya , kimwili, kiakili na kiroho. Hivyo nawaomba viongozi wa Serikali kuhakikisha...
  18. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Kuna idea ya biashara ninayo wakuu naomba ipokelewe

    Ni imani yangu mnaendelea vyema sana. Kumekuwa na gepu kubwa sana siku hiz kwenye engagement kati ya mada za matumizi ya maarifa ya juu au fikirishi na mada za kuchekesha au kuburudisha. Hili jambo limeenda sambmba kabis na kupungukiwa hamu kwa wanajf wakongwe au wahitaji wa kujiunza au misaada...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Fao la kuacha kazi NSSF naomba ufafanuzi

    Iwapo mtu ameacha kazi na ana michango yake NSSF kwa muda usiopungua miaka minne,je utaratibu wa kupata mafao yake ukoje? Maana nimesoma vigezo vyao vipo vingi lakini kigezo cha kwamba usiwe umeacha kazi badala yake uwe umeachishwa ndipo uombe, naona hiki ni kama kigezo cha kushetani sana. Kwa...
  20. Room 28

    JamiiForums Tanzania NMB naomba mnijibu hii hesabu

    Wakuu, Juzi nimewekewa hela kwene akaunti cha ajabu kwene salio haikuonesha kuongezeka….. Aliyeniwekea nikamwambia mi sijaona akajibu amepewa na risiti nikamwambia uongo huo akarudi kwa wakala ,wakala akasisitiza ameweka….. Ikabidi nichukue statement. Jana nikarequest statement nikakatwa hela...
Back
Top Bottom