naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Una computer /PC huitumii? Naomba niazime kwa mwezi mmoja tu

    God
  2. Trainee

    Naomba elimu hii kutoka RITA

    Nawafanyia watu (natuma) maombi ya vyeti vya kuzaliwa online. Nikiwapa fomu wakienda ofisi za RITA wanapewa cheti lakini huku kwenye mfumo hakuna mabadiliko yoyote yanayoonekana Ni kwa nini?
  3. trojan92

    Nimepangiwa kazi Bunda Town Center, naomba kujua mazingira yakoje!

    Wakuu hongereni na poleni kwa majukumu Kwanza namshukuru Mungu kwa mema yote hadi nimefanikiwa kupata kazi serikalini. Mimi ni mwenyeji wa Mikoa ya Kusini ila kwa sasa nipo Arusha hivyo nitatokea huku kuja Arusha kuja Bunda TC Sasa naomba kujua mazingira yakoje, hali ya hewa,huduma za kijamii...
  4. LESIRIAMU

    Naomba kuuliza

    Hivi hawa walio kuwa wabunge feki kwa mwavuli wa Chadema, nime waona waki chukua fomu za kugombea ubunge kwa chama cha kijani, huku bunge halija vunjwa, hapa pame kaaje? Au ile tume bado ina wabeba??
  5. Kisesetusese

    Nimekuwa nikitafuta wimbo wenye lyrics hii naomba mwenye kuujua

    Ni miaka sasa natafuta huu wimbo sijui bali huu mlio ndio nautambua naomba sana anayejua Ninaamini mtanisaidia. Ni kumbukumb yangu kubwa sana.
  6. Think2

    Msaada naomba kitabu hiki

    Kitabu kinaitwa mobile phone repairing soft copy mwenye nacho naomba
  7. Ambitious Joh

    Nimechoka kuigiza, mara kadhaa nimekua nikiona matumizi ya neno "KOBAZI" kwenye nyuzi mbalimbali humu jamvini. Naomba anaejua anisaidie maana yake

    Wanajamvi kama nilivyotangiliza heading, mara kadhaa nimekua nikikutana na neno KOBAZI kwenye comment mbalimbali humu jamvini, nimejaribu kufuatilia bila mafanikio. Juzi nimeuliza nikaambiwa ni viatu lakini kila nikiangalia uhusiano kati ya viatu na comment za watu jamvini nakua sielewi kabisa...
  8. Carlos The Jackal

    Ndani ya CHADEMA tupo Waumini wa Ufufuo na Uzima, Naomba Chama kitie nguvu kwenye Ibada zetu Kila Jumapili, kama ni mabomu tupigwe pamoja!!

    Niwaalike wanachadema wote Kwa ujumla,na watanzania wote na Wakristo, Kila Jumapili tuwepo , tuungane, tutie nguvu , Tupige kelele, tupaze sauti, Wacha wao watulige mabaomu, watuue, sisi tukusanyike, tufanye Ibada za Amani, tudai haki yetu ya kuabudu, TUIAMBIE DUNIA kua Tanzania Kwa Sasa Kuna...
  9. DR HAYA LAND

    Kuna Taarifa zinasema Chaz Lee amekamatwa naomba uongozi wafatilie hizi taarifa kama ni sahihi.

    Chaz Lee inasemekana amekamatwa . Naomba uongozi wa JF ufatilie hili swala. Sehemu za kufatilia ni kwa Malisa GJ n.k
  10. LIKUD

    Naomba kujua utaratibu wa safari ya treni ya umeme kutoka Dar kwenda Dodoma?

    Wakuu, nataka kwenda Dodoma kwa treni ya umeme. Aliewahi kutumia usafiri huu atujulishe utaratibu tafadhali. Dodoma nitakaa siku moja then nitapita " Singida" Kisha Igunga, ikifuatiwa na Tabora mjini " Chuo cha Uhazili" Then Mwanza jiji Rock City ambako nitakaa kama wiki moja hivi Insha'Allah...
  11. itakiamo

    EP yangu , ENDLESS LOVE , sikiliza Kisha naomba utoe maoni

    Hii ni EP yangu Mimi Itakiamo AKA Dj Tamil nimeifanya kwa Artificial intelligence. Walioimba kwenye hizi nyimbo nitawapa majina ya kufikirika. List ya nyimbo 1. Kila Saa Dj Tamil ft Reygirl 2.Nipende mie Dj Tamil ft CeeMusik 3. Stay with me Dj Tamil ft Robert 4. Wewe ni wangu Dj Tamil ft Suzie...
  12. mimi mtakatifu

    Naomba mnisaidie jinsi ya kupata mtaji, nimekwama sana

    Wakuu nisizunguke sana, naomba mawazo yenu namna naweza kupata mtaji nahitaji Million 5.5 niweze ifanya kama mtaji wa biashara ila sijui naanzia wapi kwa sababu sina assets wala sikopesheki. Naamini nikipata kiasi hiko kitakuwa game changer kwenye maisha yangu. Mimi ni mtu mzima niliye kwenye...
  13. Abdu khalifa rehani

    Naomba msaada nikifungua X (Twitter) inanipa option ya ku verify na nikibofya haikubali?

    HABARI WAKUU NAOMBA MSAADA WA KUFUNGUA TWITTER KILA NIKIFUNGUA INALETA NI VERIFYING ILA NIKIJALIBU HAIKUBALI SHIDA NINI WAKUU HAPO?
  14. J

    Naomba connection ya kazi au internship Arusha

    Habari zenu, Naombeni fursa ya kazi mimi ni mhitimu wa chuo mwaka 2023 nina degree ya Umeme, kwa mwenye connection naomba anisaidie niendelee ujuzi wangu nimezunguka sehemu mbalimbali lakini mpaka sas sijafanikiwa kupata kazi hivyo naombeni msaada wenu
  15. E

    Naomba msaada wa ramani ya nyumba, au mchoraji anakaribishwa

    Ukubwa wa viwanja Kiwanja cha kwanza 20*23- vyumba vya kupangisha, mchanganyiko, single na chumba na sebule Kiwanja cha pili Urefu 31m Upana 17.5m Nyumba moja ya kuishi yenye ghorofa moja Naomba kuwasilisha
  16. Kisesetusese

    Wadau wa Elimu naomba kujua shule nzuri ya wasichana iliyopo Arusha

    Iwe na sifa hizi. -Ada nafuu -Elimu Bora -Isiyo na makuu -Iliyotulia -Watoto wa hali zote -kidato cha 1-6 Nk My take. Hizi shule tunazopeleka watoto zinachangamoto nyingi, ukute shule walimu hawajitumi. Lkn kuna shule walimu wanafanyakaz ya Mungu. Hizi shule zenye walimu wa aina hii kumtumikia...
  17. L

    Tabasamu na Furaha: Picha Ya Wiki Ya Rais Samia na Mama Janeth Magufuli katika Uzinduzi wa Daraja la Kigongo Busisi

    Ndugu zangu Watanzania, Hii ni picha ya wiki kati ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan pamoja na Mama Janeth Magufuli Mke wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Awamu ya Tano Wa Tanzania. Ni picha iliyojaa nyuso za...
  18. Uwesutanzania

    Wanawake poleni sana

    Nimejaribu kuwaza kama ingekuwa sisi wanaume ndio tunatolewa barua na ndio ingekuwa tunatongozwa, Afu ukute ni msichana fulani hivi mrefu si mrefu mfupi si mfupi yaani haeleweki afu ndio anakuja kwenu kuleta barua, Nimejaribu kufikiria ni msichana fulani hivi jirani yetu hapa ambaye kiufupi...
  19. Daby

    Naomba kuelezwa : Iran akimiliki Nuclear Israeli inamhusu nini?

    Labda kuna sheria za kimataifa ndiyo sikatai. Najiuliza tu Iran akimiliki nuclear Israeli inam-bother nini? Je, Israel hana nuclear? Nadhani anayo. Kwanini sasa amemvamia Iran? Yaani mimi ninunue AK47 huyu jirani yangu aanzishe vita? Naomba kueleweshwa na non-mashabiki wa vita.
  20. 4GPA

    Naomba kazi yoyote Mtwara

    Habari zenu wakuu, Nawasilisha maombi kwenu wakuu hali ni mbaya Kielimu nilichonacho bado hakinipi unafuu wa maisha, Naomba mwenye connection ya kazi yoyote mkoani Mtwara iwe kazi ya mikono iwe ya nilichosomea zote napokea, nina umri wa miaka 29 na elimu yangu ni DIPLOMA IN INFORMATION...
Back
Top Bottom