naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Avith almachius

    JamiiForums Tanzania Mnaotaka kuandamana naomba mniambie

    Kwanini mnataka KUANDAMANA? Nasoma comment Kama hujui kaa kimya.
  2. Nanamucho

    JamiiForums Tanzania Kama nimewahi kuwakosea wanaume naomba mnisamehe! Ni kweli mnapaswa kuitwa Wanaume

    Dada yenu,mdogo wenu na last born wenu wa Jamii Forums wa kizazi Cha 2000 ninakuja mbele yenu nikiwa hai hapa Tengeru Arusha,ninamshukuru Mungu kwakuwa siku ya maandamano niliamua tu kulala ndani kwangu,si kwamba naogopa ila sikuwa na Imani kama ndugu zangu Watanzania watajitokeza Kwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa niaba ya mamilioni ya Watanzania, naomba, Familia ya Magufuli itusamehe

    Kwa mengi mema na mazuri aliyofanya katika nchi yetu hii aliyekuwa Rais wetu Magufuli (RIP) ukilinganisha na uchache wa makosa na mapungufu ya kibinadamu, hakusitahili kusemwa na kutukanwa kwa kiwango ambacho wachache walimwandama Kwa niaba ya Watanzania walio wengi, Nachukua nafasi hii kuomba...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki, naomba maombi yenu ya tarehe 9.11 na misaada mtakayoikusanya viwaendee pia waliodhulumiwa Mali zao na kazi zao! Mungu awabariki sana

    Bwana asifiwe! Mmeamrishana kufanya Ibada maalumu jumapili hii ya tarehe 9.11.2025 kwa ajili ya kuwarehemu marehemu waliotokana na fujo za juzi katika uchaguzi mkuu pamoja na kuwaombea uzima majeruhi wote. Aidha, mmewataka watu kupeleka misaada kwenu kwa ajili ya majeruhi. Ni jambo jema...
  5. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama hivyo ndivyo, Binafsi naomba niunganishwe na Niffer pamoja na wenzie kwenye Kesi ya Uhaini!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Mimi binafsi ni mpingaji wa Dhulma,uminyaji wa Haki,mauaji ya raia,Utekaji wa raia kila mahali,UminywaJi wabl Demokrasia pamoja na Upingaji wa ukandamizaji wa Vyombo vya habari zikiwemo Blogs! Binafsi naomba Mamlaka za nchi hii ziniunganishe kwenye Kesi...
  6. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Falsafa ya Samuya ya uchawa naomba aifahamuye anielimishe hapa tafadhali

    Marehemu John Magufuli alikuja na falsa ya hapa kazi na wanyonge. Samuya alikuja na uchawa na kazi iendelee. Je, hii falsafa inamaanisha nini kwako binafsi kama mdau katika taifa lake?
  7. Papizo

    JamiiForums Tanzania Ndoa miaka 11 naomba ushauri

    Ndugu zangu ambao mpo kwenye ndoa naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi yangu mwenyewe. Nipo kwenye hii ndoa kwa miaka 11 ila mwanamke ambaye nilikutana nae alikuwa na mtoto tayari ila naomba niseme alikuwa mwenyewe na mtoto wa miaka 2 mwanaume wake alimkimbia, sasa baada ya hapo mwanaume...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wana JF naomba tusireply wala kujiengage na threads zozote za machawa

    Ndugu zangu wazalendo wa nchi hii, poleni na msiba mzito kwa kuondokewa na ndugu zetu waliouawa kinyama wakiwa wanapigania taifa lao. Baada ya huo utangulizi naomba tuzipuuzie nyuzi zote za machawa wanaokejeli na kudhihaki damu za ndugu zetu zilizomwagwa kwa kupambania rasilimali zetu. Hawa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kwako Rais Samia: Tafadhali naomba utathmini mpango wa kupeleka vijana wa form six jeshini (JKT) na uufute

    Mheshimiwa Rais, ninatambua mpango huu ULIKUWA na nia nzuri, nia thabiti na njema ya kuwapeleka vijana wetu jkt kwa mujibu wa SHERIA na huko wamefunzwa ukakamavu na uzalendo kwa nchi yao. Mheshimiwa Rais natambua pia serikali inawapeleka vijana kule ikiwa ni njia mojawapo ya kujilinda na kuwa...
  10. canular

    JamiiForums Tanzania Watanganyika wote wazalendo, naomba tuishitaki Serikali ya CCM katika mahakama ya ICC tumia link hii

    Kulingana na mauwaji ya watanganyika yalio fanywa na serikali ya ccm ninaomba watanzania wazalendo wote tufungue mashitaka katika mahaka ya ICC link yao ni https://otplink.icc-cpi.int/ Tuma email ya kushitaki uuwaji wa watanganyika uliofanyika unao fanyika mpaka sasa tuma email yako weka na...
  11. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Je, uchawi upo au ni uzushi tu?

    Wadau naombeni mnijuze maana siamini kama hiki kitu kipo nasikia tu stori kwa watu sijawahi kuthibitisha he ni kweli au ni stori tu?
  12. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Naomba mnifundishe kutumia mtandao wa X'

    Yaani nikitaka kuposti maneno au ukurasa mzima nafanyaje . Maana hata kwa kuandika naona kama kuna mwisho wa tarakim fulani hata nifanyeje haiendelea hata kupost labda maneno nimekopi kama ni ukurasa fulani haikubali je !hua mnafanyaje msaada hapa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba mnisaidie app za mikopo mtandaoni

    App Gani ya mikopo ipo play store naweza kupata hela ya kula Leo nikanunulia familia yangu mama pamoja na wadogo zangu chakula Sina shughuri yoyote ya kuniingizia kipato, nategemea kibarua, Mara ya mwisho kupata kazi nilitwa sehemu kuchinja kuku walikuwa wanaumwa nikapata angalau na mboga...
  14. Desierto

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza swali. Je? Raia wa mitandaoni wanaishi wapi?

    Nauliza hivii kwa sababu serikali imewapuuza kabisa je? Mitandao kwenye nchi yetu inatumiwa na raia wasioipenda serikali Yao? Kwenye hii habari comment asilimia 99% ni hawajaunga mkono kilichoongelewa Je? raia wa mitandaoni ni wanaishi ndani ya simu au?
  15. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Naomba tuwaite members wa JF ambao sasa hivi wanatamba kule TikTok

    Ni dhahiri kwamba baada ya JF kupigwa ban members wengi wamekimbilia kwenye mitandao mingine. Natumai kuwa membaz wengine wako Facebook, X (Twitter), na Instagram hiyo siyo shida sana. Shida ni kwamba members wengine sasa hivi wako TikTok wakifanya challenge ya Ngoma za akina Zuchu na Nandi...
  16. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Naomba mtu anaejua tofauti ya google na chrome

    Binafsi sijajua tofauti yake maana naonaga zote kama ni sawa maana ukiingia goole unapata na ukiingia crome unapata. Je, kuna tofauti nyingine?
  17. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa utaratibu wa kufungua duka la dawa muhimu za binadamu

    Habari, za wakati huu wana Jf, Mimi kijana mwenzenu mpambanaji nimekuja hapa kuomba kufahamishwa utaratibu wa kufungua duka la dawa muhimu za binadamu (DLDM). Kitaalamu mimi ni afisa muuguzi II, mahali nilipo nimeona fursa ya kufungua duka la dawa muhimu ila tatizo sielewi utaratibu ukoje...
  18. ngara23

    JamiiForums Tanzania Watanzania naomba kwa sasa tumpuuze Polepole, ni mhuni tu

    Kuna maswali mengi kuhusu Polepole na nafasi yake katika siasa za Tanzania, hususan baada ya taarifa kuhusu Captain Tesha kuibuka na kupata umaarufu mkubwa. Polepole ameonekana kuzingatia siasa za kivuli, na hatua zake zimekuwa zikichochea mashaka kuhusu nia yake halisi na ajenda anazozitetea...
  19. blackstarline

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Mobile Wallet ni nini na inafanya kazi namna gani?

    Mabosi wangu wanataka kunilipa pesa ila nimeambiwa wataniwekea kwenye mobile wallet kwa mjuzi hii imekaaje?
  20. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Nataka Niwashitaki CRDB - Nimetoa fedha ATM hazijatoka naomba ushauri

    Juzi 1/10/2025 nilitoa fedha kwenye ATM, hata hivyo pamoja na fedha kutoka kwenye AC yangu fedha hiyo haijatoka kwenye mashine. Fedha hiyo nilitakiwa kulimlipa mdeni amabaye ananida, pamoja na jitihada za kuwasiliana na Branchi husika na kupiga simu kitengo hiduma kwa wateja bado fedha hiyo...
Back
Top Bottom