Ndio maana una penda kwenda barbershop za huko!Sinza yote..
Nini shida bibie 🦅
Nilienda moja hivi, saloon wamejaa wanawake kuliko wanaume. Nikaingia. Nafika kuna viti vitatu vya kunyolea vyote vina wateja. Wakanielekeza pahala pa kukaa nasubiri zamu.Ndio maana una penda kwenda barbershop za huko!
Halafu kuna mwanamke yupo zake akidhani mume wake yuko busy na kazi, kumbe ndio kazi yenyewe hii!Malegends, Naombeni list nina kazi nayo personally.
Nime cheka kishenzi, eti yesu ni mwokozi.Nilienda moja hivi, saloon wamejaa wanawake kuliko wanaume. Nikaingia. Nafika kuna viti vitatu vya kunyolea vyote vina wateja. Wakanielekeza pahala pa kukaa nasubiri zamu.
Nimekaa nashika simu, kaja mdada anaanza nivua viatu eti wanisafishe miguu. Nikakausha kama mweyeji. Viatu vikatolewa, sox zikavuliwa vikaenda anikwa nje.
Ikaja kama beseni, sabuni ya maji na dodoki laini me nikaanza safishwa miguu. Nimetulia tulii.
Baadae nikanyolewa. Namaliza mdada ananiambia twende nikakuoshe. Kule nikavuliwa shati. Nguo ikawekwa pembeni. Akauliza unaosha na scrub nikasema ndioo. Nikaanza suguliwa uso na shingo. Raha sana. Saana.
Mwisho nikapewa namba for massage anakufuata ulipo. Sema nilifuta.
Ilikuja bili nikasema Yesu ni Mwokozi.
Yesu ni mwokozi 🌝🌝🌝🌝Nilienda moja hivi, saloon wamejaa wanawake kuliko wanaume. Nikaingia. Nafika kuna viti vitatu vya kunyolea vyote vina wateja. Wakanielekeza pahala pa kukaa nasubiri zamu.
Nimekaa nashika simu, kaja mdada anaanza nivua viatu eti wanisafishe miguu. Nikakausha kama mweyeji. Viatu vikatolewa, sox zikavuliwa vikaenda anikwa nje.
Ikaja kama beseni, sabuni ya maji na dodoki laini me nikaanza safishwa miguu. Nimetulia tulii.
Baadae nikanyolewa. Namaliza mdada ananiambia twende nikakuoshe. Kule nikavuliwa shati. Nguo ikawekwa pembeni. Akauliza unaosha na scrub nikasema ndioo. Nikaanza suguliwa uso na shingo. Raha sana. Saana.
Mwisho nikapewa namba for massage anakufuata ulipo. Sema nilifuta.
Ilikuja bili nikasema Yesu ni Mwokozi.
Napita tu mkuuNini shida bibie 🦅
Kwani ni vibaya kwenda kufanya massage.Halafu kuna mwanamke yupo zake akidhani mume wake yuko busy na kazi, kumbe ndio kazi yenyewe hii!