naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuhusu historia ya mwamba Kunta Kinte

    Mwenye kufahamu vyema historia ya mwafrika mwenzetu anayetajwa kama mtumwa jeuri naomba atujuze hapa jamvini. Nawasilisha. ===== KUNTA KINTE NA SIMULIZI YA UTUMWA WAKE HUKO AMERIKA KUNTA KINTE alikuwa muhusika Katika Riwaya ya "Roots" ya mwaka 1976 mtunzi wake akiwa ni Alex Haley...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya mzunguko wa hedhi husababishwa na nini?

    Mabadiliko ya mzunguko wa hedhi husababishwa na nini. Je, ni kweli husababishwa kutokushika mimba? Naomba tiba yake
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Nina safari ya kuelekea Marekani, nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu

    Ndugu zangu wana JF, Nina plan kuwa na safari ya kwenda Marekani (New York) by November mwaka huu ni safari ya kawaida tu just tour kwa wiki moja, lakini ndio itakuwa safari yangu ya kwanza kutoka nje ya Tanzania ukitoa Kenya. So nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu kidogo juu ya...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kufundishwa kuandika barua ya uchumba

    Naomba mmoja anisaidie barua ya uchumba inaandikwaje kwa watu wa Ruvuma tafadhali ama yeyote anaejua
  5. JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga: Peter Magoti ni nani huko CCM?

    Huyu mtu aliyepiga picha na Dkt. Magufuli ana cheo gani ndani ya CCM?
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu safari ya Dar kwenda Dodoma kwa pikipiki

    Habari za leo wakuu, Ninafikiria kati ya njia mbili za kusafiri, aidha kwa pikipiki au kuisafirisha chombo yangu used kwa malori ya mizigo. Kwa wale wenye uzoefu na route hii kwa pikipiki mnaweza kunipa muongozo wa sehemu za kupumzika, kufanya service nikiwa njiani, muda wa safari kwa...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Naomba kama kuna mtu aliwahi fanya Interview Elim Tech Foundation kada ya Research and Statistics

    Habari zenu wakuu kama mada inavyojieleza apo juu naomba msaada nataka kujua maswali yao na vitu vingine navoweza kitana nayo hii ndio interview yangu ya kwanza. Nimetumiwa text message nimeambiw nijibu yes or no km ntakua available j3, kingine anasema inaweza kuwa physically au through Zoom...
  8. JamiiForums Tanzania Hawa watu wana majukumu gani?

    Naomba kufahamishwa tofauti kati ya majukumu ya Transportation manager na Tracking Officer kwenye kampuni za usafirishaji mizigo.
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia anakuza utalii wetu kupitia 'The Royal Tour’

    Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameanza kurekodi kipindi maarufu cha 'The Royal Tour' kwa lengo la kuitangaza Tanzania kwenye Sekta ya Utalii, Biashara na Uwekezaji. Faida ya Mhe. Rais kurekodi Kipindi cha 'The Royal Tour' ● Kipindi kitarushwa kwenye Mabara na Nchi Kubwa kama...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba nafasi ya kujitolea Mimi ni clinical officer🙏

    Natanguliza shukrani za dhati kwa wanajukwaa Mimi ni mhitimu wa clinical medicine mwaka 2021 Naomba nafasi ya kujitolea kwenye dispensary au kituo Cha afya popote inchini kikubwa tu nipate Malazi na chakula🙏 Nipo shinyanga Mawasiliano 0746532392
  11. JamiiForums Tanzania Naomba anayejua hii mitaa ,ottawa Street

    Habari zenu wadau, Naomba mtu anayeishi Abbeyhill ,ottawa Street nchini Canada, nina shida moja hapa Natambua humu kuna watu mbalimbali na maeneo mbalimbali
  12. JamiiForums Tanzania Naomba msaada niweze kupata kazi🙏🙏

    Jaman watu wa Mungu naombeni msaada wenu tafadhal mtaa unazidi kuwa wa moto naombeni mnisaidie nipo tayari kufanya kazi yoyote,mahari popote na kwa ujira wwt ili mradi mkono upate kwenda kinywani Naombeni msaada wenu tafadhal ndugu zang naamin kupitia jukwaa hili naweza kupata msaada NATANGULIZA...
  13. L

    JamiiForums Tanzania naomba msaada wa kujuzwa kama kwa matokeo haya kuna uwezekano wowote wa kusoma bachelor degree yoyote

    habari za wakati huu kila mmoja,ndugu zangu naomba kujuzwa hivi kwa matokeo haya EED ya PCB respectively na D ya BAM(basic applied mathematics) kuna uwezekano wowote wa kusoma bachelor degree yoyote tuu ile?! na kama upo huo uwezekano je ni vyuo vipi na kozi zenyewe ni zipi?! msaada tafadhali...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya ku-confirm chuo

    Samahan wakuu, Ningependa kujua unawezaj ku-confirm kuwa unaenda chuo fulani kama umechaguliwa zaid ya chuo kimoja.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Naweza kuomba kozi nyingine endapo sijathibitisha kozi niliyochaguliwa awali?

    Kwa mfano mtu ameshakuwa selected kwenye multiple universities lakini haja-confirm bado, je huyo mtu ana possibility ya kuchaguliwa tena chuo kingine iwapo aki-apply second selection?
  16. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Computer Science

    Habari wana Jamiiforum, Poleni na majukumu. Mimi ni mhitimu wa shahada ya Computer Science mwaka jana, jinsia ni mwanaume, naishi Ilala- Dar es salaam, nafanya shughuli za Web Development. Nimekuja mbele zenu kuomba msaada hapa nilipo hali yangu siyo nzuri kifedha na Computer ambayo naitumia...
  17. JamiiForums Tanzania Nani anayehusika kupeleka takwimu za maambukizi ya COVID-19 Africa CDC?

    Kwa mujibu wa taarifa zilizopo Africa CDC inaonekana mpaka tarehe 19 August 2021 Tanzania ina visa 16,970 vya maambukizi ya virusi vya corona na vifo 50.Pia WHO inaonyesha kuna visa 1,367 na vifo 50. Je, hizi taarifa ni rasmi ? Kuna makosa yaliyofanyika au ni hujuma ? Kuna umuhimu wa jambo...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Ukiugua ugonjwa ambao hauna tiba na ukapona, je inahitaji kupatiwa chanjo?

    Tumeona kati ya watu 200 million walioambukizwa na kuugua ugonjwa wa COVID-19, ni watu milioni 4 tu wamekufa. Ina maana zaidi ya million 190 wamepona bila kuwa na na specific treatment ya ugonjwa wa UVIKO-19. Ni kwamba miili ya wagonjwa hawa iliweza kujitengenezea specific antibodies against...
  19. JamiiForums Tanzania NAOMBA MSAADA WADAU.

    Wakuu habar za weekend.Naomba kujua ni aina gani ya APP itanisaidia kucheza games.Maana nikidowload Game haionekan hata kwenye sim ila inaonekana nmeinstall tu ila sioni ilipo. Pia naomba kujua APP gani nzuri kwa kudowload nyimbo ambazo zimezuiliwa kupakuliwa. La mwisho naomba kujua APP gani...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Je, hizi fedha anazotoa Mhe. Rais zinatoka kwenye fungu gani?

    Leo nimeshuhudia kupitia luninga Mhe. Waziri Mkuu akihabarisha umma wa Watanzania kuwa Mhe. Rais ameridhia kutoa Tshs.300 billioni kwaajili ya ujenzi wa majengo ya Wizara mbalimbali pale Dodoma ikiwa ni pamoja na Ikulu. Sasa swali langu:- Bunge lina utaratibu wa kujadili bajeti na kuipitisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…