Naomba kufundishwa kuandika barua ya uchumba

Naomba mmoja anisaidie barua ya uchumba inaandikwaje kwa watu wa ruvuma tafadhali ama yeyote anaejua
Kaulize mila za huyo unayetaka kumuoa zinasemaje kuhusu suala hilo. Bila shaka wapo wazee na wajuzi wa mambo watakaokusaidia. Waulize hata wazazi wako.
 
Barua ya karatasi ilikuwa zamani . Eti unaandika kujieleza utafikiri unatongoza wazazi. Barua ni kiasi cha pesa kwenye bahasha

Mpe pesa binti ikitegemea uwezo wako ila isizidi 100,000 ampelekee mama yake huku akimueleza kuwa amepata mchumba anataka kuja kujitambulisha. Mama ataenda kuongea na baba watampa muongozo binti wa kufuata ikiwemo siku ya mshenga kwenda rasmi . Mshenga akienda haendi na chochote na stori inaanzia kwenye ujumbe wa pesa uliatangulia kama walipata na mhusika wa ule ujumbe ni yeye.

Au unatuma mshenga moja kwa moja kwa mara ya kwanza na hicho kiasi cha pesa kwenye bahasha ila binti akiwa amewataarifu kuwa amepata mchumba na kuna mgeni atakuja siku yoteyote wamtarajie. Ingawa hii mara nyingi huleta wasiwasi kama mtatokea kweli. Njia ya kwanza hutoa uhakika kuwa kuna mtu wanamtarajia.
 
Barua kwenda ukweni ya posa
Hiyo ni kazi ya mshenga wala isikuumize kichwa lakini kama mshenga wako hajui model hii hapa

Anuani yako

Yah: OMBI LA POSA

Husika na somo hapo juu
Mimi mshenga....... Kwa mamlaka na idhini niliyopewa na familia ya ....... Naleta posa kwenu kwa ajili ya kijana wetu ndugu...... Ambaye ana nia ya kumchumbia binti yenu....
Naamini ombi letu litapokelewa vema...
Wenu mshenga

.........jina
.......sahihi
.......tarehe

MWISHO

Barua itawekwa kwenye bahasha ndogo nyeupe na juu yake itaandikwa BARUA YA POSA.. ndani yake kutakuwa na barua husika na kiasi chochote cha pesa kulingana na uwezo
Barua husika itafungwa kwenye hanjifu nyeupe

Je unataka na utaratibu wa kukabidhi barua?
 
Wen u mshenga

.........jina
.......sahihi
.......tare he

Hahahaha brother mshana upo vzr, inabidi kwenye harusi yangu uwe mshenga uhakika najua sitamkosa mtoto wa kiarabu yule
 
Barua ya karatasi ilikuwa zamani . Eti unaandika kujieleza utafikiri unatongoza wazazi. Barua ni kiasi cha pesa kwenye bahasha

Mpe pesa binti ikitegemea uwezo wako ila isizidi 100,000 ampelekee mama yake huku akimueleza kuwa amepata mchumba anataka kuja kujitambulisha. Mama ataenda kuongea na baba watampa muongozo binti wa kufuata ikiwemo siku ya mshenga kwenda rasmi . Mshenga akienda haendi na chochote na stori inaanzia kwenye ujumbe wa pesa uliatangulia kama walipata na mhusika wa ule ujumbe ni yeye.

Au unatuma mshenga moja kwa moja kwa mara ya kwanza na hicho kiasi cha pesa kwenye bahasha ila binti akiwa amewataarifu kuwa amepata mchumba na kuna mgeni atakuja siku yoteyote wamtarajie. Ingawa hii mara nyingi huleta wasiwasi kama mtatokea kweli. Njia ya kwanza hutoa uhakika kuwa kuna mtu wanamtarajia.
Ila muda mwingine kuna upepo mabaya unapita wazazi na mtoto wanakukataaa kabisa wazi wazi, kwamba ujumbe wa maneno hujafika
 
Barua ya karatasi ilikuwa zamani . Eti unaandika kujieleza utafikiri unatongoza wazazi. Barua ni kiasi cha pesa kwenye bahasha

Mpe pesa binti ikitegemea uwezo wako ila isizidi 100,000 ampelekee mama yake huku akimueleza kuwa amepata mchumba anataka kuja kujitambulisha. Mama ataenda kuongea na baba watampa muongozo binti wa kufuata ikiwemo siku ya mshenga kwenda rasmi . Mshenga akienda haendi na chochote na stori inaanzia kwenye ujumbe wa pesa uliatangulia kama walipata na mhusika wa ule ujumbe ni yeye.

Au unatuma mshenga moja kwa moja kwa mara ya kwanza na hicho kiasi cha pesa kwenye bahasha ila binti akiwa amewataarifu kuwa amepata mchumba na kuna mgeni atakuja siku yoteyote wamtarajie. Ingawa hii mara nyingi huleta wasiwasi kama mtatokea kweli. Njia ya kwanza hutoa uhakika kuwa kuna mtu wanamtarajia.
Ahaaa asanti
 
Ndio kaka
Hiyo ni kazi ya mshenga wala isikuumize kichwa lakini kama mshenga wako hajui model hii hapa
Anuani yako

Yah: OMBI LA POSA

Husika na somo hapo juu
Mimi mshenga....... Kwa mamlaka na idhini niliyopewa na familia ya ....... Naleta posa kwenu kwa ajili ya kijana wetu ndugu...... Ambaye ana nia ya kumchumbia binti yenu....
Naamini ombi letu litapokelewa vema...
Wen u mshenga

.........jina
.......sahihi
.......tare he

MWISHO

Barua itawekwa kwenye bahasha ndogo nyeupe na juu yake itaandikwa BARUA YA POSA.. ndani yake kutakuwa na barua husika na kiasi chochote cha pesa kulingana na uwezo
Barua husika itafungwa kwenye hanjifu nyeupe

Je unataka na utaratibu wa kukabidhi barua?
 
Wanata
Barua ya karatasi ilikuwa zamani . Eti unaandika kujieleza utafikiri unatongoza wazazi. Barua ni kiasi cha pesa kwenye bahasha

Mpe pesa binti ikitegemea uwezo wako ila isizidi 100,000 ampelekee mama yake huku akimueleza kuwa amepata mchumba anataka kuja kujitambulisha. Mama ataenda kuongea na baba watampa muongozo binti wa kufuata ikiwemo siku ya mshenga kwenda rasmi . Mshenga akienda haendi na chochote na stori inaanzia kwenye ujumbe wa pesa uliatangulia kama walipata na mhusika wa ule ujumbe ni yeye.

Au unatuma mshenga moja kwa moja kwa mara ya kwanza na hicho kiasi cha pesa kwenye bahasha ila binti akiwa amewataarifu kuwa amepata mchumba na kuna mgeni atakuja siku yoteyote wamtarajie. Ingawa hii mara nyingi huleta wasiwasi kama mtatokea kweli. Njia ya kwanza hutoa uhakika kuwa kuna mtu wanamtarajia.
Ka ivyl napolwenda
 
Back
Top Bottom