nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Tufunge mjadala: Mobhare Matinyi vs Salim Kikeke nani alistahili kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali?

    Nauliza, kati ya Mobhare Matinyi(Mwanafamilia Mwandamizi wa Kipanga House aliyewiva hata mara kadhaa jina lake kufikishwa mezani kwenye Mamlaka za Uteuzi ateuliwe kuwa DG wa Jumba lile). na Ndg. Salim Kikeke (with due respect, Mshereheshaji na Chawa Mkuu wa Makolo FC kwa sasa) nani alipaswa...
  2. JamiiForums Tanzania Nani anamkumbuka mtoto wa Bob Marley, Arusha?

    Kulikuwa na mama mmoja Arusha aliyezaa na Bob Marley.....Mara kwa mara alionekana ofisi za ESAMI .....sijui kama bado yupo chuga au aliondoka mara ya mwisho tulikuwa nae hapo ESAMI katika sikukuu za Christmas mwaka 1983. Kama wafahamu tujuze tafadhali.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nani Kasema John Boko ameisha!

    Kapten Fantastic John Raphael Boko! Leo amezidi kuwa prove wrong haters wake. Pamoja na dharau nyingi dhidi ya Ake bado Boko anaweza kucheza Champions League. Hakana Kocha mwenye akili Timamu anayeweza kumpuuza Boko. Haters toeni povu ..Boko katuvusha!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nani alikuwa mkali wa gita kati ya hawa?

    Eti nani alikuwa mpiga gitaa bora zaidi kati ya hawa watatu 1. Lokasa ya mbongo 2. Dally Kimoko 3. Diblo Dibala Japo kuna watu kama Nene Tchakou
  5. M

    JamiiForums Tanzania Juzi Mama akiapisha wateule umeme haukukatwa, leo Maulidi umekatwa

    Ninafikiri lengo lilikuwa kuhakikisha hotuba ya Rais inasikilizwa na kuwafikia wananchi wengi. Mtazamo wangu ninaona hata kwa siku ya leo hawa watawala + tanesco wangefanya uungwani kuwaachia umeme wananchia hasa masikini wasiokuwa na uwezo wa kununua solar na generator. Na kwa kufanya hivyo...
  6. JamiiForums Tanzania Picha ya Aziz K na Skudu Makudubela

    Picha ya aziz k na skudu makudubela Mpiga picha ni huyo alipiga goti kapiga picha kalii sana yaani picha imetoka fresh kama imepigwa marekani
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nani anaumia (Unapokutwa / Unapokuta) na usiemjua

    Mbali ya ile kufumania/kufumaniwa. Inatokea paap unamkuta mupenzi wako yupo na mwengine na wana furaha na mazungumzo yalionoga ila unapotokea wanajaribu kukuchangamkia na kukujumuisha kwenye mazungumzo na mada ambayo huijui inaonekana kuendelea. Hapa kitu kinaitwa wivu kinapotea ila roho...
  8. JamiiForums Tanzania Nani mkali wa nyuzi zinazokujenga kimaisha humu jF?

    Nawasalimu Kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania? Kama kichwa kinavyoeleza. Nani humu ni mkali wa nyuzi zilizokusaidia kimaisha Kati ya hawa? 1. Mshana Jr 2. Pascal Mayalla 3. Robert Heriel Mtibeli 4. Deeppond 5. GENTAMYCINE Unaweza kuelezea Uzi au Jambo ambalo amekujenga.
  9. JamiiForums Tanzania Kwa nini umeme unakatika kila muda au serikali mnataka kuuza majenereta?

    Kwa nini umeme unakatika kila muda au serikali mnataka kuuza majenereta nini chanzo cha kukatika umeme maana wananchi tunateseka sana mboga zetu zinachacha kwenye mafriji sisi wafanya biashara wa vinywaji tunapata shida sana skuizi
  10. JamiiForums Tanzania Xavier ni nani?

    JAMAA amekuwa maarufu karibu dunia nzima kwa memes zake zenye kufurahisha. Who is this person?
  11. JamiiForums Tanzania Kosa la nani? Nani achukue hatua?

    Karibu wote tunajua kwamba huu ni uongo. Lakini ni wachache sana wanaojua kwa uhakika uongo huu ni nini, unafanyaje kazi na hawa watu wanapataje faida. Ni kama vile ''ile pesa tuma kwa namba hii'' Wengi wanajua kabisa ule ni uongo, ila ni wachache sana ambao hata wanaelewa wale wahuni huwa...
  12. JamiiForums Tanzania Wadada kati ya huyu nani utakubali akuoe ukimpata

    Mada mumeona kwa roho nyeupe nani akikutamkia ndoa unakubali akuoe, ??. 1. Mhindi 2. Mzungu 3. Muafrika Mie kwangu naangalia upendo na mzungu kama nikiambiwa anioe nakubali tu . Ila muafrika nimemchoka hata wahindi hawana msimamo. Je nyie mkiwa mmepata hao watu 3 utamchagua nani akuoe...
  13. JamiiForums Tanzania Kama huyu mzee anapata mashaka na CCM, mimi na wewe ni nani mpaka tuwaelewe?

    Habari JF, katika pita pita zangu nimekutana na hii clip, mzee anaongea kwa uchungu katika mkusanyiko wa kijiji. Kaenda mbali mpaka kuuliza kwamba Tanzania hii wanaojua kusoma na kuandika ni CCM peke yao tu. Kama anavyoongea ni kweli, sisi ni nani tusiwe na mashaka na hiki Chama?
  14. JamiiForums Tanzania Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

    Msanii Ruby ambae siku ya Leo ameenda live Instagram ameonesha kuchukizwa na kutoa ya moyoni dhidi ya Boss wa EFM na ETV anayefahamika kama Fransic Siza a.k.a Majizzo au Majay. Msanii huyo wa kizazi kipya ametoa kauli ya kutakwa kimapenzi na Boss huyo ambae kwa sasa ameoa mke "Elizabeth...
  15. JamiiForums Tanzania Kama Biblia ni kitabu cha kutungwa, nani alikitunga na chanzo na kusudio lake ni nini?

    Kuna dhana kwamba Biblia imejaa hadithi za kutungwa. Wasemaji wa utungaji huo wa hadithi za Biblia ni wale wapinzani wa yaliyomo hasa dhana na nadharia kwamba kuna MUNGU. Lakini utungaji wa Biblia ulianza lini? Hadithi za Biblia zilitungwa na kina nani na jee majina yao yanajulikana? Watunzi...
  16. JamiiForums Tanzania Tuliosoma Somo la Uraia, nani anakumbuka ‘definition’ ya Demokrasia?

    Leo ni Siku ya Demokrasia Duniani, wakati nasomasoma mitandaoni pia nimeona uzi flani huku JF ukiwa na maelezo meengi kuhusu Demokrasia. Bila kujali kama Nchi yetu tuna maana halisi ya matumizi ya neno hilo, tujikumbushe masomo ya Uraia na Civics, nani anakumbuka definition ya neno Democracy...
  17. JamiiForums Tanzania Nani yuko Nyuma ya hizi taasisi za kumsemea Rais. Je, zinaendeshwa kwa ufadhili wa fedha za nani? Na Nini hasa makusudio Yake?

    Nawasalimia kwa Jina la JMT, Naomba kudeclare interest kwamba Mimi ni Mzalendo halisi na sijawahi hata kufikiria kupoteza hati yangu ya uzalendo. Ila sasa nimeanza kupata mashaka juu ya uibukaji Wa Taasisi Nyingi zinazojinasibu kuwa Asasi ya kizalendo zinazomtetea Mama. Kifupi ni kwamba...
  18. JamiiForums Tanzania Kila limsemo likitoa we unalo. Sasa unamwambia nani habari za Maokoto?

    We ni mtu mzima, huu ujinga wa kudandiadandia mambo unatoa wapi? Kila msemo unauvalia njuga. Kipindi wanasema wahenga ulikomaa kishenzi na huo msemo. Nakumbuka ukaja kukomaa na "Injinia soma hiyooooo" hadi ukawa kero kuu. Mara ukaja na Chap kwa haraka, ukaenda na mzee baba. Kuna mingine umepita...
  19. P

    JamiiForums Tanzania TANESCO inawajibika kwa nani?

    Ni miaka sasa bado tunasumbuliwa na ukosefu wa umeme wa uhakika. Tatizo hili likekuwa sugu. Mamlaka husika imekaa kimya utadhani swala hili haliwahusu. Kuna fahari gani kwa wafanyakazi wa TANESCO kwenda ofisini/kazini kila siku, kupata mshahara kila mwezi na wakati kutoa huduma imekuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Nani Kati ya hawa mkali zaidi na nani sio mkali kabisa?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…