Wadada kati ya huyu nani utakubali akuoe ukimpata

WhatsApp Image 2023-09-17 at 2.10.59 PM.jpeg
 
Mada mumeona kwa roho nyeupe nani akikutamkia ndoa unakubali akuoe, ??.
1. Mhindi
2. Mzungu
3. Muafrika

Mie kwangu naangalia upendo na mzungu kama nikiambiwa anioe nakubali tu . Ila muafrika nimemchoka hata wahindi hawana msimamo.

Je nyie mkiwa mmepata hao watu 3 utamchagua nani akuoe JamiiForums
Hakuna cha kuchoka muafrika wala nini, waafrika tumejua wadada ni matapeli na ndoa ni wizi wizi tuu.

Sasa mkaolewe huko .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom