Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,861
Msanii Ruby ambae siku ya Leo ameenda live Instagram ameonesha kuchukizwa na kutoa ya moyoni dhidi ya Boss wa EFM na ETV anayefahamika kama Fransic Siza a.k.a Majizzo au Majay.

Msanii huyo wa kizazi kipya ametoa kauli ya kutakwa kimapenzi na Boss huyo ambae kwa sasa ameoa mke "Elizabeth Michael".

Kitu ambacho kimeshangaza wengi kwa namna ambayo majizo amekuwa akionekana mbele za umma, kumbe nyuma ya pazia amekuwa akiwaomba rushwa ya ngono ili awapatie support.

Dakika 17 za Mapovu yote ya Rubby.

 
Mimi Binafsi imenishangaza kuona Boss ananyimwa mzigo. Siku zote tumekuwa tukiamini ukiwa na pesa. Unapatiwa Mzigo fresh, ila kwa Majizzo nimeona pesa si kila kitu. Kuna mabinti ambao bado wanajielewa
 
Ila kuna jambo halipo sawa kwa huyu Ruby.

Nahisi huwa ana namna ya kuaminisha wanaume wanaomzunguka kuwa anataka kupigwa dudu halafu akiombwa papuchi anabadilika.

Haingii akilini kila siku ni yeye tu anaeombwa uchi huku akidai hataki kuutoa.

Huyu demu ana mdomo mno mpaka kuathiri kipaji chake. Kila anaekuwa karibu nae kumsaidia huishia kumsemea mbovu.
 
Haka kaRubby kenyewe kutwa kugombana na wamiliki wa Media.

Alianza kukorofishana na Ruge na sasa Majizo.

Ila napenda sana spirit yake ya kutonyenyekea pale anapoona kuna njama za kumlaghai na kumkandamiza.

Bahati mbaya sana Bongo, usipotoa kitu hupati kitu.
 
Ila kuna jambo halipo sawa kwa huyu Ruby.

Nahisi huwa ana namna ya kuaminisha wanaume wanaomzunguka kuwa anataka kupigwa dudu halafu akiombwa papuchi anabadilika...
Ila kiuhalisia inawezekana Majizzo alitaka mzigo. Maana hawa Mabosi wengi wa mjini ufahari wao ni kuwagonga hawa mabinti... Ruge mwenyewe amewagonga sana, Nandy mwenyewe tu kachezea sana rungu la Ruge mpaka akataka kuolewa
 
Yeye msanii atoe hit song aache visingizio

Management ya Ruby haijui biashara ya muziki.. wanamuachia Ruby afanye kila kitu ndio hayo yanatokea.. hit song hakuna wanabaki wanalalamika lalamika

Zama za social media mziki mzuri unatembea wenyewe.

Wasanii wa kike mara nyingi hawawezi kuandika nyimbo.. Ruby alipaswa awe na waandishi wazuri wa kiume wamwandikie.

Nandy ana bahati anaandikiwa na Billnass, Zuchu ana bahati anaandikiwa chini ya usimamizi wa lebo yake WCB.

Ruby alipaswa awe ananunua hata collabo za hits song za wasanii wengine ili kukuza brand

Tiwa savage msanii mkubwa ila amelipia collabo ili awekwe kwenye who is your guy.. sabab wanajua hits song ndizo roho za msanii kupiga pesa

Diamond anawalipa wacongo na kuwekwa kwenye collabo za hit songs zao sababu anajua hilo

Mario msanii mkubwa ila lonely alindikiwa yeye akairudia tu kila kitu..ili wapate hit song ya kutangaza album yake..

Ruby hana hit song tena zaidi ya huyu na yule aliyoandikiwa na kina barnaba na jay melody kipindi yupo THT na Ruge... toka ameondoka THT ruby siku hizi anaimba upuuzi halafu anasema anabaniwa..
 
Mbona ni demu wa kawaida sana.

Binafsi namchukulia powah

Akiwa wa kawaida ndo asiombwe utelezi? vichaa wenyewe wanaombwa utelezi.

Halafu kila mtu anatype zake anazopenda mimi haka nakaomba vizuri tuu nakakubali, pia jide na lina yule wa zamani.

Ruby anahoja asikilizwe kama ni kweli majizo akemewe rushwa hasa ya ngono inadidimiza taifa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom