nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, Hamas wanasaidiwa katika hii vita dhidi ya Israel?

    Wakuu naamini muko buheri wa afya, pole kwa ambao wanapitia changamoto ya afya na Mungu awaponye. Naombeni wanajukwaa munijibu swali langu kuhusu vita kati ya Hamas na jeshi la Serikali ya Israel. Nitashukuru iwapo jibu/majibu yataepuka yale maneno na misamiati ya "Wazee wa Makobazi"...
  2. JamiiForums Tanzania Siku aliyozaliwa Yesu bado Kitendawili

    Yesu wa Nazareth WANAZUONI wengi duniani, bado wanaumiza vichwa kuhusu tarehe sahihi aliyozaliwa Yesu Kristo, ambaye ni Nabii wa Wakristo. Miaka nenda rudi, vitabu vingi vimeandikwa na makundi ya wanazuoni wa dini na historia kuanzia Mashariki ya Kati, Amerika, Ulaya, Afrika na bado hadi leo...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ewe Mkristo, nani alikwambia kukusanyika kila Jumapili kwa ajili ya Ibada?

    Salam, Shalom!! Ni Kweli, Yesu alituagiza kuwa "Tusiache kukusanyika" wapi alisema tukusanyike Jumapili kama siku kuu ya IBADA badala ya Jumamosi iliyovyokuwa awali? Ibada na kutafakari neno la Mungu ni muda wote, mchana na usiku, Na Ibada Takatifu ni Ile ifanyikayo katika Roho na Kweli...
  4. JamiiForums Tanzania Nusu ya watu wa Gaza wanakufa kwa njaa na kiu.Nchi za kiarabu zinasubiri ruhusa ya nani kuwaokoa ?

    Katibu mkuu wa umoja wa mataifa na mashirika mengine ya misaada wamekuwa ni wenye huruma zaidi kwa kutoa tahadhari ya vifo vinavyoendelea Gaza kutokana na njaa na kiu. Huruma zao zimekuwa ni kinyume na majriani na ndugu wa karibu wa wapalestina ambao wamepakana nao na ambao wanaangalia...
  5. JamiiForums Tanzania Waliopigania uhuru wa Tanganyika Walipigana na nani?

    Hi Great thinkers. Nafikiri kuna jambo haliko sawa hasa tunaposema tulipigania uhuru. Tulipigana na nani.? Mi navojua ule ulikuwa ni mchakato wa kupata uhuru wa Tanganyika, Na hakuna mtu aliyegoma kutupatia uhuru eti hadi tuanze kupigania. Ni bora isemwe tu kwamba walioongoza harakati za...
  6. JamiiForums Tanzania Wayahudi na wasabato wanaendelea kuabudu sabato ya Jumamosi ambayo hata Yesu aliiabudu, ni nani aliibadili iwe Jumapili

    AMRI YA NNE: Ikumbuke siku ya Sabato uitakase, Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako Tusiingie sana kwenye hizi dini na sheria zao bali tuzungumzie siku ya kuabudu. Siku ya Jumamosi ndio iliyotengwa kuwa ya kisabato tangu zamani kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi Watu huwaga ni kina nani haswa? Je, katika maisha haya ili ushinde lazima uungane na watu? Nini tofauti kati ya binadamu na watu?

    Uzoefu unaonyesha kwamba kundi la " watu" ndio lenye nguvu zaidi hapa duniani.. Je " watu" ni kina nani haswa? A. MTAZAMO WA KIROHO: Ukimuuliza mwanasayansi kwanini Mungu alimuumba kwanza Adam then akamuumba Hawa? unaweza kupata jibu kwamba lengo la Mungu lilikuwa ni kumuumba Hawa. Why...
  8. JamiiForums Tanzania Nimesikia Chongolo amejiuzulu. Katibu Mkuu mpya ni nani?

    Baada ya kukosa thread nzuri ya kusoma,nimeamua kuandika thread yangu. Kwa hiyo Katibu Mkuu mpya ameshachaguliwa au bado mtutano unaendelea? Nampongeza Rais Samia kwa jinsi alivyoweza kuleta amani katika nchi. Naona mabadiliko yanaendelea ndani ya CCM. Jana nimepita Mererani nimekiona Kijiji...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nani kaiona chupa ikiwa kwenye makalio? Daktari kathibitisha? Wanasiasa kuweni makini na hila za mitandaoni

    1. Kuna mdada aliandaliwa kumchafua DC Simalenga. Ustadi mkubwa ulitumika kufunika jicho na shavu la huyo mdada kwa bandeji iliyopakwa tomato sauce . Media uchwara zikategesha kamera mbele ya mdada na kurekodi shutuma kali dhidi ya DC kwamba amemnasa kibao kilichopelekea jicho na shavu...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Je, nani alikuwa au yupo nyuma ya "projec 41"?

    Wakuu ,heshima mbele. Niende moja kwa moja kwenye mada itakayokuwa na maswali kadhaa. Je nani hasa alikua akifadhili ofisi /kazi za 41 . Maana ofisi /kazi hii ilihitaji gharama kubwa je pesa zilitoka wapi? Kuendesha hii ofisi /kazi kwa saa 24 kila siku kwa mwaka zaidi ya mmoja bila kujua...
  11. JamiiForums Tanzania Aibu hii ya waandishi wetu tumlaumu nani?

    Ukweli tunatia aibu. nadhani sekta ya habari inahusika na jambo hili. Sikiliza swali la mwandishi wa valor kwa kocha wa Al-Ahly. https://www.youtube.com/watch?v=oN9GvVQGckg
  12. JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Baada ya mipango mizuri iliyotengenezwa kumuangusha Gekul na Chongolo, nani anafuata? Kuna wengine wanakuja!

    Kupitia X (zamani Twitter), Anaandika Hamisi Kigwangalla, Mbunge wa Nzega Vijijini Hivi baada ya a very carefully planned and executed mission ya kumuangusha Mhe. Gekul na Ndg. Chongolo, unaweza ku-guess anayefuata ni nani? Competitive intelligence imejikita kwenye kujua kitakachotokea kabla...
  13. JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma ya kampeni ya kumchafua Chongolo?

    “Wana CCM hatuaminiani ndio maana ukiacha glass ya maji ukatoka nje ukirudi huwezi kuinywa” - Jakaya Mrisho Kikwete wa Msoga. Nimeanza kumnukuu aliyepata kuwa mwenyekiti wa ccm, Mzee Kikwete kuhusu hali ya kutoaminiana baina ya wanachama wa chama hiko. Huko katika mtandao wa X zamani twitter...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Benki ya DCB ina mrengo wa kisiasa! huu unyonyaji wanaoufanya kwenye mikopo ya waalimu ni maelekezo ya nani tumjue?

    Hii ni benki chini ya JIJI LA DAR ES SALAAM, ni benki ya siku nyingi ila tabia zake haziendani na matakwa ya RAIS SAMIA kuwapunguzia mzigo wafanyakazi wanaokopa kujikwamua kiuchumi! Benki hii ndio yenye riba KUBWA 19% wakati benki zingine zina 16% kushuka chin mpaka 11% Ukiwaambia wakupunguzie...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Jukumu la kufanya usafi kwenye mazingira ya shule ni la nani?

    Wakuu, Nani ana jukumu la kuweka mazingira ya shule safi? Ni walimu, wanafunzi au watu maalum wa kufanya usafi? Shule hasa za serikali wanafunzi ndio huwa wanakuwa na jukumu la kufanya usafi kwenye mazingira ya shule kwa kufagia uwanja, ofisi za walimu, kusafisha vyoo na hata wakipewa adhabu...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Nani anatoa fedha za miradi, Rais au Serikali kutokana na bajeti yake?

    Mara nyingi nimewasikia viongozi mba;i mbali mfano Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa wilaya, Wakurugenzi Watendaji na wengine wengi wakisema tunamshukuru Mhe. Rais kwa kutoa mabilioni kadhaa katika mradi fulani. Naomba mnielemishe. Je, ni Mhe. Rais ndiye anayetoa fedha za miradi yote kutoka...
  17. JamiiForums Tanzania Nani mwenye jukumu la kulipa hela ya kunyonya maji ya choo endapo kitajaa kati ya mwenye nyumba na mpangaji

    Kwema wakuu nataka nilianzishe hapa maana mtu unalipa kodi kila baada ya miezi 6 halafu choo kimejaa, mwenye nyumba hakai hapa lakini je ni nani mwenye jukumu la kulipa wakati sio mwenye nyumba ndo anaestahili kulipa hyo pesa kama shilingi 80,000. Inakuaje wapangaji tupigishwe mchango wa elfu...
  18. JamiiForums Tanzania Ikitokea umepata Mtoto/Watoto kwenye mahusiano yako, Kati yako na Mwenzio nani atawafundisha Hesabu?

    Suala la kuwa Mzazi linakuja na mambo mengi sana, ikiwemo kuwajibika kwa Watoto, Kuwasaidia Kazi za Shule na kila kitu, sasa kwa unavyoona Mahusiano yenu hapo, nani atakuwa msaidizi wa Home Work za Hesabu kwa Watoto/Mtoto wenu? Au wote mtakuwa mnakimbia na kuwambia Watoto wamalizane kila kitu...
  19. JamiiForums Tanzania Palestine na mifano ya chuki za kidini

    Ukizungumza jambo kama Muislamu, asiyemuislamu anakuweka daraja gani katika kukusikiliza? Je, anakusikiliza kwa kuwa anaamini unaweza mpa kitu ambacho anaweza faidika nacho au anakusikiliza tu ili umalize kuzungumza yeye ana mawazo yake kuhusu hayo unayozungumza. Mara nyingi ukiwa Muislamu...
  20. JamiiForums Tanzania Maisha ya mateka 70 kwa kusitisha vita siku 5. Nini faida na hasara ya utekelezwaji wake?

    Wapiganaji wa kikosi cha kijeshi cha Hamas cha Alqassam wamerudia mara nyingi katika wiki kwamba wako tayari kuachia mateka 70 inaowashikilia kwa sharti kwamba vita visitishwe kwa siku tano tu na kuruhusu misaada kuwafikia watu wa maeneo ya Gaza. Kwa maelezo ya waandishi wa habari viongozi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…