namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kuacha kazi ili upate stahiki zako zote

    Kwa sekta binafsi dogo ni mgonjwa. Yupo sick leave karibu two months sasa na anasema hataki tena kufanya kazi anataka apumzike kwa muda. Mnaozijua sheria tuambieni afanyaje ili achukue stahiki kama gratuity, pesa ya mizigo nk
  2. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi sana wanajiuza, ila namna ya kufanya biashara ndio imetofautiana

    Kujiuza ni kutoa penzi kwa malipo. Haijalishi unakuitaje, kufanga, kuchuna, gold digging n.k kote ni kujiuza. 1. Jane Mkenya ni mfanyabiashara mkubwa, mwenye pesa ya uhakika. Pamoja na pesa zake zote anatoka kwa kamishina wa mapato ili apate msamaha na upendeleo wa makadirio ya kodi. 2. Asha...
  3. JamiiForums Tanzania USSR/ Urusi wana legacy gani Afrika?

    USSR na Urusi ya leo wana legacy gani Afrika? Nimeona juzi kati kuwa wakati mambo yamemfika kooni, Patrice Lumumba aliomba msaada USSR kuweka nchi sawa. Nchi ikatulia. Bahati mbaya akapinduliwa na Mobutu akawatimua wa Soviets. Hapa karibuni, waasi na wababe wa kivita walijaa karibu CAR yote...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Namna Walimu na Wanafunzi wanavyoweza kujiweka salama dhidi ya Covid-19 katika mazingira ya shuleni

    Wanafunzi na Walimu wanapaswa kupata elimu ya kina kuhusu chanzo, dalili, athari na namna ya kujilinda na #coronavirus. Walimu wajisimamie na wawasimamie Wanafunzi katika kuchukua tahadhari zote za kujilinda kama vile kusimamia usafi mikono kwa wanafunzi, kudhibiti miosongamano na kuzuia...
  5. JamiiForums Tanzania Taarifa kutoka TRA kuhusu kubadilisha umiliki wa chombo cha moto

    Wakuu Someni Hii Taarifa Kutoka Mamlaka Ya Mapato Tanzania (TRA) ===== October 8, 2021 by Global Publishers MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kumekuwepo na changamoto kubwa ya baadhi ya watu wanakuwa wamesajili vyombo vya moto lakini usajili wao ni batili, hawajasajiliwa na TRA ambapo...
  6. JamiiForums Tanzania Wakuu msaada wa namna ya kusafirisha parcel kisangani congo

    Rejea kichwa hapo juu. Kuna mzigo au parcel inatakiwa ifike kisangani kutokea Dsm. Wataalam na wadau wa road naombeni msaada.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Namna gani mtumishi wa umma anaweza kuhama idara moja hadi nyingine?

    Nataka kupata msaada ni namna gani mtumishi wa umma anaweza kuhama idara moja anayofanyia kazi hadi idara nyingine? Mfano mtumishi wa Idara ya mahakama kuhamia idara ya ardhi. Au ardhi kuhamia mahakama. Msaada kwenye tuta.
  8. JamiiForums Tanzania Uchawi 101: Madini kutoka kwa magenius wa Quora na namna ya kuudhibiti

    Naandika kwa jinsi nilivoelewa baada ya kusoma comment za watu wa Quora kuhusu dhana nzima ya uchawi, ulozi, na laana. Ki ufupi kabisa, wadau wamezungumzia uchawi kama aina fulani ya nguvu ' energy' kama ilivo energy nyingine unazozifahamu kama nishati ya jua, umeme n.k. Na wamezungumzia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Utopolo huna namna! Usiyempenda kaja!!

    Usiyempenda kaja!! Utopolo huna jinsi, inabidi ukubali tu simba gari kubwa!! Likiwaka gari zote zilizotangulia zinakuwa kama baiskeli za miti.
  10. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Sababu za watu kuwa walevi wa Pombe, namna ya kuachana na tabia hiyo na faida za kutokunywa Pombe?

    Utangulizi: Ulevi wa pombe limekuwa ni janga linaloitafuna sana jamii yetu kutokana na kusababisha matatizo mengine mengi zaidi ikiwemo umaskini, migogoro kwenye ndoa, ugomvi na hata mauwaji, watu kufukuzwa kazi , matatizo ya kiafya na mengineyo mengi. Pamoja na matatizo yote hayo lakini bado...
  11. F

    JamiiForums Tanzania SoC01 Namna ya kufanikisha mapinduzi ya kilimo kuelekea 2025

    Nyanja: Kilimo Andiko hili linapendekeza kwmb ili kuleta mapinduzi makubwa ya sekta ya kilimo yatayoendana na muda waDira ya Taifa 2025; sekta ambayo ndiyo uti wa mgongo wa uchumi ambao kw mantiki hiyo basi Dira hiyo inaitegemea ili kuliingiza taifa ktk pato la kati-la-juu. Kimsingi ni ukweli...
  12. JamiiForums Tanzania Tazama namna watoto wa shule walivyobananishwa kwenye hili gari

  13. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Namna Bora na Endelevu ya Kutatua Tatizo la Mrundikano wa Machinga Katika Maeneo Yasiyo Rasmi kwa Biashara

    Utguanlizi: Machinga ni jina maarufu wanaloitwa wafanya biashara ndogondogo wa mijini na vijijini kote nchini. Wafanyabiashara wa kundi hili wanatabia ya kuhamahama kutembea huku na kule kutafuta maeneo wanayoona wanapata wateja wengi wanaowaungisha bidhaa zao. Utamaduni huu wa kuhamisha...
  14. JamiiForums Tanzania Namna "nzuri" ya kuficha ushahidi

    Tuseme unataka kujitajirisha Ukasema kuwa bangi ni nzuri kwa afya kwenye kijiji chenye watu 300 Kisha ukawagawia watu 50 bangi yako. Lakini baada ya miezi michache watu 42 wakaanza kumwaga mate kama mazezeta. Wale ambao hukuwapa bangi watasema, “Mnaona, bangi ni mbaya sana. Hakuna hata mtu mmoja...
  15. JamiiForums Tanzania Namna ya kuanza biashara na mtaji mdogo

    Watu wengi wamekuwa wakitamani kuanza biashara lakini wanafikiri namna ya kuanza kwani mtaji wao ni mdogo sana. Usiogope; kuwa na mtaji mdogo au kutokuwa nao kabisa sio mwisho wako wa kutimiza malengo yako. “Usilie juu ya kile ambacho huna; tumia vizuri kile ulichonacho.” Zipo mbinu mbalimbali...
  16. JamiiForums Tanzania Namna ulimwengu unavyodanganywa

    Data hazidanganyi, watu ndio wanadanganya Tena mchana kweupe. JImbo la Uttar Pradesh nchini India lina watu takribani 240 milioni. Asilimia 5.8 tu ya watu wote wamepata dozi kamili Marekani ina watu takribani milioni 330. Asilimia 54 ya watu wote wamepata dozi kamili - yaani zaidi ya nusu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kuna kidada cheupe pale TANESCO Mbezi Beach Afrikana nani anakipa jeuri namna ile?

    Kama mwezi hivi umepita! Baada ya kusikia bei ya umeme imeshuka, Nilimtuma mdogo wangu kuomba umeme pale afrikana Tanesco! Kwasababu nyumba ile anaishi mdogo wangu, hivyo nikamwambia aingize umeme kwa jina lake! Dogo alipofika pale ili kuchukua fomu, Alikikuta kidada cheupe hivi kina nywele...
  18. JamiiForums Tanzania SoC01 Maumivu ni chanzo cha mafanikio yako

    Katika maisha kuna changamoto nyingi sana ambazo zinakuja katika maisha ya mwanadamu ili kukupa uwezo kamili wa kusonga mbele ili kuzifikia ndoto zako Lakini kuna wakati ambao changamoto hizi hufikia hatua ya kukupa maumivu makali sana pale ambapo unaona zinasababishwa na watu wa karibu ambao...
  19. JamiiForums Tanzania CCM haiwezi anguka kirahisi, ina kila namna ya kuwa-reward makada wake

    Habari wakuu. Baada ya kusoma kiarticle fulani, nimeona kitu hiki. Tawala nyingi huanguka kutokea ndani. Si kitu rahisi watu kutoka nje kuangusha utawala ambao upo established. Mfano ni Rais wa Misri Mubarak, alianguka baada ya majenerali kuacha kumuunga mkono. Mambo yanayoweza sababisha watu...
  20. JamiiForums Tanzania SoC01 Namna ya kukabiliana na changamoto za maisha ya kila siku kwa Viziwi

    Utangulizi Uziwi ni hali ya upotevu wa usikivu. Hali hii hutokana na sababu mbalimbali kama vile magonjwa,ajali,uziwi wa kuzaliwa nao,kuishi sehemu yenye baridi sana na uchafu wa masikio. Kwa nchi ya ulimwengu wa tatu kama Tanzania Viziwi na walemavu kwa ujumla ni watu waliosahaulika. Ni watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…