namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephen Wassira wewe siyo wa kumsema/ kumbagaza Kikwete namna hii. Umesahau Fadhila?

    Maana yake kikwete alikidhoofisha chama? Maana yake Rais aliyekuwepo madarakani na mwenyekiti alikifanya chama kiwe dhaifu mpaka kukosa mvuto? Wewe leo hii ni wa kumbagaza kikwete? Kuonesha kuwa alikuwa dhaifu? Ni nani alisababisha hiki chama kushinda mwaka 2015? Pamoja na udhaifu wake? Ni nani?
  2. Sikujua kama Urusi Ina nguvu namna hii.

    Marekani peke yake,ama NATO ama Marekani na washirika wake,kwa nyakati tofauti wamekuwa wakipeleka majeshi kwenda kufanya kile wanachokiita kuisaidia kuziokoa nchi zilizo ama vamiwa ama kuongozwa na watu wao waliowaita madikteta. Kwa mara ya kwanza toka nimeijua Marekani na hata NATO.naposema...
  3. Prof. Kitila Mkumbo ataka bajeti ieleze namna inavyoshughulikia mfumuko wa bei

    Mbunge wa Ubungo akichangia katika bunge la Bajeti leo amesema ongezeko la bei linaloendelea mtaani sio la kawaida. Amesema ongezeko lililopo sio makosa ya serikali hata hivyo ni muhimu kwa serikali kuchukua hatua za dharura kudhibiti ongezeko hilo Ameshauri wizara ya fedha kuja na hatua rasmi...
  4. B

    RUSHWA: Kijana aliyekuwa akiwalaghai na kuwatapeli Maofisa wa Jeshi la Polisi kwa ahadi za ajira akamatwa

    Afande pokea taarifa kuhusiana na mahojiano yaliyofanyika leo Tarehe 04/04/2022 baada ya kukamatwa kwa mtuhumiwa wa makosa ya utapeli David Damas Otieno @ MAJOR GENERAL MRAI miaka 39, kabila mjaruo, kazi mkulima, dini mkristo mkazi wa Dar es salaamu ambaye amekamatwa leo Tarehe 04/04/ 2022...
  5. Mohammed Shabiby: Namna ya kupunguza bei za mafuta kwa 50% ya bei za sasa

    Shabiby atoa mwarobaini kupanda bei mafuta MBUNGE wa Gairo Mohammed Shabib ameitaka Serikali kuruhusu kampuni binafsi kuagiza mafuta wenyewe bila kutumia uagizaji wa pamoja. Shabiby ametoa ushauri huo leo Jumatano tarehe 6 2022 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Ofisi...
  6. Namna ya kuepuka gharama kwenye mahusiano

    Mahusiano kwa upande wa mwanaume yana gharama sana. Kama hutokuwa makini, hutofanya kitu cha maana katika maisha yako. Utajikuta kila siku, wewe ni mtu wa kutoa hela tu. Ukija kupiga mahesabu, kwa fedha ulizozitumia kwa mwezi mzima katika mahusiano, inazidi kipato chako. Na hii imepelekea...
  7. Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Daktari Profesa Janabi ana hofu na nini hadi awe na ulinzi mkubwa namna ile?

    Nimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao. Kuonana na Profesa Janabi ambaye ni Mkuu wa Taasisi ya Moyo Muhimbili - Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) kwa siku hizi lazima uchunguzwe kwanza na kwa masharti lukuki na kama hutokidhi matakwa...
  8. Ni namna gani vita vya RUSSIA na UKRAINE vimeathiri utalii?

    Tumejionea athari za kiuchumi hususani kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Swali langu ni Je sekta ya utalii Tanzania imeathirika au inatarajiwa kuathirika vipi katika kipindi hiki? Ni kwa namna gani tunaweza kukabili mtikisiko huo?
  9. Msaada: Namna ya ku-withdraw pesa kutoka kwa broker kwa njia rahisi kwenye biashara ya Forex

    Jamani habari zenu wadau? Mimi nimeweza kutengeneza faida kwenye hii biashara lakini naona kuna Namna ntafeli wakati wa kuwithdraw. Najua mtaniambia kuwa kwa nini sikuwaza hilo kabla ya kuanza? Naombeni Masada. Magwiji wa kuwithdraw/kutoa pesa kutoka kwenye account zao za forex hadi Benki/...
  10. Namna ya Kukuza Mtoto anayependa kusoma

    Kama wazazi, tunapenda kuona watoto wetu wakijifunza mambo mapya. Si ajabu kumuona mama akimuuliza mtoto maswali huku akijua mtoto atatoa jibu la kufurahisha. Zifuatazo ni baadhi ya mbinu ambazo zinaweza kukusaidia kukuza mtoto anayependa kusoma. Panga kusoma na mtoto wako iwe ratiba ya kila...
  11. NAMNA YA KUBADILISHA LUGHA KWEBYE DASHBORD YA PREMIO

    Samahani wakuu nawezaje kubadili lugha kwenye dshbord ya premio?? nimeambatanisha picha ya ninachomaanisha kwa msaada zaidi
  12. T

    Mwanamke wa namna hii hakufai asilani na wala Usipoteze muda wako juu yake

    Ahlan wa sahlan Kuna wanawake wa aina nyingi hapa duniani.Kuna baadhi ya tabia zao zikianza kujionesha katika mahusiano yenu jua kuwa taa nyekundu imeshawaka na yakupasa ushtuke na usepe mapema. Mwanamke ambae hakusalimii wala kukujulia hali wala kukutakia usiku mwema mpaka umuanze wewe jua...
  13. Namna za 4 Simba kufuzu robo fainali

    HALI ILIVYO ASEC 9 BERKANE 7 SIMBA 7 USGN 5 SIMBA IKISHINDA NA BERKANE AKISHINDA ASEC 9 BERKANE 10 SIMBA 10 USGN 5 SIMBA IKISHINDA BERKANE AKAFUNGWA ASEC 12 BERKANE 7 SIMBA 10 USGN 5 SIMBA AIKITOA SARE BERKANE AKIFUNGWA ASEC 12 BERKANE 7 SIMBA 8 USGN 6 SIMBA IKISHINDA BERKANE AKITOA...
  14. Namna elimu ya 'Balagha' inavyoingiza watu wengi kwenye Uislam

    Balagha ni elimu ya maneno au Hotuba inayoathiri, na kumsogeza mtu kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine. Ili kuielewa vyema, hebu turudi nyuma na tuangalie jinsi tunavyowasiliana, Tuna mawazo au hisia ndani yetu, tunaita ''Maana katika nafsi'' Ili kueleza mawazo au hisia hizo, tunatumia...
  15. Hivi kuna namna yeyote ile 7 - 1 jibu likawa 5? Tusaidiane mawazo

    Je, kuna any possible scenario ambapo 7 - 1 outcome ikawa ni 5? Kweli hakuna kabisa uwezekano?
  16. E

    Namna ya kupata fridge za TBL

    Kama kuna mtu anajua procedures za kufuata ili kupewa fridge za bia kama Safari n.k na TBL naomba anijuze tafadhari?
  17. Sahili za vitendo (practical) kada network administrator wanatoa maswali ya namna gani?

    Habari Nimeitwa kwenye practical ya utumishi kada network administrator, ningependa kupata hints jinsi namna maswali yanavyotoka na ni part ipi nijiandae vizuri.
  18. Namna nilivyonusurika kufa kwenye ajali ya gari, Bongo unakufa huku unajiona

    Kwema wadau? Mwaka huu mwanzoni nikiwa nimetoka kusheherekea sikukuu ya mwaka mpya na nikiwa nimefanya maombi ya mipango yangu mingi kwa mwaka huu na kumsihi sana Mungu wangu aliye hai anijalie afya, uhai, furaha na amani tu mengine nayaweza hayanisumbui kabisa, basi sikuwa najua siku chache...
  19. Msaada vitabu vya Mathias E. Mnyampala, tutalipana namna hii

    Mnyampala ni moja ya waandishi wa mwanzo mwanzo kabisa Tanzania. Nisaidie vitabu vyake vitatu. Kama unavyo viscan halafu nitumie. Kila kitabu 10,000. 1. Diwani ya Mnyampala 2. Kisa cha mrina asali na wenzake wawili. 3. Historia, mila na desturi za wagogo wa Tanganyika.
  20. Nikiamka namna hii aisee siku huenda vizuri sana

    Bila shaka mu bukher wa Afya wana Jf. Mi binafsi namshukuru Mungu kwa afya njema Mi napenda sana nikiamka basi simu yangu iwe Full Charge.. Iwe na Bando la Kutosha (Dakika na Gb) Mtandao uwe na kasi basi siku yangu huenda vizuri sana maana 80% ya utafutaji wangu upo online.. Muwe na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…