Siri imevuja namna Marekani alivyoionya Urusi kuhusu matumizi ya nyuklia Ukraine

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,756
48,401
Kwamba siku akitumia nyuklia ndio atakutana na anachokitafuta. Wazimu mwenye haraka ya kubonyeza vitufe vya nyuklia, hataruhusiwa dunia hii.

======

1664002628947.png
The U.S. has privately been warning the Kremlin for months of consequences if they use a nuclear weapon in their conflict with Ukraine, according to officials.

Anonymous officials told The Washington Post that the White House has publicly been purposefully vague about what those consequences would be in an attempt to build concern among Russian leaders, a method of nuclear deterrence called “trategic ambiguity.”

President Biden underlined his opposition to Russian President Vladimir Putin’s threat to use nuclear weapons in an interview with CBS’s “60 minutes” on Sunday, where he warned the Russian leader not to “change the face of war.”

“Don’t. Don’t. Don’t. You will change the face of war unlike anything since World War II,” Biden said when host Scott Pelley asked for a message to Putin concerning weapons of mass destruction.

Biden added that the U.S. response to Russian use of nuclear weapons would depend on “the extent of what they do.”

MSN
 
Russia atatumiaje nyuklia kisha yeye abaki salama? Yeye kama akiona maji yamezidi unga basi aachane na vita vyake vya kipumbavu.

Alifikiri ana nguvu anaweza akapigana vita ila sasa amegundua hana hizo nguvu na matokeo yake ndio fikra ya kutumia nyuklia inamuijia kwa sababu hana namna.
 
Kwanini hajaionya iache vita?
ina maana USA ananufaika na hii kitu?
US ashajua kitambo kwa vita inavyopiganwa Ukrean ataendelea kuiua Urusi pole pole mpaka kufikia Putin kuokota makopo, hichi hasa ndicho wanachokitaka US, ingawa Marekani wanao uwezo kuisambaratisha russia within lakini inaonekana Marekani hataki aonekane moja kwa moja kwamba amelisulubu taifa la Russia na kibaya zaidi ni kwamba Mrusi ashashtuka huu mpango lakini hana njia ya kutoka, lazima aendeleze mapambano aonekane adhima yake hakushindwa njiani, Putin anawaza katika akili yake kwamba akitisha kupiga nuclear dunia itasimama kumshambulia ni hicho tu ingawa hawezi kupiga nuclear. wataalamu wake washamuambia tumekosea namna ya kukabiliana na Ukrean lakini pia West, tumeshafeli kitambo.

Alitegemea sana Putin kuungwa mkono ni China fully, Iran na North Korea lakini ni vile kila aliae anashika kichwa chake, wamemtelekeza
 
US ashajua kitambo kwa vita inavyopiganwa Ukrean ataendelea kuiua Urusi pole pole
Wakati wa uchaguzi wa Hillary dhidi ya Donald, nilisema Donald ataiua US taratibu lakini Hillary ataiua haraka sana. Sasa ninaanza kuamini kuwa adui wa Wamarekani ni chama Cha democrat. Wamemuweka Joe madarakani naye anaelekea kuiua US haraka zaidi ya nilivyokuwa nimebashiri wakati ule wa Hillary dhidi ya Donald.
 
Kuna watu humu wanaongea utadhani ndio wapanga mikakati wa marekani au Urusi.

Mambo haypo kama wengi wanavyofikiria na ingekuwa hivyo leo hii tungeona kama alivyofanya Nancy Pelosi alikuwa anaenda China.

Fire power aliyonayo mrusi ni kubwa aidha kuizidi US au at per. Ndio maana always US hata maneno anayosema dhidi ya Urusi anachagua.

Tuongee simba na yanga labda tunazo taarifa sahihi zaidi kuliko haya ya Urusi na marekani
 
Kwanini hajaionya iache vita?
ina maana USA ananufaika na hii kitu?

Hukulijua hilo, amenufaika pakubwa kwanza kafaulu kudhihirishia ulimwengu kwamba Urusi ni hovyo kwenye medani na kisilaha, pili silaha zake Marekani zimepata soko balaa, leo hii kiwanda cha HIMARS hapakaliki, waarabu watazinunua sana maana wao huwa hawakawii kupigana kwa mizuka ya kidini.
 
Russia atatumiaje nyuklia kisha yeye abaki salama? Yeye kama akiona maji yamezidi unga basi aachane na vita vyake vya kipumbavu.

Alifikiri ana nguvu anaweza akapigana vita ila sasa amegundua hana hizo nguvu na matokeo yake ndio fikra ya kutumia nyuklia inamuijia kwa sababu hana namna.
Naona mnavyo lishana pumba tu.

Mtu yeyote anaye fikiria kuwa Marekani yupo tiyari kupigana vita vya kinyukilia na Urusi kwa sababu ya Ukraine kama sio kichaa basi akili yake imejaa mihemko ya kipuuzi.

Yaan Urusi idondoshe atomic Kiev na kuiangamiza alafu Marekani ajibu kwa kudondosha atomic kwenye jiji la sochi au Moscow haaa kama una fikira za namna hiyo basi kuanzia sasa jitambue kuwa kichwa chako kina tatizo kubwa sana.

Iwapo Urusi ikiamuwa kutumia silaha za nyukilia dhidi ya Ukraine hakuna kitu Marekani ataweza fanya zaidi ya kubweka na kulaani , narudia Tena Marekani hawezi thubutu kufanya upuuzi wa aina hiyo.

Ila taadhari kwa Urusi ikifanya hivyo ijiandae kulipa gharama kubwa kisiasa na kidpromasia.
 
Wakati wa uchaguzi wa Hillary dhidi ya Donald, nilisema Hillary ataiua US taratibu lakini Hillary ataiua haraka sana. Sasa ninaanza kuamini kuwa adui wa Wamarekani ni chama Cha democrat. Wamemuweka Joe madarakani naye anaelekea kuiua US haraka zaidi ya nilivyokuwa nimebashiri wakati ule wa Hillary dhidi ya Donald.
Hivi Mfumo wa nchi kubwa kama US unaruhusu mtu mmoja kuwa na maamuzi juu ya nchi? Au raisi anakua mwakilishi tu wa maamuzi ya wafanya maamuzi akiwemo yeye?
 
Hukulijua hilo, amenufaika pakubwa kwanza kafaulu kudhihirishia ulimwengu kwamba Urusi ni hovyo kwenye medani na kisilaha, pili silaha zake Marekani zimepata soko balaa, leo hii kiwanda cha HIMARS hapakaliki, waarabu watazinunua sana maana wao huwa hawakawii kupigana kwa mizuka ya kidini.
Mbona huongelei silaha za kimarekani zilizo shindwa vibaya sana na silaha za kiiran kwenye medani ya kivita huko Yemen na Syria?
 
Tactical threats!

Huyo Putin wenu ndiye hutoa vitisho vya nyuklia hadharani, ila imebidi aambiwe kisiri kwamba ruksa anayo ya kubweka kuhusu hayo madude, ila asijichanganye hata siku moja abonyeze maana ndio Urusi itafutika.
Putin kwa kweli hadi namhurumia, kaanzisha ugomvi ambao haukua na tija, leo hii anakusanya wanywa gongo za vodka mtaani wakapigane...
 
Kuna watu humu wanaongea utadhani ndio wapanga mikakati wa marekani au Urusi.

Mambo haypo kama wengi wanavyofikiria na ingekuwa hivyo leo hii tungeona kama alivyofanya Nancy Pelosi alikuwa anaenda China.

Fire power aliyonayo mrusi ni kubwa aidha kuizidi US au at per. Ndio maana always US hata maneno anayosema dhidi ya Urusi anachagua.

Tuongee simba na yanga labda tunazo taarifa sahihi zaidi kuliko haya ya Urusi na marekani

Mwambieni aitumie hiyo firepower, amelemewa mpaka anakusanya wanywa gongo...
 
Kwamba siku akitumia nyuklia ndio atakutana na anachokitafuta..... Wazimu mwenye haraka ya kubonyeza vitufe vya nyuklia hataruhusiwa dunia hii....

View attachment 2366311The U.S. has privately been warning the Kremlin for months of consequences if they use a nuclear weapon in their conflict with Ukraine, according to officials.

Anonymous officials told The Washington Post that the White House has publicly been purposefully vague about what those consequences would be in an attempt to build concern among Russian leaders, a method of nuclear deterrence called “strategic ambiguity.”

President Biden underlined his opposition to Russian President Vladimir Putin’s threat to use nuclear weapons in an interview with CBS’s “60 minutes” on Sunday, where he warned the Russian leader not to “change the face of war.”

“Don’t. Don’t. Don’t. You will change the face of war unlike anything since World War II,” Biden said when host Scott Pelley asked for a message to Putin concerning weapons of mass destruction.

Biden added that the U.S. response to Russian use of nuclear weapons would depend on “the extent of what they do.”

MSN
USA ni mandonga wa kizingu.
 
Huyo Putin wenu ndiye hutoa vitisho vya nyuklia hadharani, ila imebidi aambiwe kisiri kwamba ruksa anayo ya kubweka kuhusu hayo madude, ila asijichanganye hata siku moja abonyeze maana ndio Urusi itafutika.
Putin kwa kweli hadi namhurumia, kaanzisha ugomvi ambao haukua na tija, leo hii anakusanya wanywa gongo za vodka mtaani wakapigane...
Leta ushaidi urusi imesema itatumia silaha za nyuklia ukraine
 
Hukulijua hilo, amenufaika pakubwa kwanza kafaulu kudhihirishia ulimwengu kwamba Urusi ni hovyo kwenye medani na kisilaha, pili silaha zake Marekani zimepata soko balaa, leo hii kiwanda cha HIMARS hapakaliki, waarabu watazinunua sana maana wao huwa hawakawii kupigana kwa mizuka ya kidini.
Mk upo Sawa hawa jamaa wanamizuka hatari
 
Back
Top Bottom