Katika jamii tunayoishi kuna aina mbalimbali za ukatili ambao watu hutendewa na watu wengine eidha kwa makusudi au kwa bahati mbaya lakini athari ya ukatili huwa na matokeo mabaya kwa mtendewa.
Zipo aina nyingi za ukatili kama ukatili wa kijinsia, ukatili wa kimwili, au ukatili wa kihisia...
Ilikuwa asubuhi na mapema baada ya hali yake kubadilika, alisikika akitoa kauli za matusi na vitisho vya kutaka kuua ndugu zake, ilikua ni takribani wiki mbilitu baada ya kufeli jaribio la kujiua. Ni mgonjwa wa akili ambaye amekua na historia ya matumizi ya madawa ya kulevya kwa kipindi kirefu...
Marekani na washirika wake wanatarajia kukaa kikao kujadiliana namna ya kuweza kutuma ndege za kivita Ukraine. Kumbuka hitaji Hili Ukraine wamekua wakilihitaji kila siku.
Pia Ukraine anahitaji vifaru vya kisasa aina ya leopards kutoka German, Germany alionekana kusitasita ila kwa mafanikio...
za mda huu waku hapa, nimekuwa nikiona watu wanafungua office ya kubetisha kama gal sport na nyingine kama hizo, kama kuna mtu anajua taratibu zake za kufata na namna ya kupata faida naomba anielekeze hapa
SoC 2022 Kilimo kwa ukuaji wa uchumi na ustawi wa jamii.
Kwa mda mrefu Sasa watanzania tunaendelea kukumbana na matatizo ya upungufu wa baadhi ya bidhaa Kama vile mafuta ya kupikia, Jambo ambalo hupelekea Bei kuwa kubwa na kuzua taharuki.
Aidha baadhi ya jitihada za serikali kupitia wizara ya...
Utangulizi
Tanzania ni nchi isiyokuwa na dini, lakini watu wake wana dini. Hili ni jambo zuri kwani katika ulimwengu huu wa Sayansi na Teknolojia wapo wengi ambao hawaoni tena umuhimu wa dini maishani mwao. Licha ya hilo, zipo athari nyingi hasi za wazi na zisizo za wazi zinazoweza kuathiri...
Utangulizi
Ili uweze kufanikiwa katika jambo lolote lile, ni lazima ufuate kanuni na taratibu zitakazokuwezesha kufika kwenye kilele cha mafanikio. Hakuna mafanikio yasiyokuwa na utaratibu au kanuni. Wafanyabiashara na wajasiriamali wengi mnaowaona wamefanikiwa katika biashara wamepitia njia...
Nikitaka ku print form ya signature and declaration baada ya kujaza all fields katika kuomba mkopo HESLB inasema picha ya grantor uliyowepa can not be printed. Solution yake ni please?
Nime i-resise accpording to their allowed size JPG still inakataa.
Inaleta msg hii
TCPDF ERROR: [Image]...
Matukio kwa ajili ya harambee (events - based fundraising) ni miongoni mwa njia zitumikazo na Taasisi kwenye ukusanyaji wa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa Miradi au Programu. Matukio huiwezesha Taasisi kuwa karibu na wafadhili pia husaidia kuufahamisha umma juu ya kile ambacho Taasisi inataka...
Wanachi wataumia sana, hawana mtetezi.
👇
Nipashe ilitembelea maeneo mbalimbali ya Dar es Salam na kubaini kupanda bei za bidhaa zinazotumiwa na kwa mlo wa kila siku ambazo ni mchele, maharagwe, unga wa ngano, unga wa sembe, dona na choroko.
Mchele kilo moja umepanda kutoka sh. 1,800 au 2,000...
Serikali ilikua na lengo zuri sana kutenga maeneo ya wazi kwaajili ya matukio ya kijamii kama vile walsha, michezo, matamasha na vinginevyo vifananavyo na hivyo.
Kama ilivyo adha kwamba kila kizuri kina kasoro basi, kwa utafiti wangu nilioufanya kulizunguka jiji la dar es salaam nimegundua...
Na WyEST,
DAR ES SALAAM
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda (Mb) leo Septemba 5, 2022 ameitambulisha rasmi kwa Bodi na Menejimenti ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) timu itakayofanya mapitio ya utaratibu wa utoaji mikopo kwa miaka mitano...
salaam,
Hivi wataalamu Kuna namna za kufanya hili kurejesha number ya simu ambayo uliifuta kwa hasira, Kuna mtu nilifuta number yake kwa hasira Sasa kuna ishu muhimu nae, na namna za kumpata hakuna "kulalaleki!
Serikali inayoongoza taifa hili la TANZANIA na WATANZANIA wote inabidi tujifunze mambo mbalimbali ya faida kutoka China :- i, Ni kwa namna gani serikali inaweza kuiongoza nchi kiufasaha.
ii, Ni kwa namna wananchi wanapaswa kushirikishwa katika kuleta maendeleo ya taifa lao...
Kama Kutongoza mdada ni urijali na si kujishusha, mbona wao wadada hawatutongozagi? Maana Kimoyo moyo wao wanajua kumshobokea na kumfuata fata mtu ni kujishushia point.
Sahivi mpaka nitongoze demu, ni iwe nimemwelewa sana, la sivyo nakula buyu tu. Kujidhalilisha bila sababu Kisa natongoza...
Habari wapendwa,
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo kwa neema ya Mwenyezi Mungu. Kupitia jukwaa hili la "Stories Of Change" napenda kushiriki kwa kuja na mada isemayo "Namna Bora ya kupunguza ukali wa maisha kwa wananchi"
Kwanini nimeamua kuja na mada hii?
1. Naamini ni njia mojawapo ya...
Umewahi kupata wazo kuwa mtu kazini kwako hana nia njema na wewe?
Je, wakati mwingine unahisi kuna watu fulani unaofanya nao kazi ni wabaya wako?
Inawezekana isiwe uadui wa moja kwa moja lakini kuna ile hali ya kutokuamni wenzako.
Unajisikia haupo salama unapomsikiliza mtu lakini hujui ni...
Simba queens imekuwa timu ya kwanza ya wanawake kutoka Tanzania kwenda kushiriki ligi ya mabingwa Africa.
Hapo unaona uwekezaji mkubwa unaofanywa na mo dewji ukisimamiwa na mwanamama babra Gonzalez ambaye ni moto wa kuotea mbali kwenye usimamizi wa taasisi ya mpira. Simba kwa sasa sio level...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.